magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia kama angekuwa na roho ya kisasi kama Magufuli Polepole na wenzake waliotaka kupindisha katiba Samia asiwe Rais leo hii tungesema mengine

    Magufuli alikuwa na roho mbaya na ngumu. Ndiyo maana tunasema ni mtsusi. Ukimkosea hana msamaha Ndio maana tunaomjua Magufuli tunasema Polepole ni muongo na tapeli wa kiasiasa. Eti Membe alipanga mipango ya kumuua Magufuli na Magufuli na Magufuli amekaa tu anasubiri kuuwawa. Magufuli huyuhuyu...
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kimenuka nchi jirani Wananchi wadai Ruto anashughulikia mafisadi kama Shujaa Magufuli

    Leo tu taasisi ya kupambana na Rushwa imewakamata Magavana watatu na wako korokoroni hadi kesho watakapopandishwa kizimbani Waziri wa Afya amekabidhi kwa DCI mafaili ya zaidi ya mafisadi 100 waliofisadi bima ya afya Ndio Wananchi wamedai Shujaa Magufuli kafufukia Kenya
  3. JamiiForums Tanzania Wateule wote wa Hayati Magufuli walikuwa wanafiki kasoro Humphrey Polepole

    Hilo halina ubishi, mimi mwenyewe niliishi naye kinafiki, hata huyu wasasa naishi naye kinafiki cha msingi msimwambie sawa jamani? Ila Rais mzalendo alikuwa JPM tu, nasema uongo ndugu zangu? Shida yake ni 1 tu, aliteua mafisi yote na mwadamu 1.
  4. JamiiForums Tanzania Mzimu wa Hayati Magufuli unavyopambana na misukule ya wanamtandao

    Kabla ya kuja kwa waarabu kuleta dini ya Kiislamu na wazungu kuleta Ukristo Tanzania, mababu zetu walikuwa wana mtazamo tofauti na wa hizi dini kuhusu maisha baada ya kifo. Wao waliamini kuna misukule na mizimu. Waliamini kila kifo kina matokeo mawili. Kama mtu atakufa kikawaida, anageuka na...
  5. JamiiForums Tanzania Naiona spirit ya Magufuli ndani ya Mpina

    Tatizo ni kuwa ana papala ukichanganya na mihemuko ya ujana anashindwa ku-calculate risk. Ila he is the new Magufuli.
  6. JamiiForums Tanzania Hii picha za Hayati Magufuli msibani kwa Kijazi ilizungumza mengi sana

    Jua lilikuwa limefichwa na mawingu mazito siku ile ya mazishi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. John Kijazi. Uwanja wa mazishi ulikuwa kimya, ukitawaliwa na sauti za ndege wachache waliokuwa wakiranda angani, kana kwamba nao walihisi huzuni ya siku hiyo. Viongozi na wananchi walikusanyika, wakivalia...
  7. JamiiForums Tanzania Ila hata magufuli pamoja na ukali wake ila bado sikumuona kama anatosha

    Rais gani unaogopa kutaja majina ya wauzaji wa madawa tu ya kulevya unaishia kusema Tu wakina Fulani hata makonda anakushinda anathubutu kuwataja.Au mafisadi unafanya nao bargain Khaa badala ya kuwafunga yaani unashindwa kufunga watu wasiozidi 500 ili uokoe watu million 50? Rais gani unawajua...
  8. JamiiForums Tanzania Audio: Magufuli akiviagiza Vyombo vya ulinzi kumchukulia hatua aliyelipwa mabilion ya pesa kuhusu sare za polisi

    GT Nikikaa nafikiria ulegelege wa vyombo vya ulinzi na usalama awamu hii mwili huwa unakufa ngazi kabisa. Jamani au na Wao wamejiunga na MACCM Kuiba rasilimali za nchi hii. Hapa Hayati Magufuli aliagiza Angela kizigha achukuliwe hatua lakini why siyo sasa na amerudishwa tena ooh nooo my country..
  9. JamiiForums Tanzania Watoto wa Nyerere, Mkapa na Magufuli hawana ushawishi kwenye siasa za Tanzania

    Watoto wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Benjamini William Mkapa na John Pombe Magufuli hawana kabisa ushawishi kwenye siasa za Tanzania. Tofauti na wenzao watoto wa Ali Hassan Mwinyi, Jakaya Mrisho Kikwete na sasa Samia Suluhu Hassan, ambao wote wazazi wao kwa nyakati tofauti wameshika...
  10. JamiiForums Tanzania PICHA: Magufuli alivyokutana Rostam kufungua kiwanda if you dont get forget about it

