mafua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Changamoto ya mafua na uharo kwa kuku

    Habari zenu wadau. Naomba kupatiwa dawa mujarrab ya kutibu ugonjwa wa mafua na uharo kwa kuku wa aina zote maana kwangu hili tatizo lishakuwa sugu. Muwe na siku njema
  2. Dawa ya Mafua

    Wakuu, Kuna dawa nilitumia mafua yakakata ndani ya masaa kadhaa tu japo pua ilikuwa kama inaungua. Niliuziwa Mbeya mtu alikuwa anapita nazo tu hotelini. Hii dawa naitafuta tena kwa yeyote anajua inapopatikana kwa Dar.
  3. Nina mafua na kichomi kimebana, nani anajua dawa?

    Hawajawahi kukosekana wajuzi wa kila jambo humu. Naomba mniambie dawa ya haya mafua yaache kutiririka? na kichomi kinachouma upande wa kulia kiache kuchoma choma? ******🤧🤧🙃********* Lawama za dhati ziwaendee wote mlioshiriki ule uzi wa jana wa wakubwa na mlioendelea kunichatisha na kuongea...
  4. Mafua na kifua ya mwaka iko tough ni kupambana

    Hii kitu Kila mwaka inanipa shida mno sema Cha mwaka huu kimekutana na changamoto ya stress za maisha basi ni kupambana hadi sio poa Tuombeane sana
  5. H

    Msaada - natafuta Dawa ya mafua ya kuku

    Naombeni uzoefu kwa wafugaji wa Broiler Nimekuwa nafuga wa hao kuku ILA tatizo kubwa ninalo pambana nalo ni mafua Huwa na tumia, matandazo ya Pumba za mpunga na chakula rasmi cha Interchik
  6. Kwanini nitumie dawa za kuzuia mafua?

    Mwili kikawaida huwa una njianzake pekee za kujilinda dhidi ya vitu mbalimbali(defense mechamism). Mtu akipaliwa na punje ya wali atakohoa na hakuna anayezuia kwamba usikohoe kwa sababu kukohoa ni njianya mwili kujilinda na baada ya hapo mtu anapata afadhali. Sasa kwenye mafua, yale mafua ni...
  7. H

    Tatizo la mafua ya muda mrefu

    Wakuu poleni nyote na majukumu ya leo, msaada naombeni Kuna ndugu yangu anamafua ya muda mrefu yapata Kama mwaka, alienda hospital akapatiwa dawa za allergy au mzio lakini Bado ,yani pua zinamziba sometimes anashindwa hata kuhema vizuri msaada wakuu nafanyaje hapa Sasa .
  8. Kuna Homa za Mafua Makali zinasambaa kwa Kasi Mitaani, Mamlaka mbona hazitoi taarifa kuhusu hili?

    Kumekuwa na ongezeko la homa kali za mafua zinazowakumba wananchi wengi katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Wananchi wanaonekana kuwa na wasiwasi juu ya kasi ya kusambaa kwa ugonjwa huu, lakini wanahoji ukimya wa mamlaka husika kuhusu hatua zinazochukuliwa kukabiliana na hali hii. Je...
  9. Hii ndio sababu ya ongezeko wagonjwa wa vifua, mafua nchini

    Wizara ya Afya imesema kuna ongezeko la virusi wanaosababisha homa kali ya mafua inayoambukiza maarufu influenza, waliyotaja kusababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa. Homa hiyo ambayo husababisha ugonjwa wa vifua inaongezeka katika baadhi ya maeneo nchini, huku wataalamu wa afya wakitoa...
  10. E

    Nini Chanzo na Tiba ya Mafua kwa watoto wachanga?

    Habari! Poleni kwa majukumu ya kutwa nzima. Kama kichwa kinavyojieleza, natafuta tiba ya mafua kwa mtoto mchanga. Mtoto ana umri wa miezi miwili. Anasumbuliwa na mafua toka kuzaliwa. Amepata tiba mbali mbali za hospitali bila nafuu. Je, wenzangu mliopitia hapa mlifanyaje? Natanguliza shukrani!
  11. Ziara ya Siku 3 tu na Mafua juu mwakani kutakuwa na Ziara Mikoa yote na Vijiji Laki Saba na Ishirini je, utaweza kwa Mafua haya ya mara kwa mara?

