Hii imekaaje, wafanyabiashara wenzangu wa maduka ya vifaa vya ujenzi?
Utakuta fundi amekuja dukani na bosi wake kununua vifaa. Ukimtajia bosi bei ya bidhaa, fundi anaanza kusema, “Mbona bei ni kubwa? Hatujawahi kununua kwa bei hiyo, punguza kidogo,” wakati bosi wake yupo kimya na hana tatizo na...