magomeni

Magomeni is an administrative ward in the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 22,616.

View More On Wikipedia.org
  1. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania Kwanini Magomeni Mwembe Chai inafanana na Morogoro?

    Magomeni, Mikumi, Kimamba, Rudewa na Kidodi. Ni miongoni mwa Kata zilizopo Wilayani Kilosa, mkoa wa Morogoro. Mji wa Turiani, Dakawa na Mziha, ni miongoni mwa Kata zilizopo Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro. Na Matombo (yaani matiti ya mwanamke), ni sehemu ya milima iliyopo Wailaya ya Gairo...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Wapangaji wa nyumba za TBA kulipa kodi ni wajibu

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa(Mb) amewataka Wapangaji wanaokaa kwenye nyumba na majengo ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kutimiza wajibu wao wa kulipa kodi ya pango ili fedha hiyo itumike kujenga majengo mapya na kuboresha huduma katika majengo mengine ya Wakala huo. Bashungwa ametoa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Chawa wengi wa Chura wa Bahari ya Hindi wanashutumiwa kuwa na Tabia ya 'Upiga Muluzi' pale 'Magomeni kwa Macheni' Dar es Salaam?

    Yaani ukiwaona Wengi wao na ukatulia zaidi utagundua ama ni Wapiga Miluzi au huko nyuma Walipiga mno tu Miluzi.
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Hawli ya Aliyekuwa Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir Imesomwa Nyumbani Kwake Magomeni

    Mufti Sheikh Hassan bin Ameir Katika masheikh waliosomesha Tanganyika Mufti Sheikh Hassan bin Ameir ameacha historia ya pekee kabisa. Licha ya kuwa Ulamaa mkubwa wa kutegemewa alikuwa pia mpigania uhuru na mmoja wa wanachama wa mwanzo wa TANU. Sheikh Hassan bin Ameir anakumbukwa kwa kuuza...
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ruvuma: Sinema na siasa vilivyoingia kwenye sakata la miundombinu ya Shule ya Msingi Magomeni (Tunduma)

    Wiki mbili baada ya mwandishi wa habari wa Gazeti la Nipashe kuzungumza na uongozi wa Wilaya ya Tunduru kutaka kujua kwanini Shule ya Msingi Magomeni ina madarasa mawili yaliyojengwa kwa nguzo za miti na kuezekwa kwa nyasi, madarasa hayo sasa yamebomolewa. Oktoba 27, 2023, Mwandishi wa Habari...
  6. mkaamweusi

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Changu Magomeni Mtwara

    Salama wakuu? Nauza kiwanja Mtwara Mjini bei 6Milioni. -Kipo magomeni, 1 km kutoka stendi kuu ya mabasi Mtwara. -kuna banda watu wanakaa -kipo jirani na chuo cha afya COTC -Kimepimwa sqm 317 na hati ya wizara ninayo. -Tambalale,barabara,umeme na maji vipo hapo hapo. Mawasiliano 0769476225
  7. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Magomeni makuti Dar: Tenki la maji 2000L linauzwa

    Tenki hilo 2000L Bei 250,000 0744033555 Limetobolewa sehemu 3 kwa ajili ya kusambaza maji kwa nyumba za wapangaji.
  8. K

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Magomeni, Makuti A

    Nyumba inauzwa Magomeni Makuti A, Mtaa wa msikiti Mdogo Documents: Mirathi Skwata Meter 120 main road, tandale road. Bei 125milioni (mazungumzo yapo) Nipigie +255712347749 +255765755455
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mwanahistoria Francis Daud Alipotembelea Nyumba ya Ali Msham Magomeni Mapipa

    MWANAHISTORIA FRANCIS DAUD ALIPOTEMBELEA NYUMBA YA ALI MSHAM MAGOMENI MAPIPA DAR ES SALAAM Historia ya Ali Msham ni katika historia zinazosisimua za wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika kwa hali na mali zao lakini historia imewasahau. Lau kama si picha alizoacha Ali Msham baada ya kifo...
  10. maroon7

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kujenga fly over Magomeni na fire panueni barabara Kimara - Ubungo

    Nimeshangazwa sana na huyu waziri kusema wanatafuta hela kujenga fly over magomeni na fire na sehemu zingine lakini cha kushangaza hawajagusia kabisa kupanua kipande sumbufu kwa foleni kutoka ubungo hadi kimara, na barabara ya mandela. Hivi jamani inahitajika hadi aje Tony Blair kutuambia hizi...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongeza Miaka 15 Kulipia Nyumba za Magomeni Kota

    Wakazi wanaofikia 644 wa eneo la Magomeni Kota jijini Dar es Salaam waligoma kusaini mkataba wa kuanza kununua nyumba za eneo hilo kwa madai kwamba bei pamoja na muda wa malipo uliopangwa haukuwa rafiki kwao na wala hauendani na hali zao za kiuchumi ambapo walipaza sauti zao kumuomba Rais wa...
  12. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nafikaje Ofisi za Uhamiaji Magomeni nikitokea Mabibo Sokoni?

