Wazo Potofu: Magonjwa yote ya figo ni hatari.
Ukweli: La, magonjwa yote ya figo si hatari. Yakitambuliwa na kutibiwa mapema, magonjwa mengi ya figo yanaweza kuponywa. Kwa mengi, utambuzi na matibabu hupunguza au kusimamisha kuendelea kwa magonjwa hayo.
Wazo Potofu: Hitilafu ya figo huweza...