mahitaji maalum

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    KERO Watumishi wa Umma wenye mahitaji maalum tunapangiwa sehemu zisizo rafiki, tukiomba uhamisho hatupati

    Kuna changamoto na adha kubwa tunapitia Watumishi wenye mahitaji maalum kwenye suala la uhamisho, tunapangiwa sehemu za kufanya kazi ambazo sio rafiki, hivyo inaathiri utendaji na inapotokea tunafuatilia uhamisho barua zinapokelewa Kama ushahidi TU hazifanyiwi kazi. Mara nyingi tunapofuatilia...
  2. M

    Wanafunzi wa mahitaji maalum Simiyu wapata misaada ya shule

    Wanafunzi wenye mahitaji maalum katika shule ya msingi Sima A iliyopo katika Hamlashauri ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu wamepatiwa misaada mbalimbali kwa matumizi ya shule Misaada hiyo imetolewa na waendesha baiskeli kutoka Dar Es Salaam kuelekea wilaya ya Butiama mkoa wa Mara kwa lengo ni...
  3. Roving Journalist

    PreGE2025 Rais Samia achangia Milioni 150 na wafanyakazi ofisi yake wachangia milioni 100 Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maalum Kanisa la KKKT

    Rais Samia akishiriki Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maluum Kanisa la KKKT Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam, leo tarehe 5 Juni, 2025. =============================== RC Chalamila: "Nikupe pole Rais Samia. Tunaona kwenye mitandao wachache katika Taifa...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Dkt. Mwinyi atoa mkono wa Eid kwa wenye mahitaji maalum Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametoa mkono wa Eid El Fitr kwa Wananchi wenye mahitaji Maalum wakiwemo Yatima, Wajane, Wazee na watu wenye ulemavu katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar, tarehe 31 Machi 2025. Aidha, Rais Dkt.Mwinyi baada ya kutoka...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Rais samia atoa mkono wa heri kwa watoto wenye mahitaji maalum Iringa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa mkono wa heri kwa watoto katika vituo vya kulea watoto wenye mahitaji maalum na wanaoishi katika Mazingira magumu Mkoani hapa kwa kugawa Sadaka ya vyakula ikiwemo Mbuzi, Mchele, Mafuta ya kupikia, unga, sabuni za kuogea...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Samia awagusa watoto wenye mahitaji maalum kwa msaada wa vyakula Kigoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewagusa watoto katika vito vya kulea watoto wenye mahitaji maalum na wanaoishi katika Mazingira magumu Mkoani Kigoma kwa kugawa Sadaka ya vyakula ikiwemo mbuzi, mchele, mafuta ya kupikia, unga, sabuni za kuogea na kufulia pamoja...
  7. JanguKamaJangu

    Taasisi ya ZAMHSO yatembelea Iringa Girls, yaelezea kuguswa na ushirikiano wanaopata wenye mahitaji maalum

    Sisi Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO)Tulipata nafasi ya kutembelea Iringa Girls, shule ya mjumuisho inayowakaribisha Wanafunzi wa kawaida na wale wenye mahitaji maalum. Ni jambo la kuvutia kuona jinsi shule hii inavyokuza usawa na mshikamano kupitia elimu. Wakati wa kutoa...
  8. Just Pray

    Naibu waziri Katambi apiga marufuku tabia za watumishi wa umma kubagua watu wenye ulemavu

    Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana ajira na wenye ulemavu Patrobas Katambi amekemea tabia za watumishi wa umma kubagua watu wenye mahitaji maalum wakati wanapohitaji huduma kwenye ofsi zao. Amekemea tabia hizo wakati wa maadhimisho ya siku ya maandishi ya nukta nundu kitaifa...
  9. Roving Journalist

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Kuzaga asheherekea Krismasi na watoto wenye Mahitaji Maalum

    Jamii yatakiwa kutimiza wajibu wake kuzuia ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu Hayo yamezungumzwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Desemba 25, 2024 alipotembelea Kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum cha...
  10. chiembe

    Mnikulu, hivi kale ka utaratibu ka kutoa mbuzi na mahitaji kwa vituo vya watu wenye mahitaji maalum wakati wa sikukuu umekasahau?

