mahusiano

  1. JamiiForums Tanzania Ukiona unatongoza sana huku na kule fahamu tu umeshapoteza power

    Kama Una tatizo la kutafuta vitu au watu n.k fahamu tu kuwa hauna power tena unachohitaji nikuweka power vizuri. Kila kitu kinavutwa iwe pesa, mpenzi, good life n.k You don't need to chase anything in this entity. Ni kukaa chini na kujua what you need in ur life na kuanza kuchezesha mifumo...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kilikufanya utambue uliyenae kwenye mahusiano sio mtu sahihi kwako?

    Kwa upande wangu kuna kipindi nilisafiri kwa siku kadhaa, nikiwa huko nikapigiwa simu kwamba wezi wamevunja dirisha ghetto kwangu na kuniibia. Ikabidi nikatishe shughuli zilizonipeleka kule na kuamua kurudi niangalie mazingira. Hawakuchukua vitu vyote, ila vilivyobaki navyo viliharibika...
  3. JamiiForums Tanzania Somo nyeti: Unapokuwa katika mahusiano na mtoto hakikisha anashidwa kukuelewa wala kukusoma wewe ni mwanaume wa aina Gani

    Ewe kijana wa kiume kama upo katika mahusiano na mtoto wa kike hakikisha anashidwa kukuelewa wala kusoma wewe ni mtu wa aina Gani iwe umeoa au hujaoa ....... Siku zote katika mahusiano wanawake huwa wana maswali mengi ambavyo wanapenda kusikia toka kwa mwanaume lengo ni kuweza kukufahamu...
  4. JamiiForums Tanzania Mahusiano ni maisha: Usibebe mizigo inayokuzidi akili yako

    Shalom, Mishaa mishangazi na maisha matamu, amua utakavyo mapenzi ni maisha kupanga ni kuchagua Usibebe mizigo inayokuzidi akili yako. Tuendelee na maisha matamu Wadiz
  5. JamiiForums Tanzania Jiji la Dar es salaam kufaminiwa umetaka mwenyewe tofauti na mikoani

    Huku mikoani ni rahisi sana kufumaniana kwa mlio kwenye ndoa au mahusiano sababu ya ufinyu wa maeneo mfano gest, bar, sehemu za starehe nk. Mikoani ukichepuka eneo uliopo ni rahisi kujulikana ukilinganisha Dar yaani umechepukia Kimara Bonyokwa wewe unakaa Buza Kilakala. Yaani tuliopo mkoani...
  6. JamiiForums Tanzania Mahusiano yako ya muda mrefu zaidi yalidumu muda gani?

    Mapenzi yangu ya muda mrefu zaidi yalidumu mwaka 1 tu.
  7. JamiiForums Tanzania Afanyeje ili aweze kumsahau mwanaume anayempenda na kuendelea na maisha yake?

    Habari yako, Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili. Kuna kitu kinaniumiza sana kichwa kiasi kwamba kuna muda nashindwa hata kusoma vizuri. 🥹🥹 Kuna mkaka mmoja tulikutana tu kawaida kipindi mimi ndo naanza form five, lakini mpaka namaliza form six bado nilikuwa naye. Sasa baada ya...
  8. JamiiForums Tanzania Sumu ilioniondolea Babe Mama

    aomba nishee ka story kangu, ila wanawake 🙌. Bana nakumbuka nimemaliza chuo, sasa nilikuwa na pisi iko mwaka wa mwisho. Sasa home ilikuwa ni karibu na chuo nilikomaliza kusoma na yeye ndio alikuwa anasoma hapo. Kuna siku bwana nilimwambia tukutane mara moja nimuone kwa sababu nilikuwa nimemmisi...
  9. JamiiForums Tanzania Dada na Mama zangu, angalieni mitandao ya kijamii isiwafanye mkasahau familia zenu

    Kina Dada zangu na Mama zangu Acheni kushughulika na Mitandao ya Kijamii aka Facebook,TikTok, istagram, Youtube na mengine. Wakati Mume wako anakuwepo nyumbani.Muhudumie Waume zenu kwa kila kitu acha kumtegemea Dada wa kazi aka (House Girl) atawaharibia ndoa zenu shauri zenu.
  10. JamiiForums Tanzania Siri nzito: Wanaume wote tuliopo katika mahusiano karne hii hatupedwi na wanawake zetu na wanatusanifu sababu mambo yao hayajanyooka

    Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka.......... mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata...
  11. JamiiForums Tanzania Usioe mwanamke asiye bikra kama hujawahi kuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti

