magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Ulega kumfunika Magufuli W/Ujenzi?

    Katika kuonyesha kuwa Mikoa ya Pwani tuna vichwa. Hapo Wizara ya Ujenzi panaenda kuchangamka Muda si muda. ***Fly over nchi Nzima. Hongera Mheshimiwa Ulega!
  2. JamiiForums Tanzania Watu waliokataa Magufuli asiongezewe Miaka ndio haohao wanashadadia Mbowe aendelee kuongoza. Ndio haohao wanakapinga CCM isiendelee! Unafiki mtupu!

    Mpo salama! Watu wenye ndimi mbili. Watu wenye mawe mawili ya kupimia ni watu Hatari Sana popote walipo. Ni watu wanafiki na muda wowote wanaweza kukuuza. Alipokuwepo Magufuli, Chawa wake walitoa maoni Yao kuwa Magufuli aongezewe Muda, Magufuli atawale milele, na kama Magufuli angekataa wapo...
  3. JamiiForums Tanzania Lissu alipomsaliti Magufuli CHADEMA mlishangilia, zamu yenu sasa

    Ukiambiwa dunia duara, au ukaambiwa malipo ni hapahapa duniani ukae uelewe na usibishe. Wakati Tundu Lisu anasaliti harakati za rais wa awamu ya tano hayati Magufuli, Chadema walikenua meno na kushangilia. Wakati Lisu anasaliti taifa na kushangilia kukamtwa kwa ndege ambazo zimenunuliwa kwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wale tuliofurahi Dr Magufuli Kuongoza Nchi Milele tufurahie pia Dr Samia aendelee hadi atakapo choka.

    Watu waache ubaguzi. Kama enzi za Hayati Dr Magufuli mlifurahi aendelee kutawala endless kwanini ionekane ni kosa kwa Dr Samia kuendelea mpaka atakapoona amechoka mwenyewe? After all wote wanatokea kwenye chama tawala kimoja na wanachama ni wale wale. Uvccm ni wale wale. Wabunge ni wale wale...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna yeyote anayejua au kuweza kujua ni vigezo gani mwendazake Magufuli alitumia kuwapa mamlaka watu wasiofaa na wanafiki waliojifanya kumuunga mkono?

    Leo nimemkumbuka John Pombe Joseph Magufuli. Jamaa alijua kututenda kama watu na taifa. Huwa siachi kujiuliza ni vigezo gani alitumia kuwapa mamlaka watu wanafiki na wa hovyo waliokuwa wkimsifia na kumchekea wakati nyuma ya pazia walikuwa wakimchukia, kumponda na kutamani afe kama iivyotokea...
  6. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Unyanyasaji na Rushwa ya ngono vinawaathiri Wanawake Wafanyabiashara Stendi ya Kuu ya Magufuli (Dar), Serikali ifuatilie haya madai

    Nilifika katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi, Dar es Salaam, nikapata nafasi ya kuzungumza na Wanawake wajasiriamali wanaofanya kazi katika eneo hilo. Wanawake hawa, wanaojishughulisha kama mamalishe, Wabeba mizigo, makarani na wauzaji wa vinywaji, walinishirikisha changamoto nyingi...
  7. JamiiForums Tanzania Unayeamini kwamba ajira hutolewa kwa kujuana, tuambie Magufuli alijuana na nani mpaka akawa Rais wa nchi

    Mnaosema kama hauna mzito unaye fahamiana nae serikali/ shirika fulani huwezi pata kazi, haya mbona uncle magu alilamba uraisi na alitokea chato, kwanini wewe unaamini katika connection? Mbona uncle magu alitoboa bila ya connection?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Haikutokea enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa wala Kikwete, bali enzi za Magufuli na Samia, wananchi kushangilia vifo na kujeruhiwa viongozi na waandamizi

    Katika siku za mwisho za uhai wake, akiwa hospitali Uingereza na alipotembelewa na Mkapa, Nyerere alimwambia hivi Mkapa, "Benjamin, najua Watanzania watalia sana watakaposikia nimekufa" Na Nyerere alipokufa ni kweli Watanzania tulilia sana. Tulilia pia alipokufa Waziri Mkuu wa enzi hizo, Edward...
  9. JamiiForums Tanzania Ile kauli ya Hayati Magufuli ya kwamba wapinzani wanachelewesha maendeleo ni ya kweli kabisa

    Sijui Hayati Magufuli niseme ni nabii au aliona mbali hadi kutamka kauli ile, maanake mm binafsi nimekuja sasa kujua kuwa hawa jamaa ni watu wa ajabu sana kila kitu wanapinga na hata wamefika mbali kuzusha uongo ili mradi tu wazusshe taharuki katika jamii Embu fikiria jana train yetu pendwa ya...
  10. JamiiForums Tanzania Polisi mbona hamsemi Benk aliyehusika na utekaji wa Bonge ni ulinzi shirikishi Stendi ya Magufuli na pingu zimetoka hapo kituoni?