    Hili Swali langu hapa nawauliza hawa Marafiki zangu akina Arovera, Bila bila, adriz na Bujibuji Simba Nyamaume Oky?
  12. Msisubiri mpaka huyu kijana afe ndio mumpe maua yake

    Anaitwa Beka flavor zao la yamoto band walimokuwemo Mboso, Aslay na wengineo. Kijana anauwezo mkubwa sana wa kuimba japo mafanikio aliyonayo kimziki hayalingani na kazi kubwa anayoifanya, nimepewa lift na Mwana naisikilza Ngoma yake ya NAKUPENDA hakika ni nzuri mno. Dogo mziki unaujua hongera...
  13. I

    Allergy Mafua

    Jamanii, mwenzenu nina naelekea kumaliza mwaka sasa nasumbuliwa na Mafua MAZITO hadi yanaziba pua! Hospital naambiwa ni Allergy nijaribu kugundua kinachonikataa yaani nimeshindwa kujua kabsaa, usiku nalala nimekenua napumua kwa mdomo maana pua zinaziba, na yanatoka makamasi MAZITO. Nimetumiwa...
  14. Uhusiano unao nichanganya kati ya mafua na kuziba kwa masikio

    Wakuu poleni na swaumu (kwaresima na mfungo wa ramadhani). Tangu nikiwa mdogo napata hiyo shida ya kuziba kwa masikio pindi ninapo fanya usafi wa kutoa bugudha ya mafua. Kwa anaye jua huu uhusiano kwamba unapo penga hizi mucus za pua tufanyeje ili masikio yasilete tabu mana hapa sikio moja...
  15. P

    Mafua yataniua

    Mimi nikiamka jua likitoka nakua mzima had jion giza likiingia naanza kuumwa mafua usiku mzima kias hadi natumia mdomo kupata pumzi. Hii Hali Ina mwaka huu wa 3 Mchana mzima kabisa, Pia naomba kuuliza je feni inaweza sababisha niumwe? Maana nalala na feni kila siku
  16. Kuugua mafua kwa muda mrefu hupekekea kuziba kwa mishipa?

    Je kuugua Mafua na kikohozi kwa muda mrefu Mara kwa Mara huweza kusababisha kuziba kwa baadhi ya mishipa na kusababisha mtu kupata tatizo la kutosikia vizuri?
  17. Wizara ya Afya Mnasubiri kutangaa Mlipuko wa Mafua hasa mikoa ya Pwani

    Kuna mafua makali yameongezeka hasa ukanda huu wa Pwani. Nina uhakika wizara ya afya ina takwimu za kutosha. Tuambieni what is going on. Enzi zile tungesema Corona. Wizara ya Afya Tanzania
  18. R

    Msimu wa mafua: Waafrika tunalaumu wazungu kuchelewesha maendeleo, tunashindwaje kugundua dawa ya mafua baada ya miaka 60 ya uhuru wa nchi zetu?

    Msimu wa mafua: Mafua ni ugonjwa wa tropics in most cases. Tunawalaumu wazungu kwa kila underdevelopment tuliyo nayo. Sasa ni miaka zaidi ya 60 tangu nchi nyingi za kiafrika zipate uhuru wake. Tunashindwaje kugundua dawa ya mafua ambayo yanasumbua sana wananchi wetu? =========== A cold is a...
  19. S

    Dawa ya kienyeji ya mtoto mchanga mwenye mafua

    Hii ni dawa ya Asili(dawa ya kienyeji) Mtoto mchanga kama ana mafua au amevuta maji wakati wa kujifungua hivyo akashindwa kupumua. Fanya kitu kimoja: Tafuta kondoo, mshikilie huyo kisha mpandishe mtoto huyo ukiwa umemshikilia mtoto Kisha mtembeze huyo kondoo kidogo tu huku umeshikilia mtoto...
  20. Mafua ni ugonjwa jamani!

    Yaan hata kupika nimeshindwa....mambo siyo mambo... Kichwa kinauma,naona Kuna dalili ya kikohozi.....wanaosema Bora uumwe mafua kuliko Nini sijui....ndugu yangu yanakuwa hayajakukamata aisee.🤧🥵 Hivi mafua Lazima huambukizwe? Au huwa yanakuja tu automatically? Simaanishi namhisi mtu,nauliza tu🙆
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…