mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kudharau amri ya mahakama ni kosa dogo ambalo mtuhumiwa hapaswi kuhojiwa polisi. Kosa likifanyaki hakimu hutoa amri ya mkosaji kukamatwa na kuadhibiwa

    Utamhoji vipi mtu polisi kwa kosa kama hili ambalo kiuhalisia hufanyika kwenye viunga vya mahakama mbele ya jaji au hakimu. Hata kama ni nje ya mahakama Jaji au hakimu hutoa amri ya mkosaji kukamatwa na kisha kuhukumiwa.
  2. JamiiForums Tanzania MAHAKAMA hiyohiyo Kesi ya Lissu, inatoa Amri, Serikali haifuati , hamna kinachotokea. Alafu Madeleka anakamatwa kwa kutofata Amri ya Mahakama

    Ukistaajabu ya Mussa!!
  3. JamiiForums Tanzania Polisi: Madeleka tunamshikilia kwa kudharau amri ya mahakama Kuu

    Madeleka ana bahati sana hajapotezwa. Baada ya Presha ya Mitandaoni Polisi wakiri kumshikilia. ==== TAARIFA KWA UMMA POLISI DAR ES SALAAM INAMSHIKILIA WAKILI PETER MADELEKA KWA TUHUMA ZA KUDHARAU AMRI YA MAHAKAMA KUU Mnamo tarehe 14 Agosti, 2026 saa 09.30 alasiri eneo la Mikocheni B...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Senate yakata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama kuu kuhusu Gachagua

    Seneti ya Kenya pamoja na Spika wa Seneti wamekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliobaini kuwa haki ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua ya kusikilizwa kwa haki ilikiukwa wakati wa mchakato wa kumng’atua mamlakani. Uamuzi huo ulitolewa Juni 8, 2026, na majaji E.O. Ogola, Dkt. F...
  5. JamiiForums Tanzania Lissu ana hoja: DPP haheshimu amri za mahakama

    Mshtakiwa kwenye kesi ya Uhaini Tundu Lissu amelalamikia tabia ya Ofisi ya mwendesha mashitaka wa Serikali (DPP) kutoheshimu amri za mahakama. Lissu amesema mahakama mara kadhaa imewaagiza upande wa mashitaka kuleta mashahidi wa kutosha kwenye kesi hiyo, lakini upande wa mashitaka hautekelezi...
  6. JamiiForums Tanzania Barua ya Mahakama Kuu Yazua Mjadala: Je, Katazo kwa Mawakili Linakiuka Uhuru wa Kujieleza Chini ya Ibara ya 18 na Kuvunja Ibara nyinginezo za Katiba?

    Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia barua iliyotolewa na Msajili wake C.M. Tengwa tarehe 12 Agosti 2026, imewaelekeza mawakili nchini kuepuka kuzungumza na vyombo vya habari katika maeneo ya mahakama mara baada ya mashauri kuahirishwa. Maelekezo hayo, yanayotegemea Kanuni ya 137 ya Kanuni za...
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama zetu ni huru 100% Mawakili Wapigwa Stop Kuongea Kesi za Mahakamani!

    Katika hali ya kufurahisha, mawakili wamefurahia sana kwa kitendo cha Mahakama zilizokosa weledi hupenda kufurahisha anayewateua majaji na si kufurahisha sheria. Kanuni hiyo inakiuka ibara ya 18 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano Watanzania. Hivyo kanuni hiyo haina uhalali wowote wakuendelea...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Haki ya Mtoto Kutunzwa na Wazazi Wote Wawili Baada ya Utengano – Funzo Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania

    Utengano au talaka kati ya wazazi mara nyingi huacha majeraha makubwa, lakini waathirika wakuu katika migogoro hii huwa ni watoto. Leo tuangazie uamuzi muhimu sana wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza (Rufaa ya Ndoa Na. 03 ya 2021) kati ya Aloyce Masalu Mapembe na Paulina Romanus...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Democratic (USA) walitumia mahakama kumthibiti Trump, naye akatumia mahakama kujijenga kisiasa, Akashinda. CCM Jifunzeni

    Wakati mwingine tujifunze kwa mifano hai. Chama tawala cha Democrats 2020 -2024 walitumia mahakama kumwangusha Trump kisiasa. Trump alishtakiwa kesi 4 na mashataka karibu 100. Trump akageuza uwanja wa mahakama jukwaa la kisiasa la kutafuta huruma ya Wamarekani. Trump Akashinda uchaguzi na kesi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tuleteeni yanayojili mahakama kuu - Kesi ya TAL

    Wana JF naomba aliye na updates za kesi hii atuwekee hapa maana wengine huko Dar ni mbali sana kutoka hapa tulipo
  11. JamiiForums Tanzania Hata kama Tanzania ikijitoa kwenye Mahakama ya ICC leo, Mahakama hiyo ina mamlaka ya kuchunguza makosa yaliyofanywa wakati nchi ikiwa mwanachama