    Kama mwanamume, ikiwa utaoa au kuchumbiana na mtu ambaye si bikira kwa muda mrefu, unapaswa uwe na uzoefu wa kuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti. Kama ni mtu wa Mungu, epuka kuwaoa wanawake wasio bikra, watakufananisha utendaji wako wa chumbani na wanaume waliokuwa nao huko nyuma...
  12. JamiiForums Tanzania Pale mwanamke anapodhani kanizidi akili kwenye mahusiano

    Sijue huko kwenu vipi lakini mwenzenu ninayokutana nayo sio mepesi, lakini kwasababu mimi ni mtu makini huwa nafanikiwa kutoka, si Rahis ni mkono wa Mungu tu 😁 Ndani ya kipindi kifupi nimedate na wasichana watatu wa hovyo, unajua kuna vitu huwezi elewa wala kueleza hadi ukutane navyo upate...
  13. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Leo: Usiingie kwenye mahusiano kwa sababu ya imani ya mtu, kila kitu kipe nafasi yake kwa wakati wake

    1. Usioe au kuolewa na mtu kisa anahofu ya Mungu!, kwasababu swala la imani ni swala la uelewa na muda wowote mtu anaweza kubadili mawazo,ama kuamini tofauti na alivyokuwa akiamini awali!. kwa ufupi ni kwamba usaliti hutoka kwenye wema. Tafuta mtu muelewa mwenye upeo wakuweza kujua thamani yako...
  14. JamiiForums Tanzania Maumivu ya Usaliti: Safari yangu ya kutafuta amani baada ya miaka 12 ya ndoa

    Ikumbukwe, nimeanzisha nyuzi kadhaa kuhusu mimi na mke wangu mpaka ikafika hatua ya kumwachia nyumba (nyumba niliyojenga kabla ya kumuita na kumtafutia kazi). Uzi upo humu. Hata niliporudi, sikuwa nalala naye, ingawa hamu zilikuwepo. Tulipima, na alijuta, akijua kosa lake. Hata kama alikuwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Ni Afrika pekee ndio Wana msemo wa kipuuzi kama huu kwenye mahusiano

    Ni Afrika pekee na nchi ambazo ni maskini ndio wanamsemo huu ufuatao, "WANAUME HATUJAUMBIWA MWANAMKE MMOJA" Sijawahi ona nchi zilizoendelea "Developed Countries" wakiongea huo upuuzi wa Wanaume hatujaumbiwa Mwanamke mmoja. Nimeishi U.S.A, ULAYA NA ASIA LAKINI SIJAWAHI KUONA KITU CHA KIJINGA...
  16. JamiiForums Tanzania Vijana hebu niwe mkweli kwako leo

    Unaona kwamba msichana unayechumbiana naye sasa, ana nafasi kubwa ya kuifanikiwa kimaisha haraka kuliko wewe. Ndiyo maana hupaswi kutumia ujana wako wote kujenga uhusiano na mwanamke. Ukweli ni kwamba anaweza kutoka kwenye mahusiano hayo kwa urahisi na kwenda mbele na kuolewa na mwanaume...
  17. JamiiForums Tanzania Wewe mwanamke kuwa na huruma kwa mumeo

    Wanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu. Nina jamaa yangu na mkewe wanaishi wote. Huyo mkewe alikuwa anafanya kazi zamani mkoa wa Mwanza na sasa hivi inasemekana amepata kazi Dar es Salaam hivyo kuhama...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kama umeamua kuwa mchepuko basi zingatia yafuatayo

    .
  19. JamiiForums Tanzania Mahusiano mengi hayafiki mbali kwa sababu watu wana haraka ya kubadilishana tabia

    Sababu kubwa ya mahusiano mengi kutokufika mbali watu Wana force kubadilishana tabia kwa haraka Jambo kubwa na la muhimu watu wanalopaswa walitambue . Katika mahusiano unakutana na mtu ukubwani haujui Maisha aliyopitia au matukio aliyokutananayo mpaka kufikia umri huo . Hauwezi kwa haraka...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa uchunguzi niliyofanya nimegundua mwanaume akifika miaka 40+ huwa anapata balehe tena!

    Uchunguzi huu nimeufanya mara kadhaa sasa nimejiridhisha kuwa mwanaume huwa anabalehe kwa mara ya pili akifika umri wa miaka 40. Katika umri huu mwanaume anakuwa kama teenager wa miaka 16. Utashangaa anafukuzia vibinti vidogo ila yeye hajali anaona ni kama age mate wake licha ya watu kumwona wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…