magari

  1. M

    JamiiForums Tanzania Haitoshi kulipenda gari lichunguze linachukuliwaje na jamii, kuna magari ambayo yamejipatia umaarufu kutumika na watu tofauti na ulivyo

    Toyota IST, Raum, - Moja kwa moja unaonekana ni mtu unaebana sana pesa hasa kwa ufinyu wa bajeti, kama huna taabu kuonekana hivyo si mbaya ila ndivyo utavyochukuliwa Sienta - Ni gari zilizojizolea umaarufu kupendwa kutumika na slay queens wa mjini Toyota Altezza - Ni gari za vijana wadogo...
  2. JamiiForums Tanzania Kama unahitaji fundi mitambo / mechanical technician ( magari, ac, lathe machine,milling machine, freezer, fridges)

    Kama unahitaji fundi mitambo / mechanical technician ( magari, ac, lathe machine,milling machine, freezer, fridges) nipo funding full set natengeneza vitu hivyo magari, kuendesha machine za lathe na air conditioning (HISENSE) nicheki WhatsAp/sms/piga 0756704145 (kwa ajira/kazi)
  3. J

    JamiiForums Tanzania KERO Ameripoti katika Kituo cha Kazi na kuambiwa vitendea kazi ni vichache hivyo hawezi kufanya kazi hapo. Hii ni sawa?

    Ndugu yangu ameitwa kazini kama Afisa Usafirishaji na katika barua yake ya ajira ameagizwa kuripoti Dodoma. Alifika mapema katika kituo alichopangiwa na kuanza taratibu za kuripoti kama alivyoelekezwa. Hata hivyo, alipofika katika kituo hicho, aliambiwa kuwa kituo kina magari machache na hivyo...
  4. JamiiForums Tanzania Tunauza magari kwa Tsh 200,000 tu. Ni ya kuchaji

    Tunauza magari ya watoto kuanzia miezi 6 hadi miaka 15 tupo dar es salaam... yapo ya rangi na size/muonekano tofautitofauti.. Unachaji siku masaa 12 na pia yanatumia rimoti,na mengine yana muziki kabisa piga 0627474141/0773474141 MNUNULIE MWANAO ZAWADI HII NZURI HASA MSIMU WA LIKIZO ATAENJOY...
  5. N

    JamiiForums Tanzania KERO Barua ya wazi wa Mkuu wa Usalama Barabarani kuhusu uendeshaji hatarishi wa vyombo vya moto kwenye barabara ya Mbeya - Tunduma

    MADEREVA WA PIKIPIKI NA BAJAJI – MBEYA Barabara ya Mbeya–Tunduma 12 Agosti 2026 Kwa: Afisa Mkuu wa Usalama Barabarani S.L.P 260 Mbeya YAH: OMBI LA HATUA DHIDI YA UENDESHAJI HATARISHI KWENYE BARABARA YA MBEYA–TUNDUMA Ndugu Afisa Mkuu wa Usalama Barabarani, Sisi, waendesha pikipiki na bajaji...
  6. JamiiForums Tanzania Elimu ya magari

    Naombeni mwenye maoni au ushahuri kuhusu magari autoe haswa kwa sisi ambao hatuyajui kabsa kwa kutowahi kuyamiliki lakini tunatarajia kuyamiliki. Ushauri unaweza kuwa tutembelee website gan kuyajua magari? Jinsi ya kuagiza? Faida na hasara za kununua gari showroom? Gari gani nzuri kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kero. Masoko ya M'buyuni na Manyema ya Moshi mjini hamna parking ya magari

    Katika pita pita zangu mjini hapa, nimegundua kuwa kuna kero Moja inayofumbiwa macho na manispaa ya Moshi mjini, masoko ya hapa Moshi mjini, hususani soko la M'buyuni na soko la Manyema, yana ufinyu au hayana kabisa maegesho ya wateja kuegesha magari Yao ili wakapate huduma sokoni. Kero hizi...
  8. JamiiForums Tanzania Sijui ndio tuwaite washamba au limbukeni wa magari?

    Asubuhi ya leo nimetoka nyumbani Mapinga kuelekea kazini. Kama kawaida nikakunjia Boko Magengeni kuelekea njia ya Mbweni JKT ili nikatokee Ununio hadi Kunduchi kuelekea Mwenge kwa njia ya kuingilia Clouds Media. Nilikuwa na Escudo langu edition ya Singapore, niko kwenye mwendo wangu wa kawaida...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Media za Bongo zinatoa sana airtime kwa mambo yasiyo na tija kwa jamii kuliko yale ya msingi? Nimeamini kupitia sakata la Doto Magari

    Habarini wakuu.. Siku za hapa karibuni kumekuwa na mambo ya ajabu ajabu yanayotembea sana mitandaoni kuhusiana na hawa machawa. Kuna sakata la yule wa kuitwa Doto Magari kusambaa kwa taarifa zake kuwa ni muathirika na kumekuwepo na kurushiana maneno kati yake na waanzilishi wa hizo tuhuma jui...
  10. JamiiForums Tanzania Kati ya yote alioongea Cherry juu ya dotto magari hili la waviu kuwa na vidoti kwenye vikanyagio miguuni kafungua code mpya.

