magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya makusudi tu

    Nchi ipo ICU kwa sababu ya makusudi ya utawala wake. Huku maji huku umeme hakuna kwa sababu ya yeye kataka iwe hivyo! Nchi hii ina wanyama na mifugo zaidi ya million 50 lakini sijasikia mnyama yeyote kafa kisa kukosa maji na Wala hawagombanii maji ila sisi tunagombania maji kwasababu Rais Samia...
  2. JamiiForums Tanzania Kisa cha Magufuli kushindwa kumuwajibisha Makonda, Ukweli uliofichika sasa hadharani

    Tunaendelea na visa na viroja vya Rais mstaafu JPM. Baada ya kisa cha kumtimua Balozi Ombeni Sefue usiku na kisa cha kumpa masharti Yahya Msigwa aliyekuwa Rais wa TUCTA kuwa atulie asimsumbue sababu anatumia jina la marehemu kwenye vyeti vyake vya kitaaluma, leo nawaletea kisa kingine toka...
  3. JamiiForums Tanzania Magufuli ndio alikuwa wa kuibadilisha nchi, kama ilishindikana basi hatokaa atokee mwingine

    Kwanza nataka niwaambie watoto mliovamia siasa kaeni mjifunze kuhusu nchi yetu ya Tanzania muielewe vizuri. Shida kubwa ya vijana walio na mzuka na siasa hawajui kabisa kuhusu nchi wala game ya siasa inavyokwenda duniani kote. Kubwa zaidi hawaijui dunia. Niende moja kwa moja kwenye hoja sasa...
  4. F

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa ana moyo halisi wa Mwalimu, Hayati Sokoine na Hayati Magufuli

    Leo hatunao tena Hayati Mwalimu Nyerere, Hayati Sokoine na Hayati Magufuli kimwili lakini nawahakikishieni bado wanaishi nasi na sehemu za roho zao zipo kwa mtumishi wao Majaliwa. Mwaka 2008 aliyekuwa waziri mkuu na kujiuzuru kwa sababu ya Richmond alituambia tatizo ni UWAZIRI MKUU. kwa kipindi...
  5. JamiiForums Tanzania Swali: Gerson Msigwa wa Hayati Magufuli ndiyo huyuhuyu wa Rais Samia?

    Wanajamvi. Kuna kitu sikielewi au hakipo Sawa. Hivi huyu Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali ndo yuleyule wa kipindi cha Magufuli?. Huyu jamaa hata kama ni unafiki au kulamba asali basi huyu kazidi. Amekuwa mtu wa hovyo sana, anaongea pumba mara zote. Siku hizi anaongea nonsense kabisa...
  6. JamiiForums Tanzania Tangu tumepata uhuru ni hayati Julius Nyerere na hayati John P. Magufuli waliujua kwa undani na umaskini wa watanzania wengi na kuwaonea huruma

    Julius alikuwa na huruma juu ya raia wa chini. Hakutaka wateseke na tozo, kodi, ada za shule na hata kuhangaika kupata chakula. Julius alipambana kila Mtanzania angalau asipate tabu sana ila mabeberu na vibaraka wa mabeberu walimkwamisha. Hayati John Pombe alipambana masikini wasihangaike...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimemkumbuka Hayati Magufuli tokea afariki dunia

    Sikuwahi kumkubali huyu mwamba kipindi chake chote Cha utawala mpaka anakufa. Akili imenikaa sawa sawa, kama binadamu ni kweli alikuwa na mapungufu yake hakuna mkamilifu. Nakubali huyu mwamba alikuwa na nia ya dhati ya kulipigania hili taifa. Nahisi labda njia tu ndo zilitukwaza baadhi yetu...
  8. JamiiForums Tanzania Laiti Hayati Magufuli asingeliua upinzani hiki kiburi cha kina Makamba kisingekuwapo

    Ni wazi matatizo yanayoikumbuka Tanzania kwa sasa ni matokeo ya Hayati Magufuli kuufifisha upinzani huku aliamini ni salama kwake hadi hapo angemaliza Utawala wake pasiwepo wa kumsumbua. ALIJIDANGANYA! Hayati Magufuli pamoja na mazuri yote aliyopata kuyafanya lakini hilo la kuufifisha upinzani...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Rais Magufuli na Rais wa TUCTA aliyekuwa na vyeti Feki

    Namkumbuka Magufuli kwa kitu kimoja, Akijua we ni threat kwake basi atatafuta mapungufu yako kisheria ambayo yanawza kugeuka jinai ili uwe mtumwa wake EL alitaka kumvimbia akaitwa ikulu akaonyeshwa faili lake toka kwa DPP akaambiwa join us au tukutane kisutu,hajakaa sawa likavutwa faili la mkwe...
  10. JamiiForums Tanzania Happy Birthday Chuma, happy birthday John Pombe Magufuli

    Ni Oktoba 29, 1959 siku ambayo Mwenyezi Mungu alitupa Watanzania zawadi ya Mtoto John Pombe Magufuli ambaye Leo hii tunamkumbuka kama Mkombozi, Shujaa, Mtetezi, Mlezi, Mjenzi wa Watanzania,leo hii kwa Afrika ukilitaja jina la John Pombe Magufuli ni nembo ya uongozi wa mfano Afrika na Duniani...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini tokea Mgawo wa Maji uanze Dar es Salaam Hotuba nyingi za Hayati Rais Dkt. Magufuli zinasikilizwa sana?

