Shahidi wa sita katika kesi ya Unyang'anyi wa Kutumia Silaha na uporaji inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkaoni Kilimanjaro,Lengai Ole Sabaya(34) na wenzake wawili,Bakari Rahibu Msangi ameieleza Mahakama kuwa kipigo alichokipata ni sawa na nusu kifo kwani alipoteza fahamu kwa muda...
Mh Rais mashitaka dhidi ya Mbowe na wenzake yanashitusha sana watu wengi na hata wale ambao kwa vyovyote si mashabiki wa Mbowe au CHADEMA na ni mashitaka ya juu sana mtu kutuhumiwa nayo hasa mtu wa karba ya Mbowe kwa hiyo matarajio yetu ni kuwa serikali na DPP walishajipanga kumpeleka Mh Mbowe...
Viongozi wengine waliokamatwa Mwanza wameachiwa bila dhamana yaani polisi imewadhamini yenyewe
Mbowe tu ndio bado anashikiliwa Dar es Salaam na haujulikani yupo Kituo gani, hapo unaweza kukuta yupo kwenye Nyumba ya wasiojulikana ili kesho afikishwe mahakamani kwa tuhuma za ugaidi
Mama SASHA...
Polisi wanasema wamekamilisha uchunguzi,Ila wakimfikisha mahakamani sijui kama kesi itaanza au uchunguzi utaendelea.
Kwa vile tuhuma zile ni nzito na viongozi wetu wametujengea flyover,ni bora apelekwe mahakamani.
Hii ni public trial ambapo wote tutafuatilia yanayotendeka.
Lakini viongozi...
Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye.
====
UPDATES;
=====...
Kesi ya Sabaya? Ha ha ha! Anashinda mchana hivi anaondoka akionesha vidole viwili alama ya ushindi. Huku akiwa amewagaragaza waliomshtaki.
Mbona inaonekana tu ipo wazi wala hata haihitaji Darubini kuangalia kesi inavyoelekea.
----
Kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya na...
Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai na wenzake wamefikishwa leo mahakamani kwa ajili ya kuanza kusikilizwa kwa kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayowakabili.
Kesi itaanza kusikilizwa mfululizo. Upande wa Jamhuri una mashahidi 10.
===
Ushahidi kesi ya Sabaya: Shahidi...
Watu watatu wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mkoani Dar es salaam, wakikabiliwa na shtaka moja la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin kilo 1 na gramu 200.
Washtakiwa hao ni Andrew Paul, Said Mugoha na Geroge Mwang’ata wote wakazi wa Temeke mkoani Dar es salaam...
Mtoto wa miaka 15 aliyekuwa akifanya kazi za ndani amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akikabiliwa na shtaka la mauaji ya mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu.
Amefikishwa mahakamani leo Ijumaa Julai 9, 2021 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Salome Mshasha huku...
Pamoja na yote yanayoendelea kuhusu Mdude, ambayo nisingependa kuyarudia hapa, kinachopaswa kufahamika ni kwamba Mdude Nyagali alitolewa gerezani baada ya kuishinda serikali ya Tanzania Mahakamani.
Hakutolewa kwa Msamaha wa Rais wala hakutolewa kwa Huruma ya Mtu yeyote yule, alishinda Kesi ya...
Ole Sabaya mtu mwenye tuhuma zisizo na idadi , leo tena amefikishwa mahakamani huko Arusha akiwa amevaa Suti iliyopauka ili kusikiza kesi zinazomkabili.
Kesi za aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (34) na walinzi wake watano, ambao wanakabiliwa na mashtaka...
Mahakama Kuu ya Tanzania imesitisha Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) na kuwaita Rais wa TFF, Wallace Karia, Bodi ya Wadhamini & Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, kujibu hoja kwa nini uchaguzi huo usisimamishwe. Wanatakiwa kufika mahakamani hapo kesho asubuhi.
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BangBros Bwana. Daler Mehndi amesema wanania ya kumburuza mahakamani aliyekua mfanyakazi wao wa zamani MIA KHALIFA kwa kusema uongo na upotoshaji kua alitengeneza $12,000 kwa muda wote aliokua kwenye Tasnia.
Daler Mehnd amesema
" Mia Khalifa alikua anaingiza...
Ama kweli ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Wakati baadhi ya wazazi wakifurahia mafanikio ya watoto wao, hali ni tofauti kwa Mzee Kharid Segeleje (80), aliyefikishwa mahakamani na mwanaye wa kumzaa.
Mzee huyo ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, amefikishwa Mahakama...
Asasi ya Kiraia ya Okoa Mombasa ikishirikiana na Taasisi ya Uwajibikaji wa Kijamii (TISA) wameiburuza Serikali ya Kenya mahakamani kudai kuwekwa wazi kwa mikataba ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Mombasa - Nairobi ya Standard Gauge Railway (SGR).
Mashirika hayo mawili yanadai serikali iweke wazi...
Aliyekua DC wa Hai Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake leo wamefikishwa tena kwenye Mahakama ya Wilaya iliyopo Sekei Arusha, ili kujibu tuhuma zinazowakabili, Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashtaka matano.
Itakumbukwa June 04,2021 Sabaya na wenzake walifikishwa Mahakamani hapo ambapo...
arusha
bongo
bongo movie
hai
jana
kesi
kilimanjaro
kuhusu
kusikiliza
kutoka
mahakama
mahakamani
mikoa
mkuu wa wilaya
movie
ole sabaya
sabaya
vichekesho
wananchi
wapi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia kesi ya uhujumu uchumi na kuwaachia huru wafanyakazi sita wa kampuni ya meli ya Sinota Shipping Company waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kukutwa na ndege mmoja aina ya tausi.
Washtakiwa hao ambao wote ni raia wa China ni Jin Erhao...