Bajeti ya leo Watanganyika mmeingizwa mjini mnajiona. Ushuru wa Magari umepanda Hadi 50% huku sheria ikibadilishwa ili mruhusiwe kusajili magari Zanzibar.
Maana yake ni kwamba ili mpate unafuu mtalazimika kusajili magari Kwao ili wapate ushuru huku kwenu kukidoda. Mtachezewa mpaka lini amkeni...
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, akiwasilisha Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 bungeni Juni 11, 2026, ametangaza kupandishwa kwa viwango vya ushuru wa bidhaa kwenye magari yaliyotumika yanayoingizwa nchini, huku kigezo cha umri wa gari kikichukua nafasi...
Utangulizi:
Kumekuwa na changamoto hasa mtu anapotaka kuuza au kununua gari moja kwa moja bila kupitia kwa madalali (middlemen) suala linalosababisha usumbufu kwa muuzaji/mnunuzi kama vile; gari kuchelewa kuuzika kutokana na dalali kuongeza bei huku muuzaji akipewa bei ndogo na/au mnunuzi...
Utangulizi:
Kumekuwa na changamoto hasa mtu anapotaka kuuza au kununua gari moja kwa moja bila kupitia kwa madalali (middlemen) suala linalosababisha usumbufu kwa muuzaji/mnunuzi kama vile; gari kuchelewa kuuzika kutokana na dalali kuongeza bei huku muuzaji akipewa bei ndogo na/au mnunuzi...
Siyo kuwa Mtanzania anapenda kununua gari lililotumika la hasha. Kinachopelekea Mtanzania kununua gari lililotumika na hali ya kipato chake. Kwa Mtanzania kama mimi siwezi kununua gari jipya la toleo la toyota kwa gharama ya Tshs.120,000,000 au Toyota Landcruiser hard top kwa Tshs. 160,000,000...
Watanzania wajiandae kuanza kununua magari mapya baada ya serikali kukamilisha kuandaa sera mpya ambayo itapiga marufuku Watanzania kununua magari yaliyotumika.
Sera hii mpya inaungwa mkono na wawekezaji ambao watakuwa na jukumu la kuingiza magari mapya na pia kushirikiana na makampuni ya...
Hii nakupa tu ushauri wewe unayetaka kumiliki gari lako na lisikupe mawazo ya kuonana na mafundi Kila siku.
Asilimia 85 ya magari used Tanzania mmliki huuza kwa Sababu gari linamsumbua, asilimia.
Asilimia 10 tu huuza gari kwa Sababu ya changamoto za kimaisha.
Asilimia 5 tu ndiyo huuza gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.