Idara ya Uhamiaji wilaya ya Mufindi wamekuwa na usumbufu sana kwa wananchi na kupelekea wengi kukosa vitambulisho vya NIDA.
Hii ni inatokana na maafisa pale kuwarudisha wananchi hata kama zile nyaraka muhimu wakiwa nazo kama cheti cha kuzaliwa, au hati ya mpiga kura.
Nye Nye Nye. Mekutana na kina Mogela hapa Mazimbu Mayii. Wafurahisha Nye.
Maneno mengi pyuu ushubwada hamna lolote. Wajiita mji kasolo bahari wakati washamba watupu.
Wanaume kama mabinti hehehe. MO29 mayii iliwaumbua pabaya mayo. Mo town yakushindwa na Mafinga Nye.
Kule igumelo kahama...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mafinga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dickison Lutevele maarufu kama Villa, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura ifikapo Oktoba 29, akiwahakikishia kuwa hali ya usalama itaimarishwa ili kila mtu ashiriki uchaguzi kwa amani.
Akizungumza...
Mkaguzi Msaidizi wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Iringa, Richard Nzagi anajibu swali kuwa “Endapo Mtanzania atapata ujauzito na raia wa kigeni, iwe ni mtalii au ameingia nchini kwa njia nyingine halali—halafu huyo mgeni akaondoka kabla mtoto hajazaliwa, je mtoto huyo anakuwa raia wa wapi?”
Idara...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) amemtaka mkandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 wilayani Mafinga kampuni ya Jandu Plambers LTD kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi ili kufanikisha hitaji la huduma ya majisafi kwa wakazi wa Mafinga kwa wakati.
Mradi huo katika mji wa Mafinga ni sehemu ya mradi...
Anaandika Padre Silvio Mnyifuna,Mwl na mlezi wa Mafinga seminari
KADIRI YA SHERIA ZA KANISA KATOLIKI KIONGOZI WA DINI ANA HAKI NA WAJIBU UPI KUHUSIANA NA SERIKALI YA NCHI KATIKA KUSHAURI NA KUONYA ?
. Sheria za Kanisa Katoliki (yaani Codex Iuris Canonici – CIC) zinatoa mwongozo mahususi kuhusu...
Wananchi katika Kijiji cha Kasekela kata ya Mfinga bonde la ziwa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga, wameondokana na adha ya kuugua homa za matumbo baada ya Serikali kukamilisha mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya shilingi 422,498,413 .37 utakaohudumia wakazi wapatao 3500.
Kaimu meneja wa RUWASA...
Wazazi ambao hawapeleki chakula Cha mchana katika shule za msingi kuchukuliwa hatua kwa mjibu wa Sheria na kushitakiwa kwa kutowajibika vema kwa Watoto wao.
Hayo yamejiri katika kikao cha dharula cha Wataalamu wa lishe wa mitaa sita ya kata ya Boma katika Halmashauri ya Mji Mafinga Wilaya ya...
Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Dkt. Linda Salekwa amewataka Watumishi Halmashauri ya Mafinga Mji kuweka agenda ya chakula shuleni.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa Dkt. Linda Salekwa kwenye kikao cha kupitia Tathmini ya viashiria vya Mkataba wa Lishe kwa robo ya pili...
Nimefika kufanyiwa makadirio ya kodi katika Ofisi za TRA Tanzania Mafinga lakini tangu asubuhi wahudumu wanajizungusha tu mara huku mara kule, mara mtandao uko chini mara wahudumu wengine wako kuhudumia nje ya ofisi hivyo tuendelee kusubiri.
Hii hali ni kero sana nimeuliza wateja wengine hapa...
Taarifa za hivi punde zinasema kuwa Msitu wa Sao Hill Shamba Namba 15, uliopo Wami, Mafinga mkoani Iringa, umewaka moto. Chanzo cha moto hakijajulikana kwa sasa.
Soma Pia: Njombe yanusurika kuingia gizani kisa moto kuwaka kwenye kituo cha kusambaza umeme
Habari Wana JF ,
Naomba mawazo yenu, Nina mtaji wangu nataka nifungue saruni ya kike Mafinga mjini.
Je, Ni sehemu gani , au mitaa gani itanifaa kwa kazi hiyo?
Husika na kichwa Cha habari hapo juu naomba mwanamke yoyoye aliye mafinga au Iringa mjini awe rafiki yangu kipenzi.
Kama upo maeneo hayo naomba uje inbox nipo serious, Mimi ni mwaminifu siyo tapeli nitakupenda na kukujari🙏🏿
Nimesikia na kuona vipande vya video fupi vikidai Mafinga ilinyesha Mvua iliyosababisha barafu kuzagaa mitaani hadi baadhi ya maeneo barabara zikawa nyeupe, nimeona video hizo ila nikapata ukakasi isijekuwa ni video za nje ya Tanzania zimewekewa sauti tu.
Je, ni kweli hapo ni Mafinga na...
Leo hapa mafinga kumepiga mvua ya mawe na hali ilikuwa kama hivi.
Sehemu nyingine hali ilikuwa hivi.
Hali ya barabara ya TANZAM ilikuwa hivi.
Haki hii pia imeripotiwa maeneo mbalimbali ya mkoa wa Iringa.
Sisi wafanyabiashara wa Soko Kuu Mafinga tunaomba kufikisha kero yetu kwa Mamlaka za Juu akiwemo Waziri wa Viwanda na Biashara, Waziri wa Fedha na Rais Samia na kero hiyo ni kupuuzwa kwa madai yetu kunakofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Peter Serukamba na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi
Kwa takriban...
Wakati mgomo wa wafanyabiashara katika soko kuu Mafinga mkoani Iringa ukiinga siku ya nne nne leo, wafanyabiashara wa matunda, nafaka pamoja na samaki wamelalamikia wakisema mgomo huo unawaathiri kibiashara.
Mgomo huo umesababisha adha kwa wananchi na wafanyabiashara wasio na maduka, wakisema...
Mgomo wa wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mafinga lililopo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wa kufunga maduka, umeingia siku ya pili leo Agosti 24, 2024 ukisababisha adha kwa wananchi kukosa huduma.
Mwananchi limefika sokoni hapo na kushuhudia milango ya maduka hayo imefungwa huku baadhi ya...
Kwema Wakuu!
Nimeshawahi kuishi Mafinga mara kadhaa lakini sijawahi kuona baridi kama ya Juzi jumatatu tarehe 19. Dadeki baridi mpaka ukungu weñye barafu nyepesi ilikuwa inadondoka.
Nimefika Saa nane Usiku nikitokea Dsm. Nilitamani nirudi kwèñye Basi, Aiseeh! Pale Stendi nikaona makundi mawili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.