    Marekani imekuwa ikizishinikiza nchi kadhaa za Afrika kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ikiwa ni pamoja na kutishia kuchukua hatua dhidi ya serikali zitakazokataa kufanya hivyo, gazeti la Le Monde liliripoti Jumanne. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yaamua Uchaguzi Mkuu Kenya unapaswa kufanyika Agosti 11, 2026, hata hivyo utekelezaji wake wasitishwa

    Mahakama ya Malindi imeamua kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa Kenya unapaswa kufanyika Jumanne, Agosti 11, 2026, na si mwaka 2027. Katika hukumu iliyotolewa Malindi, Jaji Mugure Thande hata hivyo alisitisha utekelezaji wa uamuzi huo hadi baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Jaji alisema kufanya uchaguzi...
  13. JamiiForums Tanzania Ugaidi Arusha: Shekhe Lema ahakumiwa kifo na Mahakama ya kanda Arusha

    Sheikh Lema ahukumiwa kunyongwa☝️ Ajumuishwa na Mashekh wengine watano Ameandika...Bakari Mwakangwale SHEIKH Jafari Lema ambaye alikuwa Imam wa Masjid Quba Jijini Arusha, na wenzake watano, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa na Mahakama ya Rufaa Arusha. Mahakama imetoa hukumu hiyo Jumatatu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kama mahakama zetu hizi zinaendeshwa na wati sizani kama mtu mwenye akili ambaye muwekezaji anaweza kuweka mali zake labda naye yupo kwenye huyo mtu

    Wanacho jisahau CCM na Jaji mkuu wanahisi mwisho kukutana na maswali ni hapa ndani nchini. Mahakama zetu na jaji mkuu ili muwe na sifa kesho mfano mumeenda mkutano wa majaji duniani ukaulizwa kesi ya lisu utasema amani. Wawekezaji wa kubwa wanaangali kwanza mahakama zetu na wakiona mwenendo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Bado Mahakama haiko huru, tusiwe lured na hiki kihukumu cha Lisu. Mahakama needs to do more to regain its independence. NAIHESHIMU SANA MAHAKAMA

    Jana Mahakama imetoa ushindi kwa LISU. Kumekuwa na nderemo na vifijo kwa hukumu hiyo. Kwangu mimi sina la kushangilia, bado Mahakama ni tawi la serikali linapokea maagizo ya serikali. Tusishangilie vitu vidogo kama hivyo! Bado mahakama haiko huru. It needs to do more! And this is difficult to...
  16. JamiiForums Tanzania Remedy DPP anayoweza kuifanya ni kuiondoa Kesi dhidi ya Lissu Kisha kumkamata tena na ku fix ushahidi wake ambao umetupwa na mahakama zote mbili

    DPP sasa ana option ya Kuichomoa kesi kwa kutumia kifungu cha 91 cha Sheria ya mwenendo wa Makosa ya Jinai lakini kifungu hiki hakitoi kinga kwa mshitakiwa kukamatwa tena na kufunguliwa kesi ile ile au mashtaka mengine hapa naona ndiyo jambo ambalo linaweza kufanyika. Kwanini Kesi inatakiwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yatengua Hukumu ya Eliakim Maswi Dhidi ya Mwita Waitara na Mara TV

    Kama mnavyofahamu, kumekuwa na mvutano mkubwa wa kisheria kati ya Bw. Eliakim Chacha Maswi na Mbunge Mwita Waitara, ukihusisha fidia ya mabilioni ya shilingi. Leo nimepitia hukumu mpya ya Mahakama ya Rufaa kupitia hukumu iliyotolewa leo tarehe 29 Julai 2026, na nimeona ni vyema niwaletee...
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Yamuachilia Huru Dereva wa Rally Maxine Wahome katika Kesi ya Mauaji ya Assad Khan

    Mahakama Kuu imemuachilia huru dereva wa mbio za magari, Maxine Wahome, katika kesi ya mauaji ya mpenzi wake wa zamani, Assad Khan, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake bila shaka yoyote. Katika uamuzi uliotolewa Jumanne, Julai 28, 2026, mahakama ilisema...
  19. JamiiForums Tanzania Asante Jaji Mkuu Kukemea Hukumu za Mahakama Kudharauliwa!, Mahakama Itoe Hukumu SMART Zenye Meno, Zisipotekelezwa, Mahakama Ina Ng'ata!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe la Leo, nikimpongeza Jaji Mkuu George Masaju ni mtu mwenye hofu ya Mungu, hivyo ataisaidia Mahakama kutoa hukumu za haki, ambalo litalisaidia taifa na kuwasaidia Watanzania kupata haki. Pia amekemea kitenda cha baadhi ya mamlaka za serikali...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Marekani Yaitetemesha Dunia Nzima. Yataka Mahakama Ya ICC Ifutwe Haraka Sana . Watu Walipuka Kwa Shangwe na Nderemo kuiunga Mkono Marekani.

    Ndugu zangu Watanzania, Dunia Yatikisika ,Dunia Yatetemeka ,Dunia yaripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kishindo kikuu kilichosikika Duniani kote baada ya Marekani kuikosoa vikali sana na kutaka Mahakama ya ICC kufutwa haraka sana . Marekani imepaza Sauti yake iliyoitetemesha Dunia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…