Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, inatarajiwa kutoa uamuzi wake Alhamisi, Juni 26, kuhusu kesi mbili muhimu dhidi ya Serikali ya Tanzania zinazohusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Kesi hizo ni ya Ado Shaibu na wenzake na ya Abdul Nondo...