maisha

  1. JamiiForums Tanzania Usiyaogope maisha

    Ndio maisha kwa sasa ni magumu sana,najua vijana wengi wanayaogopa,wana hofu kubwa na wengine wamekata tamaa, lakini nawaambia msiyaogope maisha, pambaneni na kwa lugha yenu mtatoboa. Na kwa yule anayetaka msaada wa mawazo au mbinu za kujikwamua njooni inbox, nitakusaidia ila usije kuomba pesa...
  2. JamiiForums Tanzania Maisha ya Siri ya Viwavi

    Viwavi ni hatua ya mabuu ya vipepeo na nondo, wanaochagiza fungu muhimu katika mzunguko wa maisha wa wadudu unaoitwa metamorphosis. Viumbe hawa wadogo wanaweza kuonekana wa kawaida lakini ni mabwana wa mabadiliko ya asili. Tangu wanapoangua kutoka kwenye mayai, viwavi huanza kula—bila kukoma...
  3. JamiiForums Tanzania Masikini tumebobea katika uchambuzi wa maisha ya tajiri lakini inapokuja upande wetu tukichambuliwa tunasema ni unfair huku tukipoint ni mkono wa mtu.

    🤣habari za tajiri muulize masikini. Utasikia: "Oooh yani mwanaume mzima kama yule anatembela IST" "Oooh ule ukuta hakupaswa kuufanyia vile skimming" "Ooh yani jamaa ana hela ila mke wake anasuka twende kilioni" Yakija maswala yake sasa utasikia ooh mtaani hapa watu wanafuga fisi ndio maana...
  4. JamiiForums Tanzania Nataka nianze maisha ya ubinafsi, hela yangu iwe yangu tu

    Nimekua mtoaji sana kwa ndugu jamaa na marafiki, mara nyingi hela niliotoa huwa inakaribia au hata kuzidi matumizi ya familia yangu. Nataka nijaribu maisha ya ubinafsi nione kama kuna kitu kitabadilika, huwa naamini kutoa kuna baraka, ila sasa nataka kujaribu "huwezi kua tajiri bila kua...
  5. JamiiForums Tanzania Maamuzi ya mwanadada Catherine Kahabi ya kuishi maisha ya kilokole yasiwe sababu ya kuingilia sanaa pamoja na kukosoa viongozi wa Serikali

    Maamuzi ya mwanadada Catherine Kahabi ya kuishi maisha ya kilokole yasiwe sababu ya kuingilia sanaa pamoja na kukosoa viongozi wa Serikali Catherine amekuwa akimkosoa Mh Kabudi alipopendekeza Muziki wa Singeli kuwa moja ya alama ya sanaa ya Tanzania jambo ambalo litasaidia kukuza utamaduni...
  6. JamiiForums Tanzania Inakuwaje tunalazimishana Maisha ya utajiri wakati kila mtu ana malengo yake?

    Inakuwaje mnataka kuset standard ya maisha kwa kila mmoja wetu,tumeziharibu tamaduni kwa kuifanya dunia yote iwe na tabia moja,akili na muelekeo mmoja. Tunaforce kila mmoja afikirie utajiri na kwanini isiwe elimu au watoto? Sikuhizi limezuka wimbi la vijana kukashifu ndoa hivi vijana mnakwama...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi mimi ni mvivu au nimechoka maisha🤔

    Habari za muda mrefu wana jukwaa Jana nilileta uzi wa jirani mlevi ambaye akilewa anatukana usiku, nashangaa leo nimerudi sisikii kelele zako, enewei tuachane na hayo. Siyo lengo la uzi. Iko hivi, mimi nahisi nimerithi tabia ya uvivu, naweza nikalala usiku nikajisemea moyoni kabisa kuwa kesho...
  8. JamiiForums Tanzania Video : Popoma anazidi kutrend kwenye mitandao ya kijamii

    Watu wa kanda ya ziwa huwa nawakubali Sana jinsi wanavyo ongea. They are so funny. Check video ya huyu popoma kutoka kanda ya ziwa inavyo trend. Tunasubiri interview kama Abass Chionda.
  9. JamiiForums Tanzania Sina amani ya maisha sababu ya aibu ya pombe

    Ndugu zangu sina hamu kabisa na haya maisha kwakuwa kila kona najulikana kuwa Mimi ni mlevi wa pombe Niliamua kuacha kabisa lakini naona aibu bado nikubwa hasa kila ninapopita nahisi watu wananisema Mimi si majirani pekee hata ninao fanya nao kazi kila siku wananisema Mimi Je nitafanyaje...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza (Mke) wa maisha kwa Uhusiano wa Kudumu

    Mimi ni mwanaume mpole, mnyenyekevu, nipo kwenye umri wa miaka 40 ya awali (early 40s). Natafuta mwenza(mwanamke) wa maisha kwa ajili ya uhusiano wa kudumu unaoelekea kwenye ndoa. Ninathamini upendo wa kweli, uaminifu, na ukuaji wa pamoja. Kuhusu Mimi: Ni mwanaume ninayejiheshimu na pia ni mtu...
  11. JamiiForums Tanzania Kama una miaka 40 na bado unaendelea kutafuta ajira, haupo serious na maisha