    Wakuu mimi ni ngosha nimeingia daisalama nimeona mengi sana, nimeona barabara imejengwa juu ya barabara. Tuachane na hayo, nataka kwenda kwenye hiyo ofisi, nafikaje? Napanda magari ya wapi nashukia wapi. Amakweli ngosha aliijenga daisalama.
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Magomeni Kwa Zito Usiku

    MAGOMENI KWA ZITO USIKU Miaka ya 1970 kulikuwa na mgahawa Magomeni Mapipa si mbali na hoteli ya Butiama ukiitwa Michuzi Mikali. Mwenye mgahawa huu jina lake lilikuwa Shomvi na alikuwa shabiki mkubwa sana wa Yanga. Yeye alikuwa anafungua mgahawa wake mchana kwa ajili ya chakula cha mchana...
  14. Crucifix

    JamiiForums Tanzania Magomeni Kota - TBA fungulieni njia mbadala wakati huu wa ujenzi wa barabara

    Ni hivi, barabara zote za kuelekea barabara ya Morogoro zina marundo ya vifusi. Geti pekee kwa wakazi wenye magari la kuingia Magomeni Kota ni lile lililo mkabala na Turiani Sekondari. Kwa maelekezo ya TBA na walinzi wake, geti hilo sharti lifungwe saa 6 usiku. Hawa ni watu na siyo mifugo wa...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nikiwa mdogo niliwahi kucheza draft na Jakaya Kikwete pale Magomeni bila kujua kuwa ni Waziri wa Fedha:Viongozi kuweni wanyenyekevu

    Sikumbuki mwaka ila nakumbuka nilikuwa mdogo ,tulitoka na mzee wangu mitaa ya kariakoo tukaelekea mitaa ya Magomeni Mapipa mtaa sikumbuki ila ni karibu na Shibam. Kufika pale kulikuwa na vijana watoto wamjini hakuna aliyezidi miaka 50,walikuwawakicheza draft,bao,zumna na kunywa kahawa Vijana...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ali Msham, Julius Nyerere na Wanachama wa TANU Tawi la Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa 1954

    ALI MSHAM, JULIUS NYERERE NA WANACHAMA WA TANU WA TAWI LA MTAA WA JARIBU MAGOMENI MAPIPA 1954 Watoto wa Ali Msham walizihifadhi picha hizo hapo chini kwa zaidi ya miaka 60. Miongo sita imepita hadi picha hizi kufika mikononi kwangu na ndiyo ikawa sababu ya historia ya Ali Msham mzalendo...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Lipumba yuko Magomeni leo, kulikoni baridi hivi?

    Leo Prof. Lipumba atakuwa na jambo lake Magomeni. Kulikoni wapambe wamemtelekeza? Hata timu nzima ya chawa wazamivu nayo baridi! Kulikoni Jilala, Country , Mtambuka, joni inakuwa je sasa?
  18. Mbunge Afrika Mashariki

    JamiiForums Tanzania CUF-Chama Cha Wananchi, Taarifa kwa umma kuhusu mkutano wa hadhara kesho Magomeni Kanisani

    THE CIVIC UNITED FRONT (CUF-Chama Cha Wananchi) TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MKUTANO WA HADHARA KESHO MAGOMENI KANISANI: Mwenyekiti wa CUF-Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim Lipumba kesho Jumamosi Februari 11, 2023 anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye Mkutano Mkubwa wa Hadhara ulioandaliwa na Wilaya...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kaya 644 Magomeni kota zagomea kusaini mkataba kununua nyumba

    Dar es Salaam. Wakazi 644 wa Magomeni Kota wamegomea kusaini mkataba wa kuanza kununua nyumba hizo, kwa madai kwamba bei waliyoletewa sio rafiki na haiendani na hali ya uchumi wao. Aidha wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan aingilie kati kwa kuwa bei ya Serikali iliyowasilishwa ni kati ya Sh48...
  20. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Nyumba za Magomeni ndugu zangu mmeokota dodo!

    Nimesikia ndugu zetu wapangaji wa nyumba za Magomeni wanamuomba Mh. wauziwe nyumba zile kwa Tsh 17M? Kweli? Serikali imesema itawauzia kwa Tsh 48M (chumba na sebule) na 56 + (kwa nyumba kubwa), na hii inalipwa kwa muda wa miaka 15. Piga mahesabu yako vizuri kwa huyu atakaye lipa 56+...
Back
Top Bottom