magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Nionyeshe Mradi Mmoja wa maana wa Samia nikuonyeshe Nane ya Magufuli ndani ya miaka minne ya utawala wao

    Tukimsema vibaya mama wa kizimkazi mnatuona wabaya kafanya nini cha maana hii miaka 4 ya utawala wake Magufuli 1 .GEP Ali centralised Malipo yote ya serikali na kuokoa upotevu.mkubwa wa pesa 2. Bwana la Nyerere. Limemaliza kabisa mgao wa umeme na kuchochea uchumi mara dufu. 3.Toto Afya kadi...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia amechukua negative za Kikwete na Negative za Magufuli akaziweka pamoja na ndiyo mpango wake wa utekelezaji

    Negative za Kikwete ni kwenye kuruhusu ufisadi wa wazi wazi. Kwenye demokrasia alikuwa na uafadhali. Huyu mama Samia akaamua kubeba hilo la kuruhusu ufisadi wa wazi wazi akaamua kwenda nalo na kuacha hilo la demokrasia. Hilo ameona siyo kipaumbele chake. Hayati Magufuli yeye hakuruhusu ufisadi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pascal Mayala: Mateso ya kumuuliza swali Magufuli. "Niliumizwa, Kampuni yangu ilitolewa Sabasaba, Mikataba ikavunjwa. Sijapona hadi leo"

    Mwandishi nguli, Paschal Mayala akielezea aliyopitia baada ya kumuuliza swali Rais Magufuli lenye sehemu mbili, swali hilo lilihoji mamlaka aliyotumia Rais Magufuli ya kukataza mihimili mingine ya Serikali kusafiri na kukataza mikutano ya kisiasa ilhali mikusanyiko na uhuru wa kutoa maoni...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia kufungua Daraja la JP Magufuli (Kigongo - Busisi), Juni 19, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa kilometa 3 na barabara zake unganishi zenye urefu wa kilometa 1.66 utakaofanyika tarehe 19 Juni, mwaka huu. Hayo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kilichofanya Magufuli apendwe mwanzoni wa utawala wake ni kupambana na utendaji mbovu wa serikali, na kilichomdidimiza ni kupambana na vyama upinzani

    Watanzania wengi pale walipomuuona anapambana na utendaji mbovu wa sekta zote...walimuona kama malaika... Hawakutaka kusikia tena vyama vya upinzani....Sijui ni nani alimuingiza kwenye Huu ujinga wa kuacha kile alichoanza nacho..Maana vyama pinzani vilikuwa vinaenda kujifia vyenyew bila nguvu...
  6. JamiiForums Tanzania Japo hawezi kurudi, hypothetically, kama Magufuli angefufuka, angefurahi au kununa hata kumtumbua mtu?

    Japo CCM wanajiridhisha kuwa wanamuenzi marehemu rais John Magufuli, kwa kumdhihaki kwa kauli mbiu yao ya kazi iendelee wakati hakuna kazi yoyote bali upigaji na uvivu, ukweli ni kwamba wamemuangusha vibaya sana. Japo alishiriki kutengeneza watu waliomuangusha, kwa tulivyomjua, kama angefufuka...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Mkapa alisimamia uchumi, Kikwete demokrasia, Magufuli maliasili, Samia kama hivyo vimekushinda hata UTU?

    Watu wake wanatekwa mchana kweupe, she doesn't care. Wananchi wanauawa waziwazi, anasema, KIfo ni Kifo tu, hata vyenye utata? Katiba iliyomuwena madarakani anaita, KATIBA ni KIJITABU tu. Baada tu ya Magufuli kufariki March, Julai ukamshtaki Mbowe kwa Ugaidi, leo Lissu yupo ndani umemshtaki...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Magufuli, watu walijiuzulu kwa wimbi kubwa , ilisaidia nini? Insanity is doing the some thing over and over again expecting different result

    Ndugu zangu, kwa mujibu wa hiyo definition ya Albert Einstein, hawa watu ni vichaa na wanaowatumia au kuwatuma nao pia ni vichaa tu kwahiyo wasiwasumbue. Kama watafanikiwa, basi hawa vichaa wataweka record ya dunia kuwa vichaa wa kwanza kufanikiwa duniani katika mipango yao. Tuendelee kusubiri.
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 HECHE: Nilimshauri Magufuli lakini hakunisikiliza

    "Wakati bwawa la mwalimu Nyerere linajengwa nikaishauri serikali chini ya Rais Magufuli, unataka kujenga bwawa unataka kujenga SGR unahitaji chuma, sisi tuna chuma pale Liganga, Ludewa tuna chuma cha kuchimba miaka 100 tuna mlima wa chuma tutatumia hiko chuma hata miaka 100, Mungu akaweka na...
  10. JamiiForums Tanzania Jesca Magufuli ametengenezewa jimbo la Katoro?

