mafanikio

  1. JamiiForums Tanzania Mafanikio yako ni mabadiliko kwa wengine

    Mafanikio yako ni mabadiliko kwa wengine Kitendo cha kupigania ndoto au malengo yako ni kitendo cha kuthamini kuumbwa kwako kutoka kwa Mungu, kitendo cha ku thamini wazazi wako na jamii kwa ujumla. Unapofanikiwa kwenye maisha yako hayakunufaishi wewe pekee bali familia yako, wazazi wako na...
  2. JamiiForums Tanzania Inakuwaje nchi moja inakuwa na mafanikio makubwa hivi?

    Hivi wakuu mnaionaje Marekani Achana na maisha expensive, gharama kubwa za matibabu, mauaji mengi, school shootings, extreme sprawling cities and everything Ukifikiria kiundani Marekani ina success nyingi sana kwa kweli Mfano kwenye 1. Entertainment Marekani mziki wao ni always Global hits...
  3. JamiiForums Tanzania Pombe ni adui wa mafanikio! Ulevi unapoteza pesa, muda na Fursa

    Watu wengi wanafikiria kuwa kufurahia maisha ni kunywa kila siku, kwenda bar, au kununua pombe kila weekend. Lakini ukweli ni kwamba pombe ni money leak kubwa, productivity killer, na stress multiplier. Hili si dhana bali ni matokeo ya watu wengi waliotangulia. Pombe inapoteza muda! Pombe...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mafanikio niliyoyapataa mtandaoni na kweye mitandao mbalimbali ya kijamii

    ‎humu mitandaoni nimepata mafanikio mengi na leo nitaanza na machache na pia nitaanza na ya humu Jamiiforums, ‎ ‎nimejiunga JF mwezi huu march 2026, lakini katika uzi wangu tu wa kwanza wa kusema hodi, ali reply active kunipa ukaribisho, kwa namna rahisi tuseme active alihudhuria kwenye hafla ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unajua somo hili katika mafanikio?

    Kwenye mitandao ya kijamii kumejavaa mafunzo mengi kuhusu mafanikio katika maisha au biashara yeyote na mafunzo hayo ni mazuri na nimoja ya njia ya mafanikio Je umewahi kusikia haya ? Ukiwa katika safari ya mafanikio katika biashara yako hakikisha umetimiza mambo haya kwanza 1) kuwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Ndio maana mnaambiwa brand ni muhimu kwa mafanikio yako. Hebu imagine kila mtu anamjua huyu ni nani!!

    Umeshamjua huyu ni nani?😂😂
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watu hawa maarufu walioacha chuo (dropouts), tayari walikuwa na ujuzi, mafanikio na connections nzito, sio kama mnavyodanganyana vijiweni

    Ukweli muhimu ambao watu wengi husahau: Watu hawa hawakuacha chuo wakianza kutafuta mafanikio. Waliondoka chuo kwa sababu: Tayari walikuwa na ujuzi maalum Tayari walikuwa na miradi au biashara inayoanza kukua Tayari kulikuwa na fursa kubwa mbele yao Tayari walikuwa na connections nzito za...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi mazingira uliyokulia yanachelewesha mafanikio yako

    Jinsi Mazingira uliyozaliwa yanaweza kukuchelewesha kufanikiwa. Mazingira yanamchango mkubwa wa mtu kufanikiwa, ukiwa kwenye Mazingira sahihi ni rahisi kupiga hatua.Mazingira uliyozaliwa au home town yanaweza kuwa kikwazo cha mtu kutopiga hatua kivipi. 1. Marafiki uliokuwa nao, unapokuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo 8 yatakayo kufanya mwanaume kuwa na mafanikio na nguvu katika jamii

    Mambo 8 yatakayo kufanya mwanaume kuwa na mafanikio na nguvu katika jamii 1.Kumshirikisha Mungu kwenye mipango yako, Unapomuweka Mungu wa kwanza kwenye kila mipango unayofanya unajipa nafasi ya kufanikiwa na kuwa imara, Mungu atakufanya ufanye maamuzi sahihi, atakupa watu sahihi na pia kupata...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa vijana wenye Elimu Ndogo Pesa Nyingi Tanzania ni mkubwa sana; wanaongea ujinga na kuweka mbele kujionyesha na kujisifia mafanikio yao

    Tanzania hivi sasa tunakabiliwa kwa kiwango kikubwa sana cha vijana tunaowaita Elimu Ndogo Pesa Nyingi (Tuwaite EP kwa kifupi - Elimu Pesa), ambao utawatambua katika namna ya maongezi yao, kutamba kwao na kujionyesha kwao. Hata humu JF wapo wengi tu. Utaongea nae dakika tatu tu na kujua kwamba...
  11. JamiiForums Tanzania SIASA NA SIRI YA MAFANIKIO YA KIFEDHA.

