magonjwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Duniani magonjwa mengi sana

    Ni kweli kifo kinaogopwa dah leo baada ya kupata dalili fulani nikaona isiwe kesi acha nizunguke kwenye youtube nikapate uahauri kidogo wa video za madocta wa youtube Nilichokutana nacho hakika nimepona 😀😃😄 Watu wanaumwa katika dunia hii kuna magonjwa mengine hayana hata majina unakuta mtu...
  2. Twilumba

    JamiiForums Tanzania NHIF na Mikakati ya Uzuiaji wa Magonjwa Yasiyoambukiza Kupitia Mazoezi ya Mwili kwa kuingia mikataba na baadhi ya GYM

    Kwanza Nikiri kuwa mimi ni mnufaika wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF, Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekuwa nguzo muhimu ya ustawi wa afya nchini, lakini kwa sasa unakabiliwa na changamoto kubwa ya kuongezeka kwa gharama za matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama shinikizo la damu...
  3. Setfree

    JamiiForums Tanzania Magonjwa ya zinaa(STDs) ni pigo la Mungu kwa wazinzi na waasherati?

    Ukisoma historia ya Waisraeli, utaona jinsi Mungu alivyotoa mapigo kumi kwa Wamisri waliokataa kumtii. Mojawapo ya mapigo hayo ni majipu mabaya yaliyowakumba watu wa Misri (Kutoka 9:8–11). Hili lilikuwa onyo kwamba Mungu anaweza hata kutumia magonjwa kama fimbo ya kuwaadhibu wale wanaokataa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kujilinganisha kunamaliza sana ndoto za watu,chanzo kingine cha msongo mpaka kujiua na magonjwa ya moyo

    Wimbi la kujiua likiwa limepamba kasi na sababu nyingi zikiwa mahusiano ila kuna hii pia ya kujilinganisha nayo ni sababu kubwa katika kumaliza ndoto za vijana mpaka kupatwa na magonjwa ya moyo ingali ni wadogo tu Unaingia mtandaoni unaona rafiki yako mliyeachana miaka kadhaa nyuma kaweka...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Abbott wasaini Makubaliano ya kuanzisha Uzalishaji wa Vipimo vya haraka vya Magonjwa

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Afya imesaini makubaliano ya ushirikiano (MoU) na kampuni ya kimataifa ya huduma za afya Abbott, kwa lengo la kuchunguza uwezekano wa kuanzisha uzalishaji wa vipimo vya haraka vya magonjwa mbalimbali hapa nchini. Makubaliano hayo...
  6. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Fahamu vitafunwa vya asili ambavyo vitakuweka mbali na magonjwa na kuongezeka uzito

    VITAFUNWA VYA ASILI Habari za wakati huu. Nimeamua kuja na mada hii baada ya kuulizwa na mdau na mpenzi wa tiba asili yakua " ni vipi vitafunwa vya asili ambavyo naweza kuvila hasa asubuhi? Baada ya kuulizwa swali hili nimeona niandike makala fupi juu ya vitafunwa hivyo ili wadau wengi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuyasemesha magonjwa yenye majina, yanasikia.

    Salaam, Shalom! Mungu alipomuumba Mwanadamu, aliweka nguvu ya uumbaji ndani yake, ameweka pia mamlaka Katika kinywa kuumba, na kufisha pia KUPITIA kinywa. Tumia kinywa chako kusemesha magonjwa, yanasikia na kutii utakachoyaamuru. Narudia Tena kusema, ukilala mzima wa afya, ukaamka na kujihisi...
  8. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Je kuoa makabila ya mbali kuna punguza magonjwa ya kijenetikia?

    Unajua kwanini ndugu na ndugu hawaoani? Hii si sababu ya kidini tu bali sababu ya kisayansi pia. Kuoa ndugu wa karibu au jamii ya karibu kunasababisha kuendeleza au kuambukizana magonjwa ya kiurithi ambayo yanayembea kwene kabila au ukoo flani
  9. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Mikoa gani ambayo inaongoza kuwa na wakazi wengi wanaoishi na virusi vya UKIMWI ?

