1. Gereza la Ngwalla, Chunya
Hili ni namba 1 lipo msituni na wala hakuna ulinzi mkali wala ukuta ila hukuna mfungwa anaweza kutoroka.
Gereza hili limezungukwa na wanyama wakali kama Simba, Chui, Fisi n. K
Hutumika kuhufadhi mateka wa Kijeshi
2 Gereza la Kitai, Songea
Hili ni namba mbili
Kazi...