magonjwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania NANI ALIYEWAAMINISHA WABONGO KWAMBA AZUMA( AZITHROMYCIN) NI DAWA YA MAGONJWA YA NGONO.

    Mtu anaenda hospital labda ana shida ya kukohoa au shida nyingine ya mfumo wa upumuaji, daktari anamuandikia Azithromycin au Azuma kama tunavyoita huku mtaani,kwa sababu ni dawa nzuri sana ya magonjwa ya mfumo wa hewa. Mgonjwa akiona kapewa Azuma anakataa au anachukua ila akifika nyumbani...
  2. JamiiForums Tanzania Asali ya Unga ni suluhisho la magonjwa mengi

    IJUE ASALI YA UNGA ( POWDERED HONEY) Dawa ya asili yenye maajabu ya kipekee. Ni dawa iliyotengenezwa kwa mchanganyiko wa ASALI NA MIMEA (mitishamba au mimea tiba ) NI dawa ambayo imeonyesha mafanikio makubwa kwa kutibu maradhi mbalimbali kama vile: 1.Maumivu ya kichwa , mgongo, kiuno , magoti...
  3. P

    JamiiForums Tanzania ANAANDIKA MKE WANGU KWA HABARI YA MAGONJWA YAKE

    Naomba msaada na ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya kuhusu historia yangu ya kiafya. Kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya. Sehemu kubwa ya maisha yangu nimekuwa nikiumwa mara kwa mara; leo tatizo hili, kesho lingine. Mwaka 2018 nilifanyiwa upasuaji na...
  4. JamiiForums Tanzania Magonjwa haya 10 yanasumbua watanzania wengi, Jifunze kutibu tatizo mojawapo husaidie jamii na kujipatia kipato

    1.UTI 2. PID 3.Vidonda vya tumbo 4.Bawasiri 5.Presha 6.Kisukari 7.Maumivu ya viungo na ganzi 8.Ngozi ya mafuta na chunusi 9.Ngozi kavu na mikunjo 10.Nywele kukatika au kutorefuka Tuma ujumbe whatsapp 0713 039 875 kuungwa kwa darasa BURE
  5. JamiiForums Tanzania Mfahamu Ng'ombe aina ya Girolando mvumilivu wa magonjwa na anayetoa maziwa mengi

    Ng'ombe huyu ana asili ya Brazil anatokana mchanganyiko wa ng'ombe wa asili Gyr na Friesian. Anasifika kwa kutoa maziwa mengi Girolando jike aliyezaa mara ya kwanza anaweza kutoa hadi lita 18 kwa siku na aliyezaa mara ya pili anaweza kufikisha lita 30 kwa siku. Sifa nyingine ambayo inafanya...
  6. JamiiForums Tanzania Malizia hii wikiendi kwa kuendelea kukataa pombe na ulevi. Jilinde dhidi ya kufirisika, magonjwa, talaka, kudumaa na kufanya vituko ukiwa umelewa

    Marafiki wakikuita velvet waambie upo na famila beach kwa zena Marafiki wakikuuta kitambaa cheupe waambie upo plaza unacheki movie na wadogo zako. Malaya zako wakikuita zile pubs za tabata, waambie wiki hii una marejesho Washkaji wakisema wanakulipia bill kwa leo, waambie unaumwa na hauwezi...
  7. JamiiForums Tanzania Magonjwa yanayoongoza kwa unyanyapaa duniani na hasa Afrika

    Magonjwa yanayoongoza kwa unyanyapaa duniani na hasa Afrika Mashariki ni pamoja na: 1. VVU/UKIMWI Bado ndilo gonjwa linaloongoza kwa unyanyapaa. Watu wenye VVU mara nyingi wanatengwa, kupoteza kazi, au kukataliwa na familia/jamii kutokana na dhana potofu kuhusu njia za maambukizi. 2. Ukoma...
  8. JamiiForums Tanzania Unajilinda vipi Na magonjwa ngono ukiwa ndani ya ndoa?

    Kuna watu wakishaoa au kuolewa tayari jukumu la kulinda afya zao wanawachia wenza wao. Yani anaamini kwa kuwa na mtu huyo huyo hataweza kupata magojwa? Swali je mwenza wako ni mwaminifu? Je utajilinda vipi ukiwa ndoani?.
  9. JamiiForums Tanzania Ijue Mimea 3 inayotibu magonjwa 5

    SUPER DOSE 2 .- Dr.Zaganza: Wataalamu andaeni mchanganyiko hapo chini unatibu magonjwa 5 1. Unga wa matunda ya Mtomoko (Annona cherimola) 500gm 2. Unga wa mbegu za parachichi (Persea americana) 500gm 3. Unga wa mizizi ya Mjafari (Zanthoxylum chalybeum) 1000gm Matumizi Gram tano za unga katika...
  10. JamiiForums Tanzania Utasikia “njoo tukupine mwili mzima”! Au mwingine “tunapima magonjwa yote”, ukienda unamkuta na kipimo cha QMRA

