maisha

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wazee wanaongoza kuingia nchi kwenye machafuko Duniani na kupelekea vijana na watoto kupoteza maisha

    Nchi nyingi Duniani zimeingia kwenye machafuko kutokana na wazee kukosa uzalendo na kuendekeza tamaa. Wazee wengi wenye miaka zaidi ya 50 wamekuwa mstari wa mbele kukandamiza haki huku wakitumia dola kuendelea kujinufaisha. Wazee wanapokosa maono mbele upelekea wao kuamini kwamba hakuna mwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke anatazama maslahi ( Uhakika wa maisha)

    Ili mwanamke akubari kuolewa au kua ktk mahusiano na mwanaume Kuna vigezo huwa wanavingatia, kwa % Kubwa ya wanawake anachoitaji ni kuhudumiwa. Na kupata unafuu wa maisha, kiujumla wanawake wapo kimaslai zaidi, hata mke ulie nae, hayupo hapo kwa ajiri ya Upendo ila yupo hapo kwa sababu...
  3. JamiiForums Tanzania Kula maisha, wkend ndio imeanza

    Hakuna kupika leo, tuingie mtaani, wkend imeanza; wapi kuna vaibu nzuri kwa siku ya leo; kuwepo na laivu bendi yenye mdundo wa taratibu, usiochosha mwili na viungo. Mi nimeshapiga pamba zangu nyeupe kwa ajili ya kujichanganya na jamii; we unajipanga kwa lipi katika wkend hii? Maisha ni haya...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Blockchain Si ya Wenye Pesa Tu, Ni ya Kila Mtu!

    Sikiliza, kuna maneno ambayo yamekuwa yakizunguka sana kwenye mitandao siku hizi – blockchain, crypto, Bitcoin. Na mara nyingi, watu wanavyosikia haya mambo, wanahisi ni kwa ajili ya matajiri au wataalam wa teknolojia tu. Lakini ukweli ni kwamba, blockchain siyo tu kwa wenye pesa au magwiji wa...
  5. JamiiForums Tanzania Nini maana ya maisha?

    Habari, Leo Katika siku tulivu, nilipata muda wa kutafakari juu ya maajabu ya ulimwengu. Niliketi nje, nikisikiliza upepo ukivuma na kutazama anga pana. Katika utulivu huo, swali moja lilinijia: "Je, maisha ni nini?" Swali hili liliamsha hamu ya kutafuta majibu, lakini pia lilinifanya nijiulize...
  6. JamiiForums Tanzania TLS yathibitisha kutishiwa maisha kwa wakili Tito Magoti, Peter Madeleka pamoja na Ole Nguruma. Yaitaka Serikali Kuchukua Hatua Kali!

    https://youtu.be/3DxH0NUxzRY?si=xZRKgw9HtibCALQv Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeibua taharuki kubwa baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha kwa mawakili watatu maarufu nchini Tanzania, Tito Magoti, Peter Madeleka, na Onesmo Ole Ngurumwa. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na...
  7. G

    JamiiForums Tanzania "WATANIONAJE" imeharibu maisha ya watu wengi sana kimaendeleo

    Kijana amemaliza degree yake karudi mitaa aliyokulia, yupo bize kuomba kazi na kutembeza bahasha bila mafanikio, kujitolea kwenye taasis kwa mshahara wa laki 1, n.k. Hawezi kufungua sehemu ya kunyoa nywele, kuwa seremala, kuuza mgahawa, n.k. kuna hofu ya watanionaje Mchezaji wa mpira, msanii...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Kadi za CHADEMA?

    Nataka kujiunga na Chama cha Demokrasia na Makamanda. Kadi zinapatikana wapi?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wenye familia changa, mabachelor na wenye kupenda mtindo huu wa maisha hii plan inafaa kiasi

    As umri unaenda na miaka yangu 38, nimejikuta napenda sana private life, weekend, likizo na siku nyingine za kazi ambazo. Huwa nahisi mjini Pana boa napenda sana kwenda shambani nikikaa naona ng'ombe, mara nikamate bata nimchinje nione parachichi zimestawi najikuta stress za mjini...
  10. JamiiForums Tanzania Sina raha, wasiwasi wa maisha unanisumbua

    Nasumbuliwa sana na wasiwasi wa maisha, mwanzoni nilikuwa naona kawaida ila kwa hali yangu ya sasa naona it's too much. Ngoja niwaelezee kidogo jinsi ilivyo, mfano nikitoka kazini nikirudi home kupumzika, mawazo yananijia kuna vijana wenzangu bado hawajarudi ghetto bado wapo mtaani wanapambana...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu kabla sijafika Marekani

