mahakamani

  1. JamiiForums Tanzania Utata wa "identity" wa shahidi wa Jamhuri waibuka mahakamani. Inasemekana huyu Jina lake halisi ni Peter Jumamosi na sio Amin Mahamba...

    Picha: Huyu ndiye Amini Said Mahamba halisi ambaye ni marehemu. Alikuwa Askari Polisi ktk cheo cha SACP. ================= Ikumbukwe kwamba kumekuwa na minong’ono mingi kuhusu shahidi huyu (askari Polisi Amini Mahamba) kuhusu identity yake halisi ambaye ndiye mpelelezi Mkuu wa kesi hii...
  2. K

    JamiiForums Tanzania MADELEKA: Kwenye sheria hakuna 'viashiria' vya ugaidi, ni 'vitendo' vya ugaidi hivyo kama tunakubaliana havipo, basi zile kesi zifutwe kule mahakamani

    Wakili Peter Madeleka ametoa wito wa kufutwa kwa kesi za ugaidi zinazoendelea katika mahakama mbalimbali nchini, akieleza kuwa hazina msingi wa kisheria iwapo hakuna vitendo halisi vya ugaidi vilivyotendeka Akihojiwa katika mahojiano maalum na Mwananchi Digital mnamo Agosti 8, 2026, Wakili...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 3 Kesi Ya Mauaji Ya Dr Mutiso Kufikishwa Mahakamani

    Watuhumiwa watatu wanaohusishwa na mauaji ya mwanasaikolojia wa kliniki Dkt Victoria Nthunya Mutiso wanatarajiwa kufikishwa mahakamani leo, Jumatatu, Agosti 10, 2026. Watatu hao ni afisa wa polisi, dereva wa bodaboda na mtu anayedaiwa kuwa kiungo muhimu katika njama hiyo. Wachunguzi wanataka...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi walia baada ya kesi ya Sh1.1 bilioni ya masomo Finland na Canada kuanguka mahakamani

    Ndoto ya watoto wa Uasin Gishu kusoma Finland na Canada imegeuka kuwa kilio kwa wazazi waliolipa mamilioni ya fedha kupitia mpango wa masomo wa kaunti. Baadhi ya wanafunzi walifika Finland lakini wakakumbwa na matatizo ya ada, huku wengine wakibaki Kenya licha ya wazazi kulipa fedha. Sakata...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baba alifariki 2015, Fedha zake zikahifadhiwa Mahakamani Dodoma, tumekamilisha taratibu lakini tunasotea hadi leo

    Baba yetu alikuwa mfanyabiashara hapa Dodoma mjini. Mwaka 2015, mauti yalimfika na kutuacha tukiwa na huzuni kubwa. Kama ilivyo kwa familia nyingi za Kiafrika, baada ya msiba kupita, kulikuwa na mivutano na mirorongo mingi ya kifamilia kuhusu usimamizi wa mali zake. Hata hivyo, kuna kitu kimoja...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuwafikisha mahakamani watakaojipachika vyeo na kutumia mavazi ya chama kwa nia ya kukichafua chama na viongozi

    Tumekubaliana mawakili wa Chadema sasa tutakuwa tunawapeleka mahakamani watakaokuwa wanakichafua chama kwa manufaa yao. Kwa yeyote mwenye nia ya kukichafua chama kwa manufaa yake yoyote, aache mara moja maana hatutaruhusu tena kuendelea kwa hali hii. - Mhe. Dickson Matata.
  7. JamiiForums Tanzania Heche: Kijana niliyemshtaki kwa madai ya kunitukana sasa ananiita 'baba'!, aje athibitishe Mahakamani

    John Heche amesema amefungua kesi dhidi ya mtu anayedai amekuwa akimtolea kauli za uongo, akisema mhusika atalazimika kuthibitisha madai yake mahakamani. Pia ameonya kuwa watakaoshindwa kuthibitisha madai yao na kulipa fidia wanaweza kupoteza mali zao. "Nimeanzisha kesi yangu aje kudhibitisha...
  8. JamiiForums Tanzania Katambi: Tusitetee vitu ambavyo hatuvijui hasa kwenye mashauri ambayo yako mahakamani

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi akitoa ufafanuzi Julai 29, 2026 Visiwani Zanzibar baada ya kuwepo kwa malalamiko ya kukamatwa kwa watuhumiwa 130 wa makosa mbalimbali nchini. “Hakuna mtu ambaye anaweza kulengwa wala hakuna kusudio lolote linalokusudia kumlenga mtu au taasisi...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi ni mali ya serikali na kisheria kuanzia kikatiba,polisi mpaka mahakamani.