    Kuna mwaka Hussein Bashe na Kigwangala nusura wauane wakigombea jimbo la Nzega. Tume ya uchaguzi ikaamua ugomvi kidiplomasia,jimbo likagawanywa,Nzega mjini,Nzega vijijini,wilaya ikawa na majimbo matatu ukijumlisha na Bukene Kuna mtu anaitwa Deus mkuu wa wilaya Tabora mzaliwa wa Chato,mfumo...
  11. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Awamu ya Samia Vyombo vya Dola vina Nguvu Jeuri, na Uhakika wa kufanya wanavyotaka kuliko awamu ya Magufuli

    Ni mtazamo wangu, na sababu kuu ni kwamba wanawaweza kufanya lolote bila uoga wa kufokewa, kutumbuliwa, wala karipio. Awamu hii unaweza kuambiwa utaona , tutaona na ikatimia kweli, nawapa tahadhari kama huna faida na jambo lenye ukakasi omba yaishe endelea na maisha yako. Kupeana tahadhari ni...
  12. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jesca Magufuli anajipanga kugombea ubunge viti maalumu Geita au jimbo la Chato?

    Huyu binti nadhani amehojiwa kimkakati na Milard Ayo. Lengo nadhani ni kuvuma kuelekea uchaguzi Mkuu na hatimaye kutia nia kwenye ubunge. Je ni viti maalumu mkoa wa Geita au mkoa mwingine? Je ni jimboni Chato?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wakati wa tetesi za kifo cha Magufuli; CHADEMA badala wapenyeze agenda ya mabadiliko walikuwa bize wanasherekea mitandaoni

    Chadema chama ambacho ni kama kijiwe cha kupiga story kisichokuwa na strategy yeyote ile Namna chadema wasichojua wanachopigania angalia hiki kisa "kifo cha magufuli- baada ya tetesi za kuwepo kwa kifo cha magufuli week moja na nusu kabla haijatangazwa pale waziri mkuu kashitisha ziara mbeya...
  14. JamiiForums Tanzania Tuna mchukia Magufuli lakini tusifikie hatua ya kuwa na upofu. Kwa hili ni mfano bora

    Kuna watu huwa wanachuki. Mtu atakuchukia hata ukitembea juu ya maji atalalamika unamtimulia vumbi. Hiyo ndo chuki ya watanzania. Jesca Magufuli alianza kusoma UDOM, almaarufu kama CHUO CHA KATA, baba yake akiwa Waziri aliyehudumu kwenye Wizara kibao. Akaendelea kusoma UDOM, CHUO CHA KATA...
  15. JamiiForums Tanzania Je Jesca Magufuli ni nani?

    Tumeona vipande vya Mahojiano kati ya mwandishi Millard Ayo na Mtoto wa aliyewahi kuwa kiongozi Mkuu nchini. Jambo hili ni la kipekee na kihistoria nchini. Humu jamvini na mtandaoni tuliwahi kumtaja au kumjadili Jesca Magufuli wakati wa uhai wa baba yake. Yapo tuliyozusha au kuyasema bila...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Yakitokea yale ya Magufuli tusije kusema alikuwa mtu wa haki kinafiki

    Yakitokea yale ya Magufuli tusije kusema alikuwa mtu wa haki kinafiki. Maana yatatokea mtakuja hapa na kusema alikuwa mtu wa haki sijui nini wakati Polisi wanavunja miguu watu wakienda mahakamani kutafuta haki! stay tuned Mungu achezewi anakupa nafasi ukiipata itumie kwa mazuri akija kuiondoa...
  17. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alijenga kanisa nyumbani kwake, Askofu Niwemwigizi akagoma kulipokea

    Tofauti na waislam ambao wanaruhusiwa kujenga misikiti yao binafsi na kuikabidhi kwenye uongozi,hali iko tofauti kwa kanisa katoliki Huwezi kujijengea kanisa na kulikabidhi kwa jimbo bila kufuata taratibu rasmi walizojiwekea kama kanisa Ukifika Chato pembeni ya nyumba ya Hayati Magufuli...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli Pamoja na kuwa Waziri ila watoto wake wote aliwasomesha primary Kayumba. mzee aligoma Jesca kusoma shule za Mabasi ya njano

    Habari wadau. Interview ya mtoto wa magufuli na millard ayo, imeeleza mengi. Binti wa Magufuli amesema baba yao akiwa waziri toka wanazaliwa bado aligoma kabisa watoto wake wote kwenda kuwasomesha kwenye shule za msingi za english medium. Na akawapeleka shule za msingi za Serikali, maarufu...
  19. JamiiForums Tanzania Jessica Magufuli, vipi kuhusu ambao hatukufanikiwa hata kuona maiti za ndugu zetu?

    Maumivu unayoyapata ndiyo maumivu tunayoyapata sisi ambao hatujaweza hata kuupata mwili wa Ben Saanane ili tumzike kimila na kwa taratibu zetu. Israel walipambana for 10 years kuupata mwili wa Eli Cohen one of the great Spy ever lived on this planet ili tu kumzika kimila za kiyahudi. Israel...
  20. JamiiForums Tanzania Jessica Magufuli: Nilipata taarifa za kifo cha baba kupitia mitandao ya kijamii

    Akihojiwa kupitia Ayotv mtoto wa Hayati John Magufuli , Jessica Magufuli, amesema kuwa taarifa za kifo cha baba yake alizipata wakati huo akiwa Dodoma kupitia mitandao ya kijamii kama watanzania wengine walivyopata.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…