    SIRI YA MAFANIKIO YA KIFEDHA. 🎯Uhusiano kati ya Kipato na Uwekezaji "Income starts wealth. Investing completes it." Kipato kama mshahara au faida ya biashara ni mbegu tu,huwezi kuwa na shamba bila mbegu. Lakini ukiila mbegu yote, hutakuwa na mavuno ya baadaye. Uwekezaji ndio unaofanya ile mbegu...
  12. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Machi 8, hatutasherehekea mafanikio ya Mwanamke Duniani, mioyo yetu bado inavuja damu, Oktoba 29 imeacha kovu

    HOTUBA YA KIONGOZI WA WANAWAKE - ACT WAZALENDO KWA WAANDISHI WA HABARI NA TAIFA Kauli Mbiu: Machozi ya Mama – Deni la Taifa UTANGULIZI NA SALAMU YA CHAMA Ndugu Waandishi wa Habari, na Watanzania wenzangu mnaonitazama na kunisikiliza, Nawasalimu kwa salamu ya chama chetu: TAIFA LA WOTE...
  13. JamiiForums Tanzania Ukweli Usiosemwa Kuhusu Watu Wako wa Karibu Kwenye Safari ya Mafanikio

    Habari wana JF, Kuna jambo wengi huligundua wakiwa wamechelewa -sio kila mtu wa karibu yako atakuwa tayari kukuona ukipiga hatua kubwa kuliko yeye. Na hapa nisisemee vibaya: Watu wengi wa karibu wanaweza wakawa wanakutakia mema kwa dhati. Wanapenda ufanikiwe. Wanakuombea. Wanakutia moyo...
  14. JamiiForums Tanzania Maombi maalum kwa mafanikio unayoomba yanachelewa kufika, Mungu hajawahi shindwa

    PERSONAL PRAYERS AGAINST DELAY 🔥 📖 Anchor Scripture “The vision is yet for an appointed time… it shall surely come, it will not delay.” — Habakkuk 2:3 (NKJV) 6 PRAYER POINTS I declare every delay working against my destiny is broken now. I step out of stagnation and into divine momentum. I...
  15. JamiiForums Tanzania Nyakati ngumu ndiyo daraja la mafanikio makubwa kwenye biashara

    Habari wana JF, Kuna jambo watu wengi hawalielewi kuhusu biashara - mafanikio ya kweli huanza rohoni kabla hayajaonekana kwenye akaunti ya benki. Watu wengi wanapomwona mfanyabiashara aliyefanikiwa, wanaona majengo, magari, ofisi na mtiririko wa pesa. Lakini hawaoni maombi ya usiku, wasiwasi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania JamiiAI: Mafanikio Katika Majaribio ya Awali ya Akili Mnemba "JamiiAi" niliyewaletea ili kuisaidia jamii ya kiswahili

    LOGO rasmi ya jamiiAi  Utangulizi Katika enzi ya maendeleo ya kasi ya teknolojia ya akili bandia, ujio wa akili mnemba inayojulikana kama Jamii AI umeleta matumaini mapya katika sekta ya kidijitali. Kupitia majaribio ya awali yaliyofanyika, Jamii AI imeonesha uwezo mkubwa wa kiufundi, kasi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Mafanikio Ya Tanzania Yanaonewa Wivu Na Wengi

    https://www.instagram.com/reel/DUsyVutAudz/?igsh=N3lkOHM0bm52anVs
  18. JamiiForums Tanzania Utajiri na mafanikio ya hali na mali

    Tajiri ..!
  19. JamiiForums Tanzania Mtu katili anajishangaa mafanikio yake licha ya kuwa muovu, mtu mnyenyekevu anajishangaa tabu zake licha ya kuwa mwema. Its a crazy world out there!

    Malipo ya unyenyekevu ni kubabaishwa. Malipo ya wema ni kupelekeshwa. Kuna sanaa ya kubalance ufahari usiwe kiburi na nidhamu isiwe unyonge, na hii ndio siri ya mafanikio. JASUSI COHEN
  20. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya mafanikio ya wakatoliki hawajioni bora, hawaoni makanisa mengine kama watu wa nje, hawaingilii maisha ya ndoa, wamewekeza kwenye elimu, n.k.

    Wana baadhi ya mapungufu yao sio wakamilifu sehemu zote lakini wamejitahidi kwenye hivi vitu Hawana mtu wa ndani wala wa nje, ukienda kwao huna haja ya kutambulishwa umejiunga, kwamba fulani hebu simama watu wote kanisani wakuone umejiunga. Hawajioni bora kuzidi wengine, makanisa mengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…