    1.Uhai. 2.Kinyeo. 3.Sehemu za jinsia KE au Me. 4.Viungo vya pilau vya mwanadamu. 5 .Haki 6. Basic needs 7.Rasilimali za nchi na mali.
  10. JamiiForums Tanzania Kwa hili la DCwa kisarawe anatuamisha kwamba serikali haiwezi kushitakiwa mahakamani

    Msikilize hawa ndo wanaokwamisha Katiba mpya
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Polisi, huwezi kumshitaki mtu mahakamani kwa hisia, 'alitaka kuandamana', 'alipanga kuchoma transformer', halafu ukashinda

    Msemaji wa Jeshi la Polisi amesema jeshi hilo limekamata magaidi 130 na tayari 36 wameshafikishwa mahakamani. Msiishie kusema tu walipanga kuchoma transformer nchi iwe gizani, tuambieni nchi nzima ina transformer ngapi na ngapi zimechomwa. Mnasema walipanga kuua viongozi wa serikali akina nani...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Watuhumiwa 36 kati ya 130 Wafikishwa Mahakamani kwa Makosa ya Jinai

    Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza kuwa watuhumiwa 36 kati ya 130 waliokamatwa kwa tuhuma mbalimbali za uhalifu wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka. Katika taarifa iliyotolewa Julai 26, 2026, Jeshi la Polisi limesema watuhumiwa hao walikamatwa kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha...
  13. JamiiForums Tanzania Simulizi ya Hamisi Delgado: Anavyomkumbuka Joseph Kasella Bantu Mahakamani Tabora na Uhamishoni Ujerumani

    https://youtu.be/08lfmnl-ahQ
  14. K

    JamiiForums Tanzania MPYA Je ni kweli wenza walioenda mahakamani kwa madai ya talaka ni tukio la mwaka huu?

  15. O

    JamiiForums Kenya Watu 45 Wafikishwa Mahakamani kwa Kuzuia Trafiki Karibu na Daraja la Nyayo Stadium

    Watu 45 wamefikishwa mahakamani baada ya kukamatwa kwa madai ya kuzuia mtiririko wa magari katika eneo la daraja la waenda kwa miguu la Nyayo Stadium, kando ya Barabara ya Mombasa, Nairobi. Mamlaka ya Kitaifa ya Usalama wa Usafiri na Barabara (NTSA) imesema hatua hiyo ni sehemu ya operesheni ya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania KWELI Je ni kweli wenza hawa kesi yao ya talaka imeghairishwa kwa sababu ya kuvaa sare mahakamani?

    kuna picha inayosambaa mtandaoni ikionyesha wanandoa walio vaa nguo sare wakiwa mahakamani kwaajil ya talaka lakin kesi hiyo imeghairishwa mpaka watakapo kuwa na uhakika
  17. JamiiForums Tanzania Sasa huyu mkuu wa gereza si atajamba mahakamani? Kwa Nini serikali mnaruhusu uzalilishwaji wa WATUMISHI?

    Leo ni zamu ya mkuu wa gereza kufanyiwa dodoso, na Mh Tundu Lissu Sasa huyu si atajajijambia jmn? Kwa Nini serikali inaruhusu uzalilishwaji wa WATUMISHI WA UMMA?
  18. T

    JamiiForums Tanzania Nilipomuona Tundu Lissu akiwa mahakamani akiongea na watanzania kuhamasisha ukombozi, kwa kweli nimemuona raisi wangu wa kweli ajaye

    Mheshimiwa Tundu Lissu ameongea na waTanzania akiwa mahakamani, kwa kweli nimefurahi sana na nimekuwa na strong feeling kuwa huyo ndiye Raisi wangu mpendwa ajaye atakayetutawala na kutupa uhuru wetu wa kweli, kurudisha haki na utu wetu. Huyo ndio Raisi wangu ajaye atakaye tufundisha uzalendo...
  19. JamiiForums Tanzania Ni ajabu!..Tundu Lissu apata nafasi adhimu ya uhuru wa kuzungumza na mawakili bila kuzungukwa na Mapolisi wa kininja mahakamani leo

    https://youtube.com/shorts/JwMVAUPBoPE?si=bofgw1NFolHE6WUi "....Waambieni wanachama wasikate tamaa, wasimame imara kukipambania chama. Waambieni wachangie chama, songeni mbele msinisubiri mimi. Nitatoka na nitawakuta huko mtakakokuwa. Nisiwakute nilipowaacha. Nikiwakuta palepale nilipowaacha...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Katambi alisema wakutane mahakamani, wameenda, leo anasema ni wapinga maendeleo

    Akiwa Shinyanga juzi Katambi alisikika akisema, wanaotishia kumpeleka Mahakamani ni wapinga maendeleo watashughulikiwa. Awali alisema hatishiki na watu wanaopanga kumpeleka mahakamani kwa vile anatekeleza sheria za nchi, akasema "Tukutane Mahakamani". Asitumie mikutano ya kisiasa kuwatisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…