maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sijajua Serikali inatumia kipaumbele gani kujenga barabara za lami katika baadhi ya maeneo

    Hii barabara inajengwa Chanika mwisho,Lukooni mtaa wa Chabupu umbali wa mita 300 tu. Barabara hii imepita mbele ya ofisi yangu kabisa inasemekana ni barabara kubwa inayotakiwa kuunganisha Chanika na Buza japo sina uthibitisho kamili. Hakuna mradi wowote wa kiserikali kwa sasa na wala haitumiki...
  2. Maeneo wanayotoka wanawake watata, jasiri na wanaoweza kubishana na mume

    Hii ni tahadhari ila si sheria, amua mwenyewe kufuata qu kuacha. Kuna mikoa inasifika kwa wanawake watata na jasiri na kubishana na mume. Mkoa wa Mara. Wanawake hawa ni watiifu kwa waume lakini ukizingua zinapigwa kiroho safi nimetaja Mara japo wakuria ndio wanajulikana kwa ukorofi lakini...
  3. B

    Kufanikiwa ukiwa maeneo uliyozaliwa ni mtihani

    Fanya observation ndogo 1.utagundua mazingira unayokaa kuna Ile hali ya kuridhika ya wale wazawa wa eneo Husika(maendeleo mara nyingi yanaletwa na watu wakuja) 2.Ubaguzi wa kazi pia unapokuwa unaishi mahali ulipozaliwa kuna Ile hali ya uoga inakuja automatically kwamba kazi siwezi fanya Ila...
  4. R

    Waha na Wakinga wanapesa ila wanaongoza kuishi maeneo yasiyopimwa (Uswazi); Kabila gani jingine linapenda msongamano?

    Waha wangeamua kuishi kifahari wangeweza ila wengi wanapenda kuficha utajiri wao. Ni mara chache sana kuwakuta Waha wakiishi maeneo ya uzunguni. Hata awe na pesa kiasi gani atakwenda kununua kiwanja eneo lisilopimwa. Yupo tayari ameseme ana viwanja hata kumi ila vyote hakuna chenye sqm 1000...
  5. Gharama ya ujenzi wa Ghorofa Moja Kwa maeneo ya kijijini ni shilingi ngapi

    Habari zenu mafundi nataka kujua ni kiasi gani naweza kujengewa Ghorofa moja kwa maeneo ya kijijini Nataka kujua bei tu ya ufundi mbali na vifaa vya ujenzi maana kuna sehemu nilipata majibu ya kushangaza na kustaajabisha kuhusiana na ujenzi wa Ghorofa Napenda kupata majibu kutoka mafundi...
  6. R

    Maeneo gani Morogoro hayana vumbi kali

    Unakuta nyumba nzuri ila vumbi la mazingira linaingia Hadi ndani ni tabu tupu. Wapi kwenye unafuu? #Morogoro manicipal
  7. Maeneo 10 ya kupunguza matumizi yako ili usevu kiasi kikubwa cha pesa

    Kukata au kupunguza matumizi katika maeneo kadhaa ni mkakati muhimu ambao utakusaidia kuwa na ziada ya pesa kwa ajili ya matumizi mengine muhimu ya kimaendeleo. Tunaangazia maeneo 10 ambayo ukiyazingatia itakusaidia kuwa na kