Habari jamii Africa
Gereza linatisha,
Stori zake zinatisha,
Matendo ya huko yanaogofya,
Lakini ikiwa upo Duniani kaa ukijua muda na saa yoyote unaweza kuangukia huko.
Najua wengi tunajitajidi kuishi Kwa ukamilifu ikiwa ni njia ya kujiepusha na makosa mbalimbali,lakini niseme tu kama upo...