mafia

A mafia is a type of organized crime syndicate whose primary activities are protection racketeering, arbitrating disputes between criminals, and brokering and enforcing illegal agreements and transactions. Mafias often engage in secondary activities such as gambling, loan sharking, drug-trafficking, prostitution, and fraud.
Nowadays the 'Ndrangheta, originating in the southern Italian region of Calabria, is widely considered the richest and most powerful mafia in the world.The term "mafia" was originally applied only to the Sicilian Mafia and originates in Sicily, but it has since expanded to encompass other organizations of similar methods and purpose, e.g., "the Russian Mafia" or "the Japanese Mafia". The term is applied informally by the press and public; the criminal organizations themselves have their own terms (e.g. the Sicilian Mafia and the related Italian-American Mafia refer to their organizations as "Cosa Nostra"; the "Japanese Mafia" calls itself "Gokudō" but is more commonly known as "Yakuza" by the public; and "Russian Mafia" groups often call themselves "Bratva").
When used alone and without any qualifier, "Mafia" or "the Mafia" typically refers to either the Sicilian Mafia or the Italian-American Mafia and sometimes Italian organized crime in general (e.g., Camorra, 'Ndrangheta, etc.).

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Kero yangu ni usafiri katika Halmashauri ya Mafia, huduma ni mbovu na kuna mazingira ya Rushwa

    1. Usafiri Mafia ni kero tutoka Bara kuja huku. 2. Rushwa zimetawala kila idara toka mlinzi kwenye meli mpaka mkatisha tickets...huko kwingine ndiyo usiseme... 3. Watu wa mafia wamwogope Mungu matusi ya nguoni mpaka mbele za watoto wao. 4. Watu tunaoajiriwa Mafia tunaona kama tumepewa adhabu kwa...
  2. A

    DOKEZO Vifo vya Ajali ya Boti (FIBER) Mafia vichunguzwe!

    INASADAKIKA watu zaidi wawili wamefariki kwenye ajili hii iliyodaiwa kutokea tarehe 26 Januari 2026 eneo la Kibiti wakiwa wanatoka kwenye kisiwa cha Mafia. Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Rufiji, Protas Mutayoba, amesema boti hiyo ilikuwa imebeba abiria 11 na imepata ajali katika eneo...
  3. Msaada wakuu, nataka kufungua Lounge Kisiwa cha Mafia

    Habari zenu wakuu, nimezamilia kufungua lounge mafia, muziki mzito, vinywaji vyote, chakula, na michezo mbalimbali, kwa njee bonge moja la car wash, hapo vipi wakuu au tutachezea za uso? King La Jr
  4. S

    Bongo kutoboa inafaa uwe mafia

    BONGO NYOSO: Nimegundua kuwa Bongo kutoboa inafaa uwe mafia sana na umafia wenyewe ni ule wa kuvunja mifumo sababu kila mahala ni husda. Ajabu sana unaweza kwenda mahali wanauza nguo uuze maji lakn wakaeka husda, unaweza enda mahali uchome mahindi wao ni watengeneza magari na watakukazia na...
  5. GE2025 Siasa za CCM Mafia zinazidi kuwaka moto

    HUKU vikao vya Chama ngazi ya Mkoa vikiendelea kwa ajili ya kufanya maamuzi ya mwisho kwa Wagombea Udiwani na Ubunge, siasa za Kisiwa cha Mafia zinatajwa kuwa moto. Pamoja na ushindi wa Omar Kipanga katika kura za maoni bado kunaonekana kunafukuta chini kwa chini huku maamuzi ya mkoa yakiwa...
  6. Humphrey Polepole ni Mkatoliki mfia dini

    Tujikumbushe Balozi aliyejiuzulu ni Mkatoliki mfia dini. Huenda anatumika kupenyeza ajenda toka Vatikano. Tumpuuze
  7. Ntaanzisha jurasic park ambayo itakuwa kisiwa cha mafia

    Nikiwa Rais wa Tanzania ntaanzisha jurassic Park ambayo itakuwa kisiwa cha mafia na inatakiwa iwe kisiwa cha mafia ili turbosaurus, t-rex na wengineo wasidhuru watu Jambo la kufahamu jurassic Park ilikuwepo Tanzania ndo maana kuligundulika mabaki ya mifupa ya dinasours kipindi cha ukoloni wa...
  8. Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ?

    Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ? Je, wakwapi wale wanaosema wanalinda amani ya nchi, je huyu mbunge haaribu amani na usalama wa nchi kwa hayo aliyoyasema au kulinda amani kunafanya kazi kwa wale...
  9. R

    Mbunge Wa Kwale Deus Clement Sangu atilisha kupoteza Wanaotaka gombea ubunge Kwale. Asema yeye ni MAFIA

    Msikilize ANASEMA ATAUA MTU YEYE NI USALAMA WA TAIFA. ANAAPA KUUA YEYOTE ATAKAYEJITOKEZA KUGOMBEA KWALE NA JIMBO HALITAGAWANYWA https://www.youtube.com/watch?v=tklwP9kcx_M
  10. Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

    Jamii yoyote inayojali "mimi" badala ya "sisi" hujenga mazingira ya mgawanyiko, kutoaminiana, na kurudisha nyuma juhudi za pamoja hasa kwa wale wanaohamia maeneo mageni ili kuazisha maisha mapya. . Ni wazi kuwa kila jamii ina tabia na hulka zake. Lakini kwa muda niliokaa hapa Mafia, nimegundua...
  11. Miaka 64 ya uhuru: Watu wanakwama kwa siku 18 kisiwani bila usafiri, Hii ndiyo CCM

    Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima...
  12. AZAM MARINE mlete vivuko vyenu Mafia

    Kivuko MV. KILINDONI kinachotoa huduma kati ya Mafia Wilayani Mafia na Nyamisati Wilayani Kibiti Mkoani Pwani kitasimama kutoa huduma katika eneo hilo kuanzia siku ya leo Tarehe 12 Februari, 2025 ili kupisha matengenezo pamoja na kufungwa injini mpya. Kivuko MV. KILINDONI kimewasili leo kikiwa...
  13. Hoja na Mjadala dhidi ya Mafia Boxing Promotion

    Katika muktadha wa Mafia Boxing Promotion na matokeo ya mapambano ya hivi karibuni, kuna maswali na kashfa ambazo zinapaswa kujadiliwa kwa kina. Kuna hoja nzito kwamba Mafia Boxing Promotion inawazalisha mabondia kwa njia isiyo ya haki, ama kwa kuwaweka kwenye pambano dhidi ya wapinzani wasio...
  14. S

    Mafua yasiyoisha kwa watoto wachanga

    Wadau! Mwanangu ana umri wa miezi miwili ila anakua anamafua ambayo hayatoki (ambayo hayachuruziki) nimempeleka hospital lakini Bado hayakati naomba ushauri.
  15. Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, inauza viwanja

    Karibuni kisiwa cha mafia, kuwekeza kwenye utalii na uchumi wa buluu. Mafia inakua sana, kuwa sehemu ya ukuaji wake
  16. Karibuni Mafia Festival, fursa za utalii na uchumi wa buluu

    Follow this link to join my WhatsApp group: MAFIA ISLAND FESTIVAL Hili ni kundi maalumu kwa ajili ya kuunga mkono jitihada za Mh Rais Dkt Samia Suluhu Hassan za kukuza utalii na uwekezaji nchini na muendelezo wa Royal Tour kupitia maandalizi, hamasa na taarifa za Mafia Island Festival...
  17. LGE2024 DC Mafia, Mangosongo adaiwa kuwaondoa mawakala wote wa ACT Kwenye vituo vya kupigia kura

    Mkuu wa wilaya ya Mafia, Aziza Ally Mangosongo amewaondoa mawakala wote wa ACT Kwenye vituo vya kupigia kura.
  18. Kivuko cha MV Kilindoni charejesha huduma ya usafiri Mafia

    Hiyo ni kauli ya Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa aliyoitoa siku ya Oktoba 26, 2024 alipokuwa Wilayani Mafia Mkoani Pwani katika ziara ya kikazi ambapo alimpigia simu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi, Aisha Amour kumuagiza aambatane na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na...
  19. Bashungwa Ampigia Simu Katibu Mkuu Amtaka Kupiga Kambi Mafia Hadi Huduma ya Usafiri wa Kivuko Itakaporejea

    BASHUNGWA AMPIGIA SIMU KATIBU MKUU AMTAKA KUPIGA KAMBI MAFIA HADI HUDUMA YA USAFIRI WA KIVUKO ITAKAPOREJEA. “Msitoke Mafia mpaka Kivuko kianze kutoa huduma kwa Wananchi” Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amempgia simu na kumuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Eng. Aisha Amour na...
  20. Serikali kuunda timu maalum kusimamia urejeshaji huduma za usafiri wa vivuko Mafia - Pwani

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Uchukuzi na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa itaunda Timu Maalum itakayoshughulikia na kusimamia urejeshaji wa huduma ya usafiri wa Vivuko vya MV Kilindoni na Meli ya TNS Songosongo vinavyofanya safari kati ya kituo cha Mafia - Nyamisati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…