    Wakuu, Mnakumbuka kuna uzi niliweka kuwa baadhi ya waliomteka Bonge wanajulikana stendi ya Magufuli na wala siyo siri? Huyo Benk ni anajulikana vizuri hapo almaarufu kama Tall, baada ya tukio la bonge hakuonekana tena hapo Magufuli, na yule kaka mfupi kwenye video ni mdogo wa Benk! Hapo...
  11. JamiiForums Tanzania Tusimung'unye maneno, tatizo la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania ni matokeo ya utawala wa Magufuli

    Hello! Najua kuna watu huwaambii kitu kuhusu Magufuli lakini ngoja niwaambie hata kwa ubabe. Tatizo la ajira ni global issue lakini kwa Tanzania halikupaswa kutokea sasa, lilipaswa lianze angalau 2030. Baada ya kuingia Magufuli Ikulu na kuwa Rais cha kwanza kabisa akaenda kupambana na...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania mjifunze kukataa Ujinga. Hayati Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho. Kuhusu watekaji na wauaji, CCM na CHADEMA wahojiwe

    Sio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe. The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
  13. JamiiForums Tanzania Bado kitambo kidogo Tundu Lissu ataungana na makonda kwamba Hayati Magufuli was a "Good Man "

    Kadri muda unavyokwenda TL anapunguza ukali wa kauli zake juu ya JPM .Kuna uwezekano kuna Mambo anaendelea yaliyokuwa yamejificha . Kuhusu mikataba mibovu alishakiri kwamba kwenye Mali za Nchi JPM hakupenda zichezewa akimaanisha JPM alikuwa mzalendo. Baada ya vifo uchaguzi Serikali za mitaa...
  14. JamiiForums Tanzania Wafadhili wa nini? - Hayati Rais John Pombe Magufuli

    Wafadhili wa nini wakati tuna kila kitu Almasi,Dhahabu,ardhi yenye rutuba,sisi ndio wafadhili,naomba niwaambie ukweli,tulikuwa na shida kwa viongozi wetu.
  15. JamiiForums Tanzania Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

    Leo nimekumbuka mkasa mmoja uliotokea enzi ya awamu ya tano! Ilikuwa ni Julai 16 ya mwaka 2019 Jumanne tulivu tu ndani ya jiji la Mwanza, ghafla Gereza Kuu la Butimba likapata ugeni wa Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli. Basi baada ya maofisa wa juu kutonywa kuwa Rais angeweza kufika pale...
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Watawala hawajifunzi? Alichokifanya Magufuli ndo Samia nae anapita mule mule

    Samia nae anayoyafanya anayoyafanya kwenye uchaguzi anafikiri ndo atapendwa sana na wanaccm na watanzania Rais amegoma kushaurika na anaona yeye ana mamlaka ya kuyafanya haya bila kuulizwa na mtu lkn nasikitika mana wanaompa kiburi ndo watakaorud kama ilivokuwa kwa mwendazake na hatakuwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Miradi hii ilipelekwa Chato. Kila Rais akipendelea kwao kama Hayati Magufuli Tanzania itaendelea kuwepo?

    Upendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa. Chato peke yake kulikuwa na miradi zaidi ya 14 mikubwa mikubwa Kama ifuatavyo 1. Miradi wa Kiwanja Cha Ndege Chato 2. Mradi wa Maktaba ya Kanda ya Ziwa-Chato 3. Mradi wa Chuo Kikuu Chato-Tawi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kuwa kilaza wa kiwango cha SGR kuamini kuwa Hayati Magufuli alipanga kuwa rais wa milele

    Kuna hii propaganda ya kijinga sana imekuwa ikirudiwa rudiwa mara kwa mara na viongozi wa Chadema akina Mbowe, Lisu na Godbless kuwa rais wa 5 wa nchi yetu hayati Magufuli eti alikuwa anajiandaa na kuweka mazingira sawa ili aweze kung'ang'ania madaraka na kuwa rais wa milele!. Uzuri wa...
  19. D

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM imerejesha iliyoyafanya chaguzi za 2015 na 2020

    CCM yarejesha aliyoyafanya 2015 na 2020 kwenye u haguzi mkuu na serikali za mitaa. Hakuna asiyejua kuwa chini ya uongozi wa Hayati JPM wapinzani walienguliwa almost everywhere mpaka wabunge wengi wakapita bila kupingwa. Alianzisha mfumo ambao haujawahi kutokea nchi yoyote duniani ya kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…