magufuli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Hayati Rais Magufuli alivyookoa mamilioni ya kupeleka ndege nje kwa ajili ya kuchorwa

    Hayati Rais Magufuli, Machi 28, 2019 alifanya ziara ya kustukiza kwenye karakana za Shirika la Ndege nchini (ATCL) kukagua ukarabati wa ndege ya serikali iliyopakwa rangi kwa gharama nafuu takriban Tsh milioni 5 ikilinganishwa na gharama zilizopaswa kwenda kutumika nje ya nchi kiasi cha zaidi...
  2. O

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI (2019): Magufuli alipompokonya Ardhi ya Ekari 1,000 Mohamed Kiluwa hadharani kwa udanganyifu

    Tarehe 7 Juni 2019 aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayatui Magufuli alikutana na wafanyabiashara kutoka Kila Mkoa Ikulu ya jijini Dar es Salaam. Ref: Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka kila Wilaya nchini. Ataja changamoto za...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mirija ya wanaharakati ilipokatwa na Hayati Magufuli wakaanza kumtukana, alipoingia Samia wakadhani ni mteremko

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema wanaharakati wanapinga sana sababu mirija yao imekatwa na Serikali ya Mapinduzi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli hakuwa rafiki mzuri ndiyo maana familia wapweke

    Raisi Magufuli tatizo lake mmoja hakuwa rafiki mzuri kwa wale watu ambao wamemjua kabla hata ya siasa. mifano miwili 1. Kuna mtu ambaye yeye ndiye alimshauri Magufuli agombee kwa CCM, yeye ndiye aliyempa teksi ya kwanza kwenda kuchukuwa form ya kugombea miaka hiyo ya mkapa. Mzee yule ambaye...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Afadhali ya Magufuli

    Magufuli ndiye alianzisha dhuluma ya utekaji, upotezaji, uuaji wa watu wanaompinga. By comparison, afadhali ya Uovu wa magufuli kuliko wa sasa
  6. JamiiForums Tanzania Magufuli alipomtumbua Simbachawene alitwambia alikuwa analeta Uendisome IKULU, je Samia ATASEMAJE?

    Nilmjua katambi akiwa chadema Hana sifa na hadhi ya kuwa WAZIRI WA mambo ya ndani kama ambavyohafai chawene. Magufuli alimchunguza na kubaini jamaa anatembeza sura na kitombo IKULU akamtumbua je mama atatwambia Nini sababu ya kumtumbua?
  7. JamiiForums Tanzania Nicolus Maduro amesalitiwa kama shujaa wetu hayati Magufuli alivosalitiwa

    Duru za kisiasa zimeweka wazi kuwa Maduro amesalitiwa na watu wake wa karibu. Maduro amefuatiliwa na mashushu wa Marekani kwa muda mrefu kiasi kwamba wakajua hadi siri zake za ndani . Inasemekana alisalitiwa na watu wake wa karibu kiasi cha kuvujisha hadi siri zake za ndani kabisa. Matokeo yake...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa mazingira haya Magufuli na Samia wanastahili nishani za kitaifa za kuilinda Tanzania!

    Yapo matukio kadhaa duniani yanayohusu vita vya kiuchumi ambayo kama mtanzania mzalendo na msomi na mwenye kufuatilia vita baridi vya kiuchumi na kikanda unaaswa na kupaswa kuyafuatilia na kuyazingatia kwa kina bila mihemuko ya kiitikadi,kimazoea au kumezeshwa propaganda . Nimeyetaja matukio...
  9. JamiiForums Tanzania Walimuita hayati Magufuli kuwa dikteta Uchwara. Sasa wanamkumbuka. CHADEMA wana wakati mgumu sana

    Alikuwa busy kuhakikisha rasilimali za umma zinawaletea maendeleo wananchi. Akawaambia tuwe tunajikita kwenye ujenzi wa taifa baada ya uchaguzi. Then baada ya miaka mitano tunafanya siasa.Wakamuita dikteta uchwara Leo hii wanaishi kwa uoga, hata kuweka comment Facebook na Watsap wanaogopa...
  10. JamiiForums Tanzania Nani kama Magufuli?

