CCM mtandao ni wajinga na hawana akili za kuweza kuwadanganya Watanganyika.
Walidhani Jesca Magufuli atakuwa bait ili wakubalike kwa Watanganyika.
Yuko wapi Humphrey Polepole?
Hayati Magufuli alikuwa smart hasa kwa kusimamia pesa za umma tangu akiwa Waziri mpaka anakuwa rais.
Taifa lenye utajiri na rasilimali nyingi kama Tanzania sio la kukosa pesa za kujenga viwanja vya mpira likae vikao na na nchi kama Kenya ambayo haina uwezo hata wa kudhalisha mahindi ya ugali...
Bank kuu sio kijiweni kuna utaalamu wa kufanya mambo. Hakuna kitu kama kusawazisha mizani yaani bank kuu inanunua gold sasa kusawazisha mizani maana yake ni nini? wanajua kabisa wanaeleza vitu ambavyo havipo kwa lengo ya kuuza gold bila watanzania kujua idadi maalumu na bila kukubali wanauza...
MBUNGE wa Gairo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Ahmed Shabiby amewalipua mafisadi akisema kuwa, kwa sasa wanapiga pesa kiuhakika na kuporomosha majumba ya maana.
Shabiby ameyasema hayo, leo bungeni Dodoma katika Bunge la 13, Mkutano wa pili, Kikao cha pili kilichoongozwa na Spika Mussa Azzan...
Watanzania walikaa kimya na sio hawana nguvu za kuwashughulikia wauwaji na hao askari wala rushwa wananchi wananguvu zote kuliko jeshi la nchi.
Tulipagana na jeshi la Ukoloni lenye silaha za kisasa tukalishinda tukiwa hatuna silaha wala mabuti na hizo kofia za kuzuia risasi hatuwezi kushindwa...
"Katika nchi hii sasa hivi mafisadi sio wanapiga kidogo wanapiga kiuhakika ni walaji na ni walafi na wanafanya vitu kama vile wananchi wa sasa hivi hawana elimu, lazima tufahamu sasa hivi ukienda sehemu yoyote hata kama ni kwenye kijiwe cha bodaboda utamkuta mtu wa chuo kikuu, utamkuta wa 'form...
Hata kwenye Biblia walikuwepo manibii kama Elisha na Eliya walipinga uonevu na ufisadi.
TEC wanapinga utekaji, wizi wa mali za umma na nepotism ya hali juu.
Mfano Dp World kupewa usimamizi wa Bandari bila sababu ili kutengeneza mianya ya upigaji na kuwanufaisha warabu.
Utekaji usio na...
Kuanzia #D9 Wananchi tunapaswa kugoma kulipa kodi hatuwezi kufadhili wauwaji na mafisadi wanunue siraha kutuuwa kwa kodi zetu.
Tunalipaje kodi ili zituletee maendeleo kama mnauwa watu.
Kataa wahuni !
Kizazi cha Gen z kimekuwa na nguvu na mwiba mkubwa kwa mafisadi kwenye mataifa mbalimbali kuliko upinzani wa vyama vya siasa.
Je, gen z wa Tanzania wanaweza kupindua serikali ya Tanzania? hili ni jibu ambalo linaweza kuwa ndio,
kulingana na uchunguzi idadi ya gen z ni zaidi ya asilimia 60% ya...
Mwigulu amesikika akisema kuwa yeye hana biashara yoyote, hana hata Noah ya biashara!
Kama hana biashara yoyote, basi kwa vyovyote atakuwa mwizi mkubwa!
Aueleze umma, kama hana kitega uchumi chochote, aueleze umma, pesa anayowalipa wale wachezaji wa Timu take ya mpira, anachukua wapi? Maana...
Kuna video imepositiwa instagram mpaka nikajiuliza hivi hawa viongozi wanaziona kweli hizi video, na kama wanaziona wanasubiri nini kumwajibisha Samia.
Yaani binadamu wamekufa kama kumbikumbi mpaka unahisi kama movie vile. Samia hafai wazee, tuache masihara huyu mama angejiondoa tu mwenyewe
Hapo vip!!
Ipo hivi kwa mauwaji yaliyotokea nchini Tanzania ni wazi hii ni massacre.
Sasa ipo hivi hii mbinu huwa inatumiwa na madikteta wenye uwakika wa kubadilisha katiba na kutawala muda mrefu, kwa lengo la kukwepa mkono wa sheria za kimataifa,Kwasababu wanajua fika pale tu wakiwa hawana...
Asilaumiwe Rais kitakachowakomboa waTZ ni mapambano ya mafichoni dhidi ya mafisadi na viongozi wabovu siyo mitandao ya kijamii,wanaharakati au wanasiasa kwani hawa ndiyo wanaopanga kila leo kubaki madarakani.
Kuna mpuuzi mmoja nimekutana nae anasema eti waandamanaji walianza kupigwa risasi sababu ya wizi. Kama ni hivyo basi majizi yote yalioko serikalini nayo yapigwe risasi hadi nyumbani kwao tena mbele ya familia zao.
Ukitumia logic hio yaani kama mtu kuharibu mwendokasi kumefanya apigwe risasi je...
Kuna tetesi kwamba waliokufa Ni 3500 na majeruhi Ni 15000.
Hivyo tuchukue hatua zifuatazo
1: Hakuna kupanda gari ya fisadi
2: Hakuna kujaza mafuta kwenye Kituo Cha mafuta Cha fisadi.
3:Hakuna kununua bidhaa ya fisadi.
4:Hakuna kuudhuria show za wasaniii machawa lakini pia tumaweza organize...
Ukiangalia kwa kina JWTZ ilikaa kimya Mgunda hakuwai kuongea chochote wakati watu wanatekwa wakina Soka, Mdude, Kibao na Wengine wakina Polepole lakini ghafla katoka kuja Kukemea maandamano shame on you
Viongozi wote tuliowaamini wakishirikiana na wezi na mafisadi kama akina Rostam Aziz na wengineo wamemaliza utajiri wa nchi, hawana uchungu na nchi yetu, wakati wananchi wa kawaida wanateseka wanakosa hata jinsi ya kupata matibabu.
Hao ndiyo wanaotuua kwa sababu wanaogopa maslahi yao...
Shughuli itaanzia 28 hiyo tutakinikusha anajifanya hasikii.
Hatufanyi amani na wezi watekaji na wauwaji. tarehe 28 tutakinukisha tuirudishe nchi yetu kwenye mstari.
Mmegeuza nafasi za kisiasa kama vijiwe rasmi vya kujikusanyia utajiri wa kufuru mkichota kodi za Watanzania masikini kwa faida zenu na familia zenu. Mnafanya haya huku Watanzania tukiishi maisha magumu ya umasikini na tulikosa huduma za msingi kama matibabu hospitalini, maji safi na salama, dawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.