    Ilikuwa ni kama utamaduni wa jumba jeupe kufanya hivyo kwa mahospitali, vituo via yatima au wazee. Labda mnikulu yuko bize, amesahau kufanya hivyo krismas hii
  11. Waufukweni

    Mwana FA Aahidi Kuboresha Miundombinu kwa Watoto Wenye Mahitaji Maalum Muheza

    Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) ameahidi kutatua kero zinazowapata Watoto wenye mahitaji maalum Wilayani Muheza ikiwemo kuboresha miundombinu katika Shule wanazosoma, kuwapatia vifaa vya michezo na kuweka uzio katika Shule...
  12. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Bashungwa Agawa Mitungi ya Gesi 300 kwa Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum

    BASHUNGWA AGAWA MITUNGI YA GESI 300 KWA WANAWAKE NA WENYE MAHITAJI MAALUM 📌 Kuunga mkono Agenda ya Rais Samia ya nishati safi ya kupikia. 📌 Karagwe kuwa kinara wa nishati safi ya kupikia. 📌 Zoezi la ugawaji wa mitungi ya gesi ni endelevu kwa Wanakaragwe. Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la...
  13. Son of the universe

    SoC04 Itungwe sheria ya kila nyumba ya ibada kuwa na kituo cha kulea watu wenye mahitaji maalum kama yatima, wazee na walemavu

    Nyumba za ibada kwa maana ya makanisa na misikiti ni sehemu ambazo waumini wa dini kuu mbili yaani wakristo na waislamu hukutana katika siku zao maalumu kwa ajili ya kufanya ibada na mikusanyiko mingine. Kwa kipindi kirefu nyumba hizi zimekuwa na mchango mkubwa katika jamii kwa kushiriki moja...
  14. A

    DOKEZO Mfumo wa kutoa fedha kwenye vikundi vya watu wenye mahitaji maalum ni rushwa tupu

    Kuna wakati tuliungana kuomba mkopo unaotolewa na serikali kwa kweli tulifanikiwa katika hatua zote mpaka usajili wa kikundi tulipata tukafungua na account bank ya kikundi na mradi wetu na wazo letu lilikuwa la mfano kwa namna tulivyoliandaa ila sasa ilipofikia kwenye kupewa hela changamoto...
  15. EvilSpirit

    Wapi naweza pata shule yenye mahitaji maalum?

    Nipo Mbeya kuna mtoto wa ndugu yangu ana changamoto ya kuongea(bubu) nataka kufahamu shule ambayo inapokea watoto wa namna hii
  16. Roving Journalist

    Prof. Mkenda: Wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum msiwafiche ndani badala yake wawapeleke shule kwa kuwa zipo shule maalum

    Na WyEST Masasi, MTWARA Wito umetolewa kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum kutowaficha watoto ndani badala yake wawapeleke shule kwa kuwa zipo shule maalum kwa ajili ya watoto hao. Hayo yamesemwa na Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia alipokuwa akizindua...
  17. fundi msati

    Msaada: Naomba kujuzwa shule za watoto wenye mahitaji maalum zilipo maeneo ya Morogoro

    Habari, Nina mtoto wangu anatatizo la kuzungumza naomba kwa mwenye uwelewa wa zile shule zinazo wafundisha gharama zao na zilipo tafadhari mtoto yupo KISAKI MOROGORO msaada jamani maana anazidi kukua na tulijaribu kumpeleka hizi shule za kawaida ila maendeleo yake sio mazuri.
  18. The Sheriff

    Teknolojia Saidizi: Nyenzo Muhimu kwa Ustawi wa Watu Wenye Mahitaji Maalum na Dunia

    Katika ulimwengu wa kisasa unaozingatia teknolojia, kuna uvumbuzi mwingi sana wa kurahisisha maisha yetu. Teknolojia saidizi imekuwa muhimu sana kwa watu wenye ulemavu, wazee, na watu walio na maradhi mbalimbali. Teknolojia saidizi (assistive technology) ni vifaa au programu yoyote ambayo...
Back
Top Bottom