    Aisee, zamani nilikuaga naangalia kiuononi kwanza kama kuna mkanda wa jeshi, ila kumbe miguuni napo kuna alama. Nimekumbuka miaka ya zamani kidogo nikiwa migodini huko chunya nilipata kabinti keupe kazuri sana, ila sasa ile tumezagamuana na mie style zangu za kukunja kunja nikafikia hatua...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Magari yanayotolewa na mbunge wa Moshi Mjini, Ibrahim Shayo, Kuwahudumia Wananchi Moshi Mjini ni Mali ya Serikali au Bado ni Mali yake Binafsi?

    Ni jambo jema kwa viongozi, taasisi na wananchi kuhakikisha kuwa mali zinazotumika kwa ajili ya kutoa huduma za umma zinasimamiwa kwa uwazi na kwa kuzingatia sheria na taratibu za Serikali. Kutokana na taarifa zilizotolewa kuhusu magari yaliyokabidhiwa kwa ajili ya kuhudumia wananchi wa Jimbo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo Ujumbe wangu kwa Dotto Magari.

    Ujumbe wangu kwangu Dotto Magari, haya majaribu unayopitia ya kuhusishwa Kwamba umeathirika na Virusi vya UKIMWI ni mpango wa MUNGU ambao amekuandalia katika Maisha yako Kwamba ipo siku haya yatatokea. Mimi nikushauri Mdogo wangu usikate tamaa ugali wako na familia yako hakuna atakayelisha...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Pole Sana Dotto Magari: Nikupe Moyo haya majaribu unayopitia utayavuka salama Mdogo wangu

    Ujumbe wangu kwangu Dotto Magari, haya majaribu unayopitia ya kuhusishwa Kwamba umeathirika na Virusi vya UKIMWI ni mpango wa MUNGU ambao amekuandalia katika Maisha yako Kwamba ipo siku haya yatatokea. Mimi nikushauri Mdogo wangu usikate tamaa ugali wako na familia yako hakuna atakayelisha...
  14. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya magari yana mshahara mbaya wasiotuambia

    Tunapenda magari yenye kila kitu cha kubofya tu... hakuna kuzungusha handle kushusha dirisha nk ...ni kweli yana raha zake. Na sasa wanakazana yajiendeshe yenyewe sisi tuwe abiria, yapo tayari. Kisha watatuletea ya kupaa... maendeleo yalianza na magari kuwa na computer chip... mafundi na...
  15. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa "minara" kwenye magari ya abiria kusini unawakwaza wateja/wasafiri, mamlaka ondoeni hii adha

    Kina huu utaratibu nimeuona kwenye magari ya huku kusini sijui kwingine nako ni hivyo hivyo au la!? Yaani siku hizi gari ina vituo bubu (visivyo rasmi) njiani. Hatukatai vituo hivyo lakini kinachokera ni kwamba vituo hivyo vinamcontrol kila mtu anayehusika na gari kiasi kwamba nyinyi abiria...
  16. JamiiForums Tanzania Tuongelee magari ya umeme.

    Gharama zake za kununua, gharama za umeme wa kuendeshea, umbali wa kusafiri, kodi zake, faida na hasara zake pamoja na changamoto zingine. Geely Geome(Xingyuan). Moja ya EV inayouza sana China. Bei yake ni kama USD 10,000 BYD seagull/dolphin. Moja ya EV inayopendwa sana China. Bei yake ni...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar kuanza kutumia magari ya umeme

    Nimeona gazeti la Citizen kuwa SMZ inataka kuachana na magari ya mafuta na kuhamia ya umeme. Uamuzi mzuri sana. Urefu wa Zanzibar ni kama kilomita 90 tu. Na upana 35km. Mazingira kama hayo yanafaa sana gari za umeme. Hakuna jabari za range anxiety. Tena nawashauri Zanzibar waruhusu na magari...
  18. H

    JamiiForums Tanzania DC MWENDA AKABIDHI MAGARI 4 YA KUBEBEA WAGONJWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA IRAMBA

    DC MWENDA AKABIDHI MAGARI 4 YA KUBEBEA WAGONJWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA IRAMBA Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Alhaj Suleiman Yusuph Mwenda, Jumatano Julai 15, 2026, amekabidhi magari manne (4) ya kubebea wagonjwa (ambulance) kwa ajili ya kuimarisha huduma za afya katika Vituo vya...
  19. JamiiForums Tanzania Ushuru kwenye magari, Serikali inapaswa kuangalia upya

    Huu Ushuru Sirikali iuangalie Tena Purchasing Power Ya magari is going to be affected aisee. Imagine Toyota RUSH Nje inauzwa $6500 Kama 16.9M Hivi Pesa ya Tunguu. Halafu Tiarahei naona ushuru wanataka 15.8M Bila kupepesa Jicho mpaka hapo ni 32.7M, Ukitia na bandari charges zile walizoleta 35M...
  20. JamiiForums Tanzania Watoto wakinondoni hivi huyu dotto magari anataka tuchafue mpaka kituo cha ostabey polisi leo anajiona mwenye nchi.

    Mnafaili mengi naye ila mnapompeleka kuna siku wana anawauza tena anawauza kwa kupenda sifa. Siku zake zinakaribia sio kwenye kutetea CCM na utawala wake ila hapo hapo mwambie hisa tambuu anaweza kumponza.Huyu dotto magari sijui kama anaelewa kuna mafia na mafia wanamuangalia hapo alipo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…