Ni dakika ya ngapi ya mpambano mimi hata sifahamu.Lakini...
Ni lazima mmoja baina yao mwisho wa siku atangazwe mshindi!
Ni lazima mpambano uendelee kuwa wa wazi namna hii ili watoa hukumu waendelee kuwa na maksi sahihi kwa kila mmoja wao.
Ni lazima Samia aongeze kasi ya kuupiga mwingi ili...