    Wakuu, sikejeli mtu hapa, lakini lazima tuambiane ukweli. Miaka 40 siyo ya kutafuta ajira, umri huo wewe ndio unatakiwa utafutwe eidha na taasisi za kiserikali au sekta binafsi. Hapa watakuwa wanatizama uzoefu wako. Lakini siyo eti kila siku upo road na mavyeti yako unaenda kupiga interview na...
  12. JamiiForums Tanzania Hesabu za MAGAZIJUTO kwenye maisha (Parody)

    Kusaidia fundi kwa siku ni 7,000/= Kwa wiki ni 7,000×7= 49,000/= Kwa mwezi ni 49,000×30 = 1,470,000/= Kwa Mwaka ni 1,470,000×12 = 17,640,000/= Toyota IST used bei yake ni 6,000,000/= Swali ni je, mbona huna gari? ---------------------------------------------- Kauli za watu walioshiba makande na...
  13. JamiiForums Tanzania Je chadema itaunda vikosi vya kuvamia vikao vya vyama vingine vitakapokuwa vinapitisha wagombea wao, au watawatishia maisha wagombea?

    Je chadema watatumia mbinu hii ya kufanyia vyama vingine vurugu ili visipitishe wagombea, au kitawadhuru au hata kuwatishia maisha watu watakaotumia haki yao kugombea pamoja na familia zao? Haya ndio mambo ya kujadili, nadhani wanapanga uhalifu mkubwa sana kuuwa watu wasio na hatia
  14. JamiiForums Tanzania Watu Wanaopost Maisha ya Kifahari: Motivational au Ushawishi wa Kujichukia? 🤑📱

    Unawahi kufungua Instagram asubuhi tu, bado upo kitandani, halafu kitu cha kwanza unakutana nacho ni mtu kaweka picha ya breakfast ya kifahari – croissant, avocado toast, na kahawa ya Starbucks… huku wewe unatafuna mkate wa jana na chai ya majani? 😅 Kila siku timeline inajaa na watu wanaoishi...
  15. JamiiForums Tanzania Selemani ahukumiwa kifungo cha maisha jela kisa kumlawiti mtoto wake wa kumzaa

    Mahakama ya Mkoa wa Lindi, imemhukumu kifungo cha maisha jela, Selemani Hussen Nyuka, mwenye umri wa miaka (32) baada ya kupatikana na hatia ya kwanza ya kumlawiti mtoto wake wa kumzaa na kosa la pili ni kuzini na maharimu (kwa maana ya kutembea na ndugu wa damu). Nyuka ambaye ni mkazi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kizazi cha 2000 na Kuendelea Kinateseka: Manung’uniko kutoka Kitaa

    Nimeamka saa kumi alfajiri. Nimeenda kazini kwa miguu. Nimefanya kazi hadi jua kuzama. Na bado, sina chochote. Ninarudi nyumbani kwa bibi yangu,iîu nyumba ya bati zilizochoka, chakula ni ugali na maharage, umeme unakatika kila siku. Na bado watu wanasema, “Pambana kijana, mafanikio yanakuja.”...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"

    Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wengi wasio na ajira hawapo serious kwenye shughuli zao, akili huwaza ajira, wakifika 30s hakuna walichofanya, maisha huwacharaza kikatili

    Vijana wengi humaliza vyuo wakiwa 20s mbichi lakini wanapoteza muda mwingi sana kuwaza ajira badala ya kutia mkazo kwenye shughuli zao, matokeo yake mtu anafika 30s hana ajira wala maendeleo na umri umeshaenda hana tena vigezo vya kuendelea kuomba ajira, its too late and its the beginning of the...
  19. JamiiForums Tanzania Kuonyesha Kutokuwa na uhitaji " Never wanting anything " ndio siri ya kuwa na nguvu kwenye maisha ya hapa duniani.

    Mimi sio Mkristu ila najua kwamba His Excellence King David, the King of the United Kingdoms of Israel and Judah aliposema " Bwana ndie mchungaji wangu, sintopungukiwa na kitu" ( The Lord is my shepherd I shall never want a thing),alikuwa anazungumzia hiki ninacho kiandika hapa. " Kuonyedha...
  20. JamiiForums Tanzania Ndugu Zangu Wenye Imani za Kikristo na Kiislamu, Mlijengaje Imani Zenu? Mimi hata Upagani Umenishinda; Nifanyeje Kumuona Mungu Mnayemuona?

    Dini zote zinaegemea juu ya udhaifu wa binadamu wa kufikiria na kukubali hali ya kutokuwepo baada ya kifo. Lakini ni nini hasa kinachotufanya tusikubali wazo la kutoweka bila alama yoyote? Je, ni woga wa kutokuwa na maana, au ni hitaji la kufarijika kwamba kuna mwendelezo wa safari hii baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…