    Hii picha ya chini haihusiki na topic
  11. JamiiForums Tanzania Huyu mwamba alilia sana kwenye msiba wa Raisi Magufuli

    Mlinzi wa magufuli kipindi hicho alilia sana kwenye msiba wa hayati rais Magufuli. Ninaamini kwamba huyu mlinzi anajua kila kitu kuhusu kifo cha Magufuli sema anahofia uhai wake. Kwenye picha huyo wa kushoto alievalia suti.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi wakati magufuli anakaribia kufariki alikuwa ametoa orders lakini watu flani walizizuia zisitekelezwe, ndio maana tulikuwa tunafichwa fichwa

    Kifo cha Magufuli tulifichwa fichwa sana hadi kilipotangazwa rasmi. Ni nini kilikuwa kinaendelea hadi tunafichwa kiasi hicho. Inaonekana kulikuwa kuna amri nzito sana alizitoa zitekelezwe lakini kulikuwa na watu walioshinikiza zisitekelezwe kwa kuwa na uhakika hawezi kurudi. waliotaka...
  13. JamiiForums Tanzania Polepole aache kutumia jina la Hayati Magufuli kuhalalisha vioja vyake.

    Baada ya kutazama video nzima ya Polepole ya dakika 59 nimeona niandike huu uzi ili kuweka mambo sawa kwa facts tupu. Huu uzi ndo utakuwa msimamo wa JF nzima dhidi ya vioja vya Polepole. Nimejitahidi kumpuuza ila naona anakoelekea sio pazuri kwa afya yake ya akili ndo maana nimeona nimsaidie...
  14. JamiiForums Tanzania Polepole amefanya nimwelewe Magufuli

    Wakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa. Lakini baada ya Polepole kuelezea mambo mengi yaliyokuwa yanafanyika nyuma ya pazia, sasa nimeanza kuelewa kuwa Magufuli alikuwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

    Zile kesi mbalimbali zilizokuwa zinaibuliwa na Lissu , pamoja na mabeberu zilikuwa hazitokei bure. Ni wanamtandao walikuwa wapo nyuma ya huu mchezo. Na moja ya Wanasiasa wa upinzani waliokuwa wakitumika kumuhujumu JPM ni Lissu. Ipo hivi, Wanamtandao walikuwa wakimpa mafaili Lissu , ili...
  16. JamiiForums Tanzania Sijui kwanini Magufuli alilivunja jengo la TANESCO-Ubungo, pengine Polepole atujuze!

    Jengo la Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeshawekwa alama ya X ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli kulibomoa kupisha barabara za juu (Tazara Fly-Over). Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Mkoa wa Dar es Salaam, Ndyamukama Julius alisema jana kuwa pia, wametoa...
  17. JamiiForums Tanzania Tuliompenda Magufuli kindakindaki hatuitishi press leo bali tulisimama naye mwanzo mwisho

    Niweke rekodi sawasawa hapa jamvini na nieleweke vyema na ninatoa "challange" kama kuna mwanajamvi yoyote ndani ya JF aliyempenda na kusimama na The Late John Pombe Magufuli na ajitokeze ! Yapo machapisho yangu humu jamvini yenye unyoofu kabisa juu ya msimamo wangu kuhusu JPM kabla...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao mlimpenda sana Hayati Magufuli, basi David mwaijojele wa CCK, Ndiye!

    High quality copy ya hayati Magufuli pekee ni bw. David Mwaijojele, trust me or not, kwa wale watu wa msimamo mkali mmepata mtu mwenye wajihi sahihi, mfuatilieni nyendo zake na sera zake pamoja na msimamo yake!, kwa wale ambao bado mnamisimamo mikali pitieni njia hiyo jiungeni kwa wingi...
  19. JamiiForums Tanzania Polepole, Sio kila blunder wakati wa utawala wa Magufuli wakalaumiwa mtandao; hii ni kufanya watu ni wajinga na vilaza

    MPAKA SAHIVI NAAMINI HARAKATI ZA POLEPOLE NI ZA KIMASLAI ZAIDI NA SIO KWAMBA ANA-UCHUNGU NA NCHI HAPANA KWANINI ZIANZE TU BAADA YA SPONSOR (MAGUFULI) WAKE KUFARIKI Moja ya mambo ambayo kutoka kwa polepole binafsi siyapendi ni kujaribu kuonyesha hali wakati wa Magufuli ilikuwa ni nzuri sana...
  20. JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 Rais Samia alifanya mikutano mingi kuliko Magufuli

    Kwa wenye kumbukumbu mtakumbuka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…