Mwaka huu yametokea maandamano mengi sana ya Gen-Z. Huko Nepal watu walitiwa hasa hasira na wanaowaita Nepo babies. Yaani watoto wa vigogo wanaoonyesha maisha ya anasa mitandaoni huku watu wa kawaida wakiishi maisha magumu. Waliona anasa hizo kama ishara ya ufisadi.
Zamani wanepali wengi...
Hii ni tahadhari kwa vijana kuhusu uhalisia wa biashara, si kuwakatisha tamaa wala kuwaambia waajiriwe. Biashara ni njia nzuri, imetajirisha watu lakini si hadithi ya kupendeza kama inavyochorwa mitandaoni. Biashara ni vita, inahitaji akili, mikakati madhubuti, uwezo wa kujifunza kila siku...
asubuhi
biashara
business
easy
everyone
kijana
kila siku
kufilisika
kufunga
kufunga biashara
kupoteza
madeni
mafanikio
magumumaishamaishamagumu
miaka
miaka mitatu
mitaji
n.k
ndani
siku
usiku
wachache
wafanyabiashara
Ukiona mtu kavaa lipete likubwa especially waumini wa dini fulani maarufu jua kuwa hilo ni jini la ulinzi au mvuto. Kwenye dini ile kumiliki jini it's like a fashion. Mipete ya kijani, blue, silver and so. Unapewa kulingana na nyota yako au uhitaji wako.
Mimi hawa wafugaji wa majini hata salamu...
Jambo hili linaigusa hali halisi ya watu wengi wenye moyo wa huruma, unyenyekevu, uvumilivu na tabia ya kujali wengine kupita kiasi. Hawa ni watu ambao kiasili ni wema, lakini mara nyingi hupitia maisha magumu sana kuliko hata watu wenye roho ngumu. Hii hutokea kwa sababu kadhaa zifuatazo:
1...
Katika zama zote za uwepo wa Tanzania nadhani HIKI ndio kipindi ambacho pesa na utafutaji vinazungumziwa kuliko huko nyuma
Makanisa yameacha kuwahimiza watu kwenda mbinguni wakiwa wamechoka. Wachungaji, walei, wainjilisti wanafundisha watu wafanikiwe kiuchumi, kifedha, kimiradi
Waalimu wa...
Habari Ndugu zangu naombeni msaada hata ajira, iniweze kunisaidia kiuchumi niongezee kipato, Mimi KIJANA nimeajiliwa sehemu Ilaa mshahara Wangu ni Mdogo Sana na hautoki kwa wakati, inaniliazimwi niingie kwenye madeni Sana, alafu unakuta unategemewa nyumbani Nina watoto bado nauli kwenda ofisini...
Ukishakua una ajira, haijalishi unalipwa kiasi gani, jamii inategemea unapata hela, hivyo, kuna kuandamwa na ndugu jamaa na marafiki. kwa upande wasio na ajira, wao jamii haitegemei makubwa kutokwa kwao, ingawa wanaweza kua wanapata hela kubwa zaidi ya waioajiriwa.
Sasa fikiria, mtumish...
Imagine una ndugu kahitimu chuo bado kijana mdogo tu, Ajira kama mnavyozijua hazina guarantee kama huna connections, so inabidi aanze kujitafuta.
Unga mnamtumia, mchele mnamtumia, si unajua tena mambo ya upendo wa familia na kusapotiana.
Kuna kipindi akaniambia ana shida sana ya kodi kabanwa...
Kuna sababu nyingi zinazochangia watu kulalamika kuhusu ugumu wa maisha. Baadhi ya sababu hizo ni kama zifuatazo:
* Gharama za Maisha Kupanda:
* Bei za bidhaa na huduma muhimu kama chakula, nyumba, na usafiri zinaongezeka, na hivyo kuwafanya watu wengi washindwe kumudu mahitaji yao.
*...
Watu wengi hasa wasiokuwa na ajira wameshindwa kutoka ndani na kujaribu kufanya baadhi ya shughuli za kujiingizia kipato kwa kuwaza kuwa “watamuonaje”
Ukijaribu kuangalia kuna vitu vingi vya kufanya kwa waliohitimu vyuo mbalimbali huku mkiendelea kusubiri ajira.
Vitu hivyo ni kama...
Wakuu nahisi ishu yangu ni ya kiroho, sijui ni mizimu ya ukoo, sijui nini wakuu
Kila siku mimi nikuota narudi shule, mara kushtuka usinguzini kuona malue lue, muda mwingine naamka kabisa na kusimama alafu nikishajitambua narudi kulala.
Nafanya mambo ili hayana matunda wakuu sio kwa ya hali ya...
Hapa nilipo hata tsh buku 10 imenipiga chenga mwenye nyumba anadai kodi
Watoto wanahitaji ada kwenda shule
Ndugu wanaomba niwapige kampani wazazi nao wanataka pesa
Nimeenda kopa kwa jamaa nao wanalia hali ni tete
Na kitaa mishe mingi zimesimaa wakuu hivi mnatumia mbinu gani kuishi za...
Jana nilikuwa nimevaa Kofia (bagharashia) pamoja na kanzu.
Ila Malaya wanaojiuza waliponiona nimepita Buguruni usiku saanane waliniita ili nikawaungishe.
Ebu fikiria huu ni ujasiri wa aina gani?. Peoples are broke
Mtu ambaye hana changamoto za maisha hawezi kwenda kujiuza Buguruni hadi...
Kama kawaida yangu ya kuchanja mbuga mitaa ya watu, Ijumaa hii nilijikuta nikiangukia mitaa ya Vingunguti. Kusema kweli, mengi niliyoyaona yalifungua macho yangu kuhusu hali halisi ya maisha ya wanawake wanaoishi maeneo haya. Machache yafuatayo yanaweza kutoa taswira:
1. Wanawake wa huku ni...
Wakuu hii ni historia ya Mwanasoka Luis Nani, ni Historia inayoelezea mapito na magumu aliyoyapitia huyu jamaa. Lengo la kukuletea hii kukutia moyo Kijana mwenzangu Dada/Kaka na wadogo zangu mnao isoma hii habari.
Kimsingi kila jambo unalopitia haijalishi linaonekana vipi lakini wewe unao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.