mahaba

  1. Joshua Mbezi

    Hivi hii misimamo na mahaba ya namna hii huwa mnayatoa wapi?

    Katika ukuaji wangu Kuna Imani na misimamo nikimuona nayo mtu nabaki namshangaa kabisa Kwa mfano; Hivi inawezekanaje kuwa chawa wa mtu kiasi Cha kushindwa kuona mabaya take?🤔 Hivi mtu unawezaje kujidhuru kwa ajiri ya mapenzi ?🤔 Hivi kipi kinacho Mfanya mtu anashindwa kumuamini Mungu au...
  2. Pdidy

    Utajuaje una majini mahaba?

    DALILI ZA KUJIJUA KAMA UNA JINI MAHABA. 1. Kuota unafanya MAPENZI na MTU unayomjua au usiyemjua kwa sura tofauti. 2. Kuota unafanya mapenzi na mnyama. 3. Kuota unanyonyesha au kujifungua mtoto. 4. Kutokudumu kwnye mahusiano kama ndoa au mchumba. 5. Kuwa na hasira za haraka. 6. Kukwama kwa...
  3. M

    Wapuuzeni Msijibu yale matusi ya vijana wa Chaumma waliokimbia Chadema kwa mahaba ya mbowe wana ajenda yao

    Kuna wale vijana waliotoka chadema kwa ridhaa yao na kuhamia chauma baada ya ajenda yao kujulikana. Hawa vijana wanatafta attention kupitia kuitukana chadema na maneno yasiyo na tija mtandaoni! Watu hao wanaotumia kurasa za mitandao ya kijamii kuishambulia zaidi chadema. Wana ajenda kuu...
  4. Fbn

    Huyu jamaa mchambuzi wa Azam na ana youtube channeli yake IBRAHIM RAHBY uchambuzi wake ni wachumbuzi wa mpira wenye mahaba na timu zao.

    Kutaja wachambuzi list hapa tz niwengi sana yani unaona kabisa uchambuzi wao ubalance yani kuonesha hisia zao zipo wapi kwenye saisa,mlengo gani,kuwa upande gani. Katika siku ambayo nilimuona huyu mchambuzi ni shabiki wa waarabu fatilia uchambuzi wa sudani kule kwa bashiri RSF.Fatilia uchambuzi...
  5. Kidamabi

    Kwa anayeuza pikipiki aina ya ADV 160 ABS tuwasiliane tafadhali

    Kama yupo dealer wa hizi chuma kutoka bara la Asia, ajitokeze. Siku mfuko wangu ukituna aniletee ya KUMENYA mimi mwenyewe. Bei isizidi 11M
  6. Binti wa zamani

    Miguno, vilio, sauti za mahaba ukiwa kitandani

    Unapenda kusikia zile sauti za mahaba au mpenzi / mwenza wako akizitoa zinakukera? Ushawahi kukutana na miguno au vilio vya ajabu mpaka vikakushangaza? ilikuwaje? Mimi najitolea kusema kwa niaba ya wanawake, "wanaume tunapenda mkitoa hizo sauti zenu na mkigugumia na vile vibesi" jitahidini...
  7. Binti wa zamani

    Vipi mpenzi wako anapenda kukufanyia nini? Mimi wangu anapenda kunibeba mgongoni!

    Vipi huko kwenu mahaba yapo au mnapelekwa kijeshi jeshi tu? Wanawake tuambizane ili tujifunze mapya, vipi huyo mpenzi anakuonyeshaje mahaba kitandani na nje ya chumbani? Pia kwa nyie wanaume, wake / wapenzi wenu huwa wanawafanyia nini cha kuwanogesha? Huyu wangu mbali na kunifanya nirushe...
  8. Natafuta Ajira

    Aina za single mother

    1. Single mother mjane. Baba mtoto amekufa. Hajatalakiana nae, hajakimbia, isipokua amekufa. Huyu mwanamke hajachagua kuwa single mother, maisha yamemlazimu. Kuna heshima jinsi anavyoubeba huo mzigo. Anapambana vita ambayo hajaianzisha na bado anailinda heshima yake. Huyu ndie single mother...
  9. Tauceti Rigel

    Mambo 10 ambayo hatuwaambii wake zetu ila yapasa wajue

    Mimi ni mwanaume. Sio shujaa kila siku, sio jasiri kila saa. Nina mapenzi, nina udhaifu, nina hamu ya kueleweka—lakini mara nyingi husema “poa” tu ili mambo yaendelee. Kuna vitu navikalia moyoni kila siku. Leo naandika kwa mara ya kwanza, sio kwa hasira, bali kwa tumaini kwamba kuna mwanamke...
  10. Camilo Cienfuegos

    PreGE2025 Nimekutana na magari mengi hapa Dodoma yakiwa na usajili huu, ndio mahaba au kujipendekeza?