    Neno Marekani mtaliona sana tu, hadi nikirudi nyumbani. Ila leo niwape story kwa ufupi ili mjue safari zinaanzaje. Kwanza mjue mimi ni kiumbe wa kutoka mkoani huko, sio Mdaslamu. Na nilikuwa sipapendi Dar nikaamini naweza toboa mkoani. Mguu wa shingo mguu wa roho nikaingia sana vijijini huko...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali yetu ibadili maisha ya wananchi wake

    Nimebehatika kukaa kama sio kuishi sehemu tofauti tofauti duniani.nimeona na kujifunza kadhaa wa kadhaa jinsi serikali nyingine za ulaya ,marekani,na asia zinavyofanya kwa ajili ya wananchi wake. Maisha yetu ni duni kwa sababu tu ya mipango yetu mibovu ambayo serikali yetu inafanya.Tasafu au...
  13. JamiiForums Tanzania Maisha ya sasa ni kujitangaza kwa kile unachokifanya

    Habari wadau! Kwa wale wanaoishi wakifanya shughuli zao binafsi kuna haja kubwa ya kujitangaza kwa kile unachokifanya. Vijana wengi wanaogopa kujitangaza mitandaoni na kuishia kuangalia wenzio wakienda mbele. Ujumbe huu uwe mahususi kwa vijana hasa wa mikoani mmelala sana. Hata mikoani unaweza...
  14. JamiiForums Tanzania Mbona kama mama kanilengesha kwa huyu binti! Ndo tulipofikia huku

    Mimi kama kijana ninaye jitafuta bado ninaishi na mama yangu mzazi pamoja na mdogo wangu ambaye kwa sasa yupo kidato cha nne, dada yangu wa kwanza ameolewa yupo na familia yake yeye kaniacha miaka 6 ndio nikafuatia na mimi nimemuacha mdogo wangu wa mwisho kwa miaka 10. Katika swala la maadili...
  15. JamiiForums Tanzania Usithibutu kuitwa na mwanamke nyumbani kwake ukakimbilia kwenda!

    Mmmh, Hivi majuzi yalinikuta, nilikutana na mdada kwa basi. Tukajuana nikamkaribisha sehemu majuzi akala mbuzi yangua na ka kvant. Kumaliza nikaomba mzigo nkakagoma kakaachia twende kwangu lakini, kumekucha kufika tukasema tupige ka kvant kamwisho kadogo tukanza shuhuli. Mdada akandanganya...
  16. JamiiForums Tanzania Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

    Bongo sitaki tena nataka nikimbie, naombeni ushauri kati ya hizo nchi wapi angalau nikienda sifi njaa nikipambana kati y'a Botswana, Mauritius, Namibia au Sychelles au South Africa Au Morocco na nchi nyingine ongezea. Bongo sitaki, Naombeni pia kama kuna wenyeji kwenye hizo nchi wanitafute PM...
  17. JamiiForums Tanzania Huyu Mwijaku anachokifanya kwa Gen Z ni upotoshaji. Maisha si mepesi namna hii

    Kuna haja That Urgent need to have his videos banned in the country. Haiwezekani America.. everyone's dream aifanye kama huko MburAhati tu. Kama asemavyo yeye. Hii si sawa.
  18. JamiiForums Tanzania Mapambano ya sirini

    MAPAMBANO YA SIRINI. Jambo la msingi sana kutambua kwenye haya maisha ni kwamba haijalishi unamuona mtu yuko vizuri ama amefanikiwa kwa kiasi gani tambua yuko na mapambano yake sirini, na mapambano ya sirini yanabaki ni siri ya mtu huenda usiyatambue kabisa kwa sababu mbele ya macho yako unaona...
  19. JamiiForums Tanzania Najihisi kukata tamaa lakini sitokata, nitapambana

    Natumai mko salama. Ningependa kushiriki nanyi wana Jf kuhusu hali yangu ya kifedha na biashara yangu. Biashara yangu imekuwa ikifanya kazi kwa mwaka sasa, lakini mapato yameanza kupungua kutoka kiwango kilichokuwa awali hadi kufikia nusu (ni miezi mitano sasa) Nina mfanyakazi niliemlipa kila...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa na kifo ndiyo ukweli pekee katika maisha! Mengine yote afanyayo binadamu katika maisha yake ni maigizo

    Vitu pekee ambavyo ni ukweli ni viwili tu kwa mwanadam (kuzaliwa na kufa) Maisha mengine yote ya mwanadamu ni maigizo! Chochote afanyacho binadam huwa ni kama scene tu havina ukweli wowote kiuhalisia! Kwa mfano: Ukiangalia watoto wanavyochezea makopo au wanavyoigiza kibaba baba au kimamamama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…