    UTASIKIA NJOO TUKUPINE MWILI MZIMA AU MWINGINE TUNAPIMA MAGONJWA YOTE , UKIENDA UNAMKUTA NA KIPIMO CHA Quantum Magnetic Resonance Analyzer (QMRA)😄 Halafu gharama ya mwili mzima 20,000 tu 😆😆
  11. JamiiForums Tanzania Magonjwa mengi ambayo mtu akisema atanyanyaswa yanaongeza kuwafilisi watu

    Kuna magonjwa ambayo watu wengi huyaficha kwa sababu ya aibu, unyanyapaa (stigma), au utamaduni, lakini wanatumia pesa nyingi kuyatibu kwa siri: Magonjwa ya zinaa (STIs) na uzazi: Kaswende (syphilis), Kisonono (gonorrhea), Klamidia – watu wengi hawapendi kujulikana wanaumwa HIV/UKIMWI – bado...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kama kosa kusema mutation ila lipo ndio maana unashangaa magonjwa yanaweza kufikia wanadamu.

    Mnavo angalia zile sinema mfano spider man,wolf na zengine zikiwaonesha wanadamu kuwa na mwingiliano wa viumbe ni ujumbe wanawapa mujiaandae. Leo kuku anaweza kukuambukiza magonjwa yake au mnyama wakati sio genetic yake. Kuna project ambazo ni za siri sana inasemekana genetic ya mwanadamu...
  13. JamiiForums Tanzania Haya ni mambo muhimu ya kuzingatia unapotumia dawa za magonjwa ya mfumo wa mkojo na sehemu za uzazi kama UTI, kisonono (gonorrhea) na kaswende (syphil

    . Epuka kufanya ngono hadi matibabu yakamilike na daktari athibitishe kuwa ni salama, ili kuzuia kuambukiza wengine au kuambukizwa tena. Hii watu wengi hupuuzia lakini imekuwa ikifanya watu wengi kutokupona kabisa maana unapokuwa unatumia dawa hata wale bakteria walinzi wanakuwa wanazidiwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Tajiri anamsihi mwanae kuwa ngono holela inapelekea magonjwa na nzao za hovyo. Masikini anamsihi mwanae kuwa ngono holela inaua nyota na roho yake

    Akili yako ndio ulimwengu wako.
  15. JamiiForums Tanzania MOI yashiriki Mkutano wa tatu wa PEN-PLUS kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeshiriki katika Mkutano wa 3 wa Kimataifa wa Kimkakati wa Kikanda wa PEN-PLUS unaolenga kujadili na kuimarisha mikakati ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza, unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)...
  16. JamiiForums Tanzania Uponyaji upo ndani mwako,ukifika level ya pili ya ufahamu magonjwa, umasikini, wachawi,tamaa ya ngono,ulevi na negative energy zote ukaa mbali na wewe

    Uponyaji upo ndani mwako,ukifika level ya pili ya ufahamu magonjwa, umasikini, wachawi,tamaa ya ngono,ulevi na negative energy zote ukaa mbali na wewe kwa sababu wewe ni adui.
  17. JamiiForums Tanzania UDOM kushirikiana na madaktari bingwa nchini kutafuta suluhu ya magonjwa ya ndani

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia Hospitali yake imeshiriki katika Kongamano la Mwaka lililoandaliwa na Chama cha Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani Tanzania (APHYTA), lililofanyika leo tarehe 29 Mei 2026 katika ukumbi wa Dodoma City Hotel jijini Dodoma. Lengo la kongamano hilo ni...
  18. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya mabeberu kutengeneza magonjwa Mungu anawaona. Panya kwenye meli ya kitalii wapi na wapi.

    Watu watatu wamefariki baada kushukiwa kuambukizwa virusi vya hantavirus katika meli moja ya kubeba abiria iliyokuwa ikisafiri katika bahari ya Atlantiki, hii ni kulingana na taarifa iliyotolewa na shirika la afya duniani WHO. Kisa kimoja cha hantavirus kimethibitishwa, huku visa vingine vitano...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufanya check up ya mwili mzima nijue magonjwa niliyonayo

    Wadau hivi kipimo Cha CT-Scan kama nimekosea jina mtanisamehe kinaweza kumulika mwili mzima na kutoa matokeo sahihi ya magonjwa yote yanayonisumbua?vipi side effect ya kupima na kipomo hicho kama zipo nyingi naombeni mniambie. Hakika kwa nilikofikia nahitaji kufanya checkup ya mwili mzima labda...
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo la magonjwa ya akili duniani limekuwa kubwa sana. Dalili moja ya ugonjwa wa akili ni kutaka kusikia shari kila muda.

    Mtu mwenye matatizo ya akili akisikia mahali kuna ajari anapata furaha moyoni. Akisikia wamekufa wachache au hakuna maiti kwenye ajari hiyo basi moyo wake hupoteza furaha. Akisikia Iran kuna vita anapata raha sana. Mostly ya watu ambao wanajifanya kuchukizwa na mauaji ya October 29 -31 moyoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…