    Kwasasa Dodoma kuna magari yana usajili huu. Usajili huu wa kufanana hauwezi kuleta shida huko barabarani? Je ni mahaba au kujipendekeza kwa Rais?
  11. Dr. Mariposa

    Wanaume mmepitwa mapenzi na mahaba na Jogoo

    Najua haiwahusu ila nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji sasa basi nina majike wanne na jogoo moja, nimeshtushwa sana jinsi jogoo anavyowajali wake zake, Kwanza, jogoo hali mpaka majike wale, anawaitia chakula yeye anasimama pembeni, Pili, anawapeleka sehemu ya kutagia yaani anatengeneza sehemu...
  12. Kibosho1

    Jini Mahaba ni dhana tu sio kweli, ni kushindwa kuwajibika kwenye ngono

    Kwa uchunguzi wangu mpaka nimefika hapa naamini hakuna kitu kinaitwa jini mahaba. Hii dhana imekuja baada ya mume au mke kushindwa kutimiza wajibu wake mchezoni na kusingizia mwenza wake ana jini mahaba. Ukweli ni kwamba kuna wanawake na wanaume ambao ngono kwao ni jambo kuu, kwa hiyo...
  13. Braza Kede

    Wapi wanafaa zaidi: Legelege ila wana full mahaba au wachapakazi ila mabandidu?

    Wakuu Hakuna aliye mkamilifu chini ya jua. Mara nyingi muumba atakujalia kipawa au karama hiki akakunyima ile hiyo ndio hali halisi. Wengine wameenda mbali zaidi kudai hata malaika sio wakamilifu 100%. Sasa kwenye mambo ya mahusiano kuna wanaojulikana wako njema sana kwenye mahaba ila wako...
  14. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Dada zetu wakinunuliwa Zawadi na waume zao wanasema Mahaba lakini sisi tukifanya hivyo Kwa wake zetu wanasema tumerogwa!!

    Hivi ndivyo ilivyo wakuu...... Shemeji zetu wanapo onyesha upendo hadharani Kwa dada zetu kuwanunulia zawadi kadhaa wa kadhaa . Dada zetu hufarahii sana na kusema haya mahaba (Upendo/Anapendwa) Ni mara kadhaa tunaona mashemeji wakijenga ukweni. Familia nzima itamsifia sana huyo...
  15. G

    Zambia, Mwanaume aamua kuvunja ndoa baada ya mke wake kulipia milioni 2 kupiga picha na Chris Brown akimkumbatia na kumbusu

    Imetokea Zambia hii, Chris Brown alienda Sauzi kupiga show wiki iliyopita, Mke wa mtu akafunga safari kwenda kumuona, haikuishia hapo akalipia meet and greet, hiki ni kiingilio kwa wale wanaotaka kumuona msanii kule back stage na kupiga nae picha, Chris Brown huwa anatoza dola elfu 1 (shilingi...
  16. babukijana

    Jini mahaba, hawa ni wa kawaida tu

    Kusema ukweli ni viumbe tu wa kawaida kabisa, yaani in soul anaongea na wewe na mtakaa vizuri tu. Ukichepuka analia kule. Then ndio unaanza kuona mabalaa. Machozi yake ni Lulu. Siku ukikutana na huyo mwanamke hutatamani tena kuwa na kitu kinaitwa binadamu? Utaona raha zote zinapatikana pale...
  17. SweetyCandy

    Msaada: Anateswa na jini mahaba, kajaribu kila kitu kimeshindikana

    Wadau jamani tukiacha matani ni wapi mty aende akatolewe jini mahaba anasumbua sana kiasi cha kuua hata walio karibu na huyu dada mpaka nasasa amekuwa anaadhiri sana maisha yake. Ikiwemo uchumba kuharibika na riziki pia kaombewa, kanywa mafuta kafanya kila kitu umri unaenda naombeni mumsaidie...
  18. Udart

    Mateso anayonipa jini mahaba

    Kwema? Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia...
  19. kinguhj

    Jiji la mahaba Tanga

    Nimekumegea sehemu ndogo ya jiji la Tanga na madhari yake. Karibuni waja leo,kuondoka majaliwa.
  20. Brain Kingdom

    Kuna wanawake wanajua mapenzi utadhani ni majini mahaba

    Aisee nimekutana na mwanamke anajua kupita kiasi nimepiga mayowe nyumba nzima wameshtuka, na mimi huwa nikiwa napiga shoo siwezi kujibana sauti. Bora lawana kuliko kujibana sauti naongea nasifia, natukana, najiapiza mwenzenu nina mapenzi mlipuko, Kila style nimezidiwa mimi, alivoikalia mbao...
Back
Top Bottom