    Swali langu ni fupi sana, Hivi ni Mikoa gani ambayo inaongoza kuwa na wakazi wengi wanaoishi na virusi vya UKIMWI ? ukitaja top 3 inatosha. Lakini usitaje tu kwasababu unachuki na watu wa Mkoa fulani, bali taja kutokana na research ambayo ilifanyika / imefanywa na Idara fulani.
  10. Setfree

    JamiiForums Tanzania Siri imefichuka! Yajue Magonjwa Yanayosababishwa na Kutenda Dhambi

    Nyakati hizi, kuna watu wengi wanaobubujikwa na machozi ya huzuni kwa sababu ya magonjwa yanayowasumbua. Katika kutafuta chanzo cha magonjwa, watu wengi huelekeza macho yao kwenye vyanzo kama vile bakteria, virusi, mazingira machafu, lishe duni, magonjwa ya kurithi, msongo wa mawazo nk. Sawa...
  11. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kutazuka kiongozi wa kiroho atakayedai kuwa na uwezo wa miujiza ya kuponya magonjwa hatari na kufufua wafu

    🔥 TUKIO: KUZUKA KWA KIONGOZI WA KIROHO ATAKAYEDAI KUWA NA UWEZO WA MIUJIZA YA KUPONYA MAGONJWA HATARI NA KUFUFUA WAFU 🗓 Tarehe inayotabiriwa: Kati ya Septemba 13 na Oktoba 4, 2025 📍 Mahali: Kusini mwa Tanzania – Mbeya au Ruvuma, kwenye kijiji kilicho karibu na mlima au pori takatifu 👤 Mhusika...
  12. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Ishi ndoto zako, mbinu za kujiepusha na magonjwa ya Figo na mfumo mzima wa Mkojo

    Habari wakuu, nimewaandalia video fupi kuelezea juu ya mbinu za kujiepusha na magonjwa hasa yatokanayo na kufeli au kudhoofika kwa Figo na mfumo wa mkojo kwa ujumla, hope utaelimika na kuiishi uwe na afya njema.
  13. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Moja ya mambo nitakayoyafanya nikiwa Rais nikuhakikisha dawa za magonjwa mbalimbali zinatengezewa hapa Tanzania from scratch

    Nikiwa rais Tanzania haitakuwa tena eneo la kuvunia data yaani makampuni ya research ya kitanzania hayatafanya kazi kidalali kama ilivyo sasa Katika kutafuta novel therapeutics compound ya magonjwa mbalimbali tafiti zitajikita kwenye mambo yafuatayo;- Method of predict normal protein mutation...
  14. Mind stone

    JamiiForums Tanzania UZI WA TIBA: Magonjwa Yanayodhoofisha Mwili na Akili – Tishio la Kimya Tunalopaswa Kulielewa Kitaalamu

    Habari zenu wanajukwaa wenzangu, Natumaini wote mko salama kabisa. Nawasalimu kwa heshima kuu kutoka kwa mtu wa taaluma ya afya – warm medical greetings to you all from a health-conscious professional. Leo nimeona nilete mjadala wa kina kuhusu magonjwa hatari ambayo huathiri mfumo wa mwili...
  15. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania CRISPR-Cas9: Je, Teknolojia hii Inaweza Kuondoa Magonjwa ya Kurithi kabisa?"

    Leo nilikuwa napitia tovuti ya The New England Journal of Medicine, na nikakutana na taarifa muhimu iliyotolewa mwaka 2020 kuhusu utafiti wa CRISPR-Cas9. Ripoti hiyo inaelezea jinsi wagonjwa wawili waliopokea matibabu kwa kutumia CRISPR-Cas9 walivyoonesha matokeo mazuri. Kwa wale ambao...
  16. excel

    JamiiForums Tanzania Watu wa Hospitalini mbona hamtuambii tiba mbadala za magonjwa mbalimbali?

    Hutakaa usikie wakikwambia bamia ni dawa ya vidonda vya tumbo.. hutokaa usikie tumia unga wa ubuyu na asali utapona vidonda vya tumbo.. Hawasemi kabisa mzizi flani ukiutafuna unapona tatizo hili.. Nyie kazi zenu kutushindilia madawa ya kizungu ili mpige hela.. Badilikeni..
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mungu wa upendo aliwaumba kunguni, nzi na mbu waje kuwatesa kwa magonjwa watoto wake wapendwa

    Nzi wanasababisha magonjwa ya tumbo, ikiwemo kipindupindu. Mbu wanasababisha homa ya dengue, chikungunya na malaria Kunguni watakutesa hadi uikimbie nyumba Yako pendwa. Hawa ni wadudu walioumbwa na Mungu wa upendo kwa watoto wake ambao ni binadamu. Malaria ndio ugonjwa unaoongoza kwa...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Faida ya kiuchumi ya kufungua maabara binafsi ya magonjwa ya binadamu

    Wakuu nina mpango wa kufungua maabara yangu je nitegemee kupata faida gani Kwa siku?
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Tanzania isijiingize kwenye mtego wa upigaji kupitia magonjwa ya milipuko!

    Inawezekana na Iliwezekana huko kwa nchi za wakubwa wetu..kutumia Afya,magonjwa na milipuko ya magonjwa kama chanzo cha upigaji fedha. chondechonde tusiingie kwenye mtego huu. Makampuni ya dawa,vifaa tiba na other medical supplies yamekamata uchumi duniani na yapo katika ushindani wa kiuchumi...
Back
Top Bottom