magari ya serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Usajili wa magari ya serikali umefikia “STN” kazi iendelee

    Leo nikiwa town katika mishemishe nakuta chuma ya serikali imepaki. Kucheki namba ni STN. Nikajiuliza si ni juzi tu hapa STM ilianza? Ndio imejaa kwa kasi hivyo! Serikali yetu inamiliki magari mengi na sasa usajili umefikia “STN” hii ni kasi zaidi ya 5G
  2. P

    JamiiForums Tanzania Dereva gari la serikali alewa na kusababisha ajali

    Kati ya video zinazosambaa mtandaoni ni dereva wa gari la serikali akiwa amelewa chakari na kusababisha ajali ya kugonga bodaboda. Baadhi ya mashuhuda wamemuuliza kwanini amelewa na ni dereva wa serikali ambapo amekiri kweli kuwa amelewa.
  3. JamiiForums Tanzania Kutumia magari ya Serikali kwenda kumpokea Makonda ni matumizi mabaya ya kodi za umma

    Magari ya umma. Yanatumika kumpokea kada wa CCM. Hii sio fair kabisa. Kodi tunalipa watanzania wote sio wanaCCM peke yao. Sasa kwa nini kodi zetu zitumike kwenye shughuli za CCM?
  4. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu: Magari ya Serikali yafungwe mfumo wa gesi asilia

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko ameelekeza utaratibu wa kubadili mifumo ya magari kutumia gesi asilia uanze na magari ya serikali na kuwa vituo zaidi vijengwe ili kupunguza matumizi ya mafuta.
  5. JamiiForums Tanzania DOKEZO Magari ya Serikali kufichwa na kutelekezwa mitaani ni wizi wazi wazi

    Kuna utaratibu wa hovyo sana na uchezeaji wa kodi za Wananchi unafanyika mitaani kwenye magari ya Serikali. Mengi yametelekezwa ama kufichwa maeneo ambayo hayaeleweki mwengine yameondolewa namba. Mbali na hilo kuna magari mengi ya Serikali yanapaki maeneo ambayo sio salama kabisa. Serikali...
  6. JamiiForums Tanzania Wizi mkubwa unafanywa hivi manunuzi ya magari ya Serikali, pikipiki, ambulance nk, vifaa vya kielectronic vya umma, na manunuzi yote ya Serikali

    Sijui ni kwanini Serikali kwenye suala la manunuzi ya mali zake huwa haipo makini kila manunuzi ya Serikali yanapofanyika kuna pesa ya wizi inapita huko na kuna njia mbalimbali zinazotumika hapa ili kuiibia Serikali 1. Kuagiza vitu kwa idadi kubwa tofauti na mahitaji halisi ya Serikali sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Magari mengi ya serikali siku hizi wanaweka tinted kali? Wanaficha nini?

    Naona sijui ni mimi tu nakutana nazo hizi gari baadhi za serikali za viongozi wengi zinakuwa na tinted Kali mpk aliye ndani ya gari umuoni mpk ashushe kioo sasa sijui kina fichwa nini ndani humo maana zingine mitaani tu tunakutana nazo. Sasa je, ni halali kuweka ile tinted nyeusi kabisa?
  8. JamiiForums Tanzania Polisi: Baadhi ya madereva wa magari ya Serikali huwa ni chanzo cha ajali

    Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Morogoro, SSP Zauda Mohamed amesema baadhi ya madereva hao wamekuwa hawazingatii sheria, Kanuni na taratibu. Ameyasema hayo wakati akitoa elimu kwa madereva wa magari ya Serikali Mkoani Morogoro ambapo amewataka wale wanaoendesha viongizi wakubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ndani ya miezi 8 ajali zimeua watu 1,038, Magari ya Serikali ni 11.5%

    Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Wilbroad Mutafungwa amesema ndani ya muda huo jumla ya ajali 1,177 zilitokea huku 135 zikiwa za magari ya Serikali ambayo ni sawa na 11.5% kwa mwaka 2022 Takwimu hizo pia zinaonesha mwaka 2021 ajali zote zilizotokea zilikuwa 1,698 kati ya hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…