Ukiingia ama ukitoka?kwanini?
Au sioKule ni kama harusini, hivyo lazima ujiandae kwa ndoa. Kuna mabwana harusi Wanasubiri mabibi harusi..!!
utaliwaje wafungwa na mahabusu wamejaa selo, kwanza nani atakutafuna, nyampara au mfungwa/mahabusu mwenzako? Hayo mambo hayapo, mazingira ya ufichoficho hakuna. Kama kuna mfungwa/mahabusu analiwa basi huyo ni msenge anaridhia adukuliwe. Kule ni ubabeubabe hata nyampara anadindiwa tu, ukiwa mnyonge mnyonge utadekishwa na kubebeshwa mavi kila siku. Nyampara ni wakorofi ila ukiwadindia wananywea na kukuogopa na kukuona we si mtu wa kawaidaKule ni kama harusini, hivyo lazima ujiandae kwa ndoa. Kuna mabwana harusi Wanasubiri mabibi harusi..!!
😂😂😂 khaaahKule ni kama harusini, hivyo lazima ujiandae kwa ndoa. Kuna mabwana harusi Wanasubiri mabibi harusi..!!