    Just because I feel My hero, mwamba
  11. JamiiForums Tanzania Stend ya Mbezi kwa Magufuli kosa kubwa ni hili

    Kusolve ile stend ilitakiwa kuwa na mifano ambayo airport za wenzetu na maeneo yao wanavyotumia. Nitatolea mfano wa airport ili muelewe. Airport za wenzetu ukifika hapo utapata huduma zote kama tren ya kukufisha sehemu,barabara maalumu za juu ambazo zitakufikisha eneo ambalo gumu kufikika...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tusiwe wepesi wa kusahau, utekaji aliuanzisha Magufuli kwa kumteka Ben SaaNane. He is the one to blame na Mungu amhukumu kwa hilo

    Aliyàhalalisha na yakashika mizizi mpaka leo. Kwangu mimi hilo linatosha kumtupa kapuni! Kwanini? It is because it involves merciless killing of human life .na mengine yaliyofuata!
  13. JamiiForums Tanzania Barua kwa John Pombe Magufuli

    JohPombe Magufuli Jiwe, Nikiri. Najua hutasoma barua hii. Najua wafuasi wako wataisoma. Naandika kwa hasira na uchungu. Yote ni kutokana na uliyotufanyia. Uliachia maumivu. Wapo wanaoumia tokana na pengo uliloacha. Pia, wapo wanaoumia kwa sababu ya ubaya ulioacha. Bwana John, ni...
  14. JamiiForums Tanzania Uwezi amini kale kagest ka Hayati Magufuli hapa chato kama mpaka kunguni, kamebakia na wateja wa shoo time, familia kabomoeni kana mtia dhambi.

    Nimefika hapa chato nikaona kagest chakavu kameandikwa Magufuli lodge, yaani nmeingia ndani naambiwa ni kakwake, ka enzi akiwa mwalimu. Nikauliza huduma ya kulala naambiwa Kako kwa Ajili ya shoo time ila kana kunguni wa kutosha Nashauri familia kaboeni jaman kanachafua Jina lake na kwa huduma...
  15. JamiiForums Tanzania Mataa ya daraja la furahisha yalikufa na Magufuli, je kigamboni Bado yanawaka? Hata kama hampendi magu, HACHENI hizo.

    Nimefika mwanza siku ya NNE sioni taa za daraja la furahisha je zilikufa na Magufuli? Je kigamboni Bado zinawaka? Hata kama hampendi magu tunzeni vitu vyake viwe kama alivyovijnga
  16. JamiiForums Tanzania Vifo vya Magufuli na Ndugai vimetoa funzo kwa watanzania

    Neno la Mungu linasema kwamba ukimtendea mwenzako ubaya utalipwa hapa hapa duniani. Huu ni ukweli wa wazi na ambao huwezi kuukwepa kwa kuwa umefungamanishwa na neno la Mungu. Mwaka 2017 mheshimwa ndugu Tundu Antipas Mugway Lissu alinusurika kuuawa na watu wasiojulikana mchana kweupe mbele ya...
  17. JamiiForums Tanzania CGI Anna Makakala ndio Mkuu pekee wa Chombo cha Ulinzi na Usalama aliyebaki mwenye uteuzi wa hayati Magufuli

    Rais Samia alipoingia tu madarakani 19 March 2021 alianza taratibu kuwaondoa Wakuu waVyombo vya Ulinzi na Usalama na kuweka wakwake. Ndio, wengine walikuwa washakaribia kustaafu kama Jenerali Mabeyo, ila wengine waliondolewa kabla ya kustaafu kwao kama vile DGIS Diwani Athumani pamoja na IGP...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Magufuli na kwanini alikuwa anapendwa na wananchi

    Ukikipata kitu kwa haki basi nafsi yako hufurahi na kukupa maisha marefu na Ukikipata kitu kwa dhuruma nafsi yako hukusuta mpaka mauti Muangalie Magufuli alivyokuwa anacheka na watu kutoka moyoni sababu ushindi ulikuwa ni haki yake na watu walimpenda,kinyume chake ngoja nikae kimya
  19. JamiiForums Tanzania Magufuli alipendwa Africa nzima na sehemu kubwa duniani walikuwa wanamuelewa sana. Ndiyo maana alitoboa. Nyerere alipoona hapendwi tena, aling'atuka

    Nguvu yake ilianza from the grassroots (wananchi). Alikuwa ni mtu wa watu. Hakupenda mtu aonewe bila sababu yoyote. Ndiyo maana pamoja na kuwanyali mabeberu, aliweza kutoboa katika uongozi wake. Na siku zote ukitaka utoboe kwenye uongozi wa nchi, basi hakikisha wananchi wanakuelewa kwanza...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Jopo la Sheikh Kundecha, na Sheikh Katimba ladai kwamba Mwanasheria Mkuu wakati wa Magufuli, Prof. Kilangi, aliwahi kuwa Padri

    ..sikiliza tamko hapo chini na tuhuma kwamba AG wa kipindi cha Rais Magufuli, Prof. Kilangi, aliwahi kuwa Padri. https://www.youtube.com/watch?v=RhbFPe8Z3yU
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…