Mahakama ya Hakimu Mkazi iliyopo Kisutu, jijini Dar es Salaam, imetoa hukumu katika shauri la madai ya kashfa lililofunguliwa na msanii na Mbunge Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo) dhidi ya Webiro Wasira maarufu kama Wakazi.
Katika hukumu iliyotolewa tarehe 13 Machi 2026, mahakama imebaini...
Mkondya na mwenzake, Rweyemamu John (59), ambaye ni Meneja na Mkaguzi wa fedha wa kampuni hiyo, wanakabiliwa na mashtaka 126 yakiwemo ya kuendesha biashara ya upatu na utakatishaji fedha yanayomkabili Mkondya pekee yake.
Ndambala, mkazi wa Mikocheni B ametoa ushahidi wake mbele ya Hakimu Mkazi...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru washtakiwa wawili kati ya sita waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kuua bila kukusudia baada ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa, eneo la Kariakoo.
Wawili hao ambao ni Zenabu Silam (61) na Ashour Awadhi Ashour (38) wameachiwa huru leo baada ya...
Kesi ya utakatishaji wa fedha kiasi cha Shilingi milioni Tsh 138.5 dhidi ya mwanaharakati maarufu kwenye mitandao ya kijamii, Mange Kimambi, ambaye anaishi Marekani inatarajiwa kutajwa leo Desemba 4, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Hassan Makube.
Katika...
Ndugu jamaa na marafiki wamefurika nje ya viunga vya mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es salaam Tanzania wakiwasubiri ndugu zao wanaokabiliwa na mashitaka ya uhaini kutokana na machafuko yaliyotokea Tanzania siku na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba.
Hapo jana watuhumiwa 210 waliachiwa...
Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 97l8 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025.
Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer.
Kesi hizi zimepangwa kusikilizwa kwa hatua za awali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.
====...
jeshi la polisi
maandamano ya oktoba 29
mahakamamahakamayakisutumahakamani
mashitaka
mfanyabiashara
niffer
uhaini
uhaini wa niffer
vurugu za uchaguzi
wengine
Wanasheria msaada tutani,
Jumatatu Mh Tundu Lissu atamchepuka Nassoron katuga kwa kumgalagaza kama shakibu mume wa zari alivyolaruliwa ulingoni, ushindi wake UTAKUWA WA kishindo
Swali ni kuwa ataachiwa na KUKAMATWA Tena na kufikishwa kisutu je anawezaje ponaje mtego huu?
Msaada wazee najua...
Hii kesi kama ingelikuwa kipindi kile cha mbowe na kesi ya kupewa ugaidi tuliona mashaidi na hakuna aliyekuwa na mada nao hata leo ukiniuliza hakimu aliyesimamia ile kesi itabidi kutafuta sura yake sababu ilikwenda japo kwa maagizo ya upande wapili.
Sasa upande wenu kama wakili mmoja wa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu akiwa Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili. Kesi hiyo iliyofunguliwa na Jamuhuri dhidi ya Lissu
Fuatilia LIVE - GE2025 - Kesi ya uhaini ya Jamhuri dhidi ya Tundu Lissu inaunguruma Kisutu...
Mmoja kati ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akivutana na askari wa Jeshi la Polisi katika Mahakama ya Kisutu ambako kesi inayomkabili mwenyekiti wao, Tundu Lissu, inaendelea.
Mahakama ya Kisutu ambayo haina uwezo wa kuisikiliza.
Mbona ni kama kupoteza muda na raslimali.
Na Tunaambiwa UHaini ni kosa kubwa sana.
Sasa Kwa nini Mahakama ya Hakimu Mkazi.
Rekebisheni hapo, haya makosa makubwa yafunguliwe mahakama kuu moja kwa moja.
https://www.youtube.com/live/oU5eT7Dimu0?si=BYYHRNCBHOz_0_ye
Siku hazikawii kufika, usikilizwaji kesi ya Lissu huo umewadia. Kama mnakumbuka wakayi uliopita upande wa mashtaka walisema wanahitaji muda zaidi kukamilisha upelelezi na wakaambiwa tarehe itakayopangwa kutakuwa hakuna nafasi ya hiki...
Allegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.
Ndo kapiga watu na hicho kifimbo chake. Sijui ni kifimbo cha mpingo au vipi, maana ni cheusi.
Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi?
Au na yeye...
Wakuu,
Niliwapa spana kidogo Mahakama ya Kisutu baada ya kurusha kesi ya Lissu mubashara video ikiwa hovyo, nyeusi na haionekani vizuri, sauti ndio usiseme, ni kama tulikuwa tunaangalia tu watu wakinyanyuka na kukaa lakini sauti hakuna.
Pia soma: Pre GE2025 - Mahakama mnashindwa kuwa na vifaa...
ILe kesi ilivyoisha tu tarehe 19, May ilifutwa!l na wote waliokuwa wanarusha pia iliondolewa. Nadhani kimemo kilipita kikiwataka wote waondoe. Kwa waliobakisha kama Global ilikuwa ni ile video ya nje pekee lakini ndani ya chumba cha mahakama iliondolewa.
Nilitaka kuweka uzi lakini waliirudisha...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Miongoni mwa mambo aliyofanya ni kutoa salamu ya No reforms, no election, kuwaambia wafuasi wake kuwa wapo vizuri lazima kesi yake iendeshwe hadharani kwenye mahakama ya wazi.
Pia anaonekana yupo imara sana...
Polisi kiuhalisia kazi ya kubwa ni "ku - mantain law and legal orders" ambayo imewekwa ktk lugha rahisi ya "kulinda usalama wa raia na mali zao..."
Katika ku - maintain law and orders, moja ya jukumu lao la kwanza kabisa ni kuzuia uhalifu usitokee kwa kudhibiti visababishi....
Ikitokea kuna...
Baadhi ya waandishi wa habari wamedai kuzuiliwa kuingia eneo la Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi zinazomkabiki Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, leo AprilI 23, 2025.
Chanzo cha kuaminika kutoka eneo hilo kimeeleza kuwa wamezuiliwa kuingia Mahakamani na Askari ambao wanazunguka eneo la...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amewataka wananchi kuendelea kuwaunga mkono katika kuhakikisha yanafanyika mabadiliko ya sheria za uchaguzi, ili kufanya siasa safi na kushiriki uchaguzi ambao watapatikana viongozi bora na watakaoleta mabadiliko kwa...
Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo unatarajiwa kusomwa uamuzi juu ya uhalali wa hati ya mashtaka kwenye kesi zinazomkabili mwanasiasa mkongwe nchini Dkt. Wilbroad Slaa.
Dkt. Slaa hajafikishwa mahakamani hapa na sababu iliyoelezwa na upande wa jamhuri kuwa ni uwepo wa changamoto ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.