    Au labda kuna dalili za yeye kufufuka ili GENTAMYCINE nianze Kufurahi na Kurukaruka nikiamini kuwa anakuja Kuinyoosha tena nchi, Kushikisha adabu mafisadi na Kutupigania Sisi Watanzania Masikini ( Wanyonge ) wakiongozwa nae GENTAMYCINE na wengineo baadhi.
  12. JamiiForums Tanzania TANZANIA: How serial pension fund plunderers avoided Magufuli’s anti-corruption drive

    NOTE: This article was written in 2017 After more than a year in power, Tanzanian President John Magufuli had not managed to address corruption in the power sector, and corrupt pension funds, including the National Social Security Fund (NSSF) also successfully escaped his dragnet. Pension...
  13. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli katika ubora wake enzi zake

    Ukweli usemwe Hayati Magufuli alifanya mengi kwa kadri mwenyezi Mungu alivyomjalia. Vilevile, yapo aliyoweza kuyatatua kwa u haraka na ama yalikoma au yalipunguka kwa kiwango kikubwa. R.I.P JPM.
  14. JamiiForums Tanzania Wasichana 3,333 warejeshwa shule, ni waliokataliwa na serikali ya hayati Magufuli

    Wasichana 3,333 sawa na 111% wenye umri kati ya miaka 13 hadi 21 waliokatisha masomo ya elimu ya sekondari kwa sababu mbalimbali ikiwemo kutokana na mazingira magumu, kupata ujauzito na ndoa za utotoni wamerejeshwa shuleni mwaka 2021/2022. Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima(TEWW), Dk...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Magufuli hapoi?

    Wataalam wa siasa mnisaidie kunielewesha. Kwanini kila kona ya nchi mtu anayeongelewa sana kwenye mijadala ni Magufuli? Mwanzoni nilijua ni ishu temporary kutokana amekufa akiwa madarakani, ila kila kukicha ni kama moto unaotambaa kwenye nyasi kavu zilizotandazwa. Of course kuna upande...
  16. JamiiForums Tanzania Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia, yupi Rais bora kwako?

    Kwa vyovyote vile hakuna duniani mtu mwenye uwezo wa kurekebisha Historia. Kwa ivo hawa ndiyo walikuwa marais wetu na Samia ndiye Rais wa Tanzania kwa sasa. Kwa mtazamo wako hawa ukiwaweka kwenye mizani yupi amekuwa Rais bora kwako na kwa nini ukiangalia changamoto alizokabiliana nazo na jinsi...
  17. JamiiForums Tanzania Daraja la Busisi ni refu zaidi Afrika Mashariki na Kati

    Ilikuwa kama masihara hivi Hayati Magufuli alipoahidi atajenga daraja la Busisi lenye urefu wa zaidi ya kilomita 3. JPM kama alivyoahidi ujenzi ulianza mara moja. Hapo juu ni ujenzi wa daraja la Busisi likiendelea kujengwa na sasa ujenzi wake umezidi 50%. Pongezi za dhati zimwendee Rais Samia...
  18. JamiiForums Tanzania Bwawa la Nyerere ni uamuzi mgumu na wa kijasiri uliofanywa na Magufuli!

    Tunaposema Hayati Magufuli alikuwa mtu na nusu hasa kwenye mambo yaliyohusu kuamliwa kijasiri bila kujali faida na hasara zake hakika alikuwa kinara kwalo. Mfano ni uamuzi wa kujenga hilo bwawa hapo juu (Bwawa la Nyerere) ki-ukweli ili ujenzi wake uanze ilihitaji mtu jasiri na asiyeyumbishwa...
  19. JamiiForums Tanzania UFAFANUZI: Rais kuingia na kiti chake Kanisani Mkoani Kagera

    Na Jumakilumbi, 15.10.2022 Kile kilichotokea siku ya tarehe 14/10/2022, huko Kagera siku kumbukizi ya miaka 23 tangu alipotutoka Mzee wetu na Mkombozi wetu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kimezua mjadala mzito kwa waumini wa dini ya kikristo na wakosoaji wa serikali na Rais Samia, hapa...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia aenda kumsalimia mama yake na hayati Magufuli, leo Oktoba 15, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimsalimia Bibi Suzana Magufuli (Mama Mzazi) wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiomba dua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…