mafundi

  1. W

    Nataka kununua mashine ya kufulia nguo, ni mambo yapi niyazingatie ?

    Bajeti yangu ni shilingi laki 7,nahitaji kununua mashine ya kufulia nguo Ni mashine ipi nzuri pamoja na model yake Mashine ambayo hata ikiharibika spea zimejaa na mafundi wengi wanaziweza
  2. INAUZWA Nipo Dodoma, nauza mbao bei nafuu sana

    Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana; 2x2 - 2,500 2x3 - 3,700 2x4 - 4,700 2x6 - 7,000 1x4 - 2,500 1x6 - 4,500 1x8 - 7,500 1x10 - 14,000 Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
  3. Nauza Mbao kwa bei rahisi ndani ya Dodoma

    Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana; 2x2 - 2,500 2x3 - 3,700 2x4 - 4,700 2x6 - 7,000 1x4 - 2,500 1x6 - 4,500 1x8 - 7,500 1x10 - 14,000 Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
  4. B

    Swali mafundi naomba mnieleweshe tafadhali

    Nini kinasababisha hadi speed meter ya usafiri inasoma
  5. YARD &GODOWNS FO SALE

    Eneo zuri sana kwa uwekezaji wa Viwanda, Yard na Magodown linauzwa Vingunguti Machinjioni, Ukubwa wa eneo ni 2 Acres Bei 2.5bill tsh Document: Available Contact us and Schedule a visit!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #plot #sale #realestate #housforsale #plotsforsale #godowns
  6. Mafundi nisaidieni hichi kitanda ninunue mbao ngapi za mninga?

    Habari zenu? Wakuu nisaidieni hapa nahitaji kupunguza gharama, hichi kitanda mafundi wananitaji bei kubwa sana. Hivyo nimeona ili kupunguza gharama ni bora nikanunue mbao mwenyewe, fundi nitakubaliana naye matengenezo tu vifaa vingine vyote juu yangu. Wajuzi nisaidieni hapo ninunue mbao ngapi...
  7. Kwa wanaohitaji mafundi bora wa vigae (tiles)

    WEKA TILES KISASA NA KWA UBORA WA HALI YA JUU! Tunatoa huduma za kuweka tiles za kisasa kwa nyumba, ofisi, migahawa na maeneo mengine yote. Tuna uzoefu, kasi, na tunazingatia ubora! Bei ni rafiki kwa mteja—huduma ni ya kitaalamu! Piga:0683336444 WhatsApp: 0784075326 Dar es salaam Huduma bora...
  8. Karibu SHEBWA MASONRY CONTRACTION ujipatie mafundi ujenzi wenye viwango stahiki vya ujenzi

    🪖🦺🔨⛏️🪖🦺 SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi...
  9. Je unahitaji Mafundi ujenzi wenye viwango na spidi ya kazi

    SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi wenye uzoefu...
  10. Mafundi ujenzi kazi zipo Dodoma

    Miaka ya hivi karibuni ujenzi umekuwa mwingi sana Dodoma Kazi zimekuwa nyingi kuliko mafundi Ni kama mafundi wameelemewa Si ajabu kukuta fundi anakusubirisha hadi amalizie kazi ndo aje kwako Haya ni kwa mujibu wa jamaa yangu aliyeko huko Haya sasa wew fundi mjenzi Fundi rangi Fundi bomba...
  11. L

    Mafundi simu nawahitaji sana!!!. simu yangu ya pixel 5A na Jana ikafa machine

    Habari ndugu Wana JF ,nilinunua simu yangu ya pixel 5A na Jana ikafa machine kwaiyoo nataka kuwauzia kioo ch Google pixel 5A kwa sh 230,000
  12. mafundi wenye kazi naombeni kazi kinajana wenu.

    Ndugu zangu poleni na majukumu. kijana wenu nakuja mbele yenu kutafuta kazi au kibarua ili kuweza kumudi garama za maisha . kwenye maswala ya ujenzi nimebobea hasa upande wa ROOFING KUDHIBITI MAJI KWA KUTUMIA ROOFING FELT. Nipo tayari kujifunza zaidi naombeni kazi ndugu zangu
  13. Kwa nini Mafundi sio waaminifu n...??

    Habari mdau..Je na wewe umewahi kupitia kazia hii ya kupata fundi (Ujenzi) asiye na uaminifu yani mdokozi...?? Bila shaka zipo sababu 2 ambazo mimi binafsi naona ndio chanzo cha Mafundi wenzangu kukengeukiwa kwa mabosi zao:- 1) MAKUBALIANO/MAPATANO YA KAZI...hili ndio chanzo kikubwa cha...
  14. Karibu Shebwa Masonry Contraction, Mafundi ujenzi

    🪖🦺🔨⛏️🪖🦺 SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi wenye...
  15. Davao service center: Mafundi wako wa simu wa kuaminika

    Habari. Davao Service Center tunatengeneza simu za aina zote pamoja na kufunga spea mpya za simu. Tumebobea kwenye matengenezo ya : Kubadili Vioo Vya Simu. Kubadili Camera. Kubadili Betri. Simu Iliyozima Ghafla. Simu Iliyoingia Maji. Mfumo wa Chaji. Mfumo Wa Simu Kugandaganda. Tunarepair...
  16. Mafundi ujenzi

    🪖🦺🔨⛏️🪖🦺 SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi...
  17. Mafundi Seremala,kabati kama hii inagharimu kiasi Gani?

    Gharama yake ni shilingi ngapi wakuu?
  18. Kampuni ya Barick imeshindwa kulipa Wakandarasi, wazabuni na mafundi walitekeleza miradi ya ujenzi wa Madarasa, Mabweni na Vyoo katika shule t nchini

    Mnamo mwezi wa nne mwaka 2024, Kampuni ya kuchimba madini ya Barick walitoa barua kupitia wizara ya TAMISEMI kuwataarifu juu ya kufadhili ujenzi wa madarasa, mabweni na vyoo katika shule mbalimbali nchini. Serikali kupitia kwa wakuu wa shule na wakurugenzi wa halmashauli zote zilizopokea barua...
  19. Changamoto katika ujenzi: Mafundi uchwara wanavyoharibu kazi

    Kama hujaanza ujenzi hasa wa nyumba yako ya kwanza ya kuishi jitahidi sana upate elimu ya kutosha kwenye Ununuzi wa ardhi/kiwanja Mafundi wa kila idara Makisio ya vifaa, ufundi Muda sahihi wa kuanza ujenzi Nini cha kuanza kufanya nknk Fanya utafiti wa kutosha.. Pata makisio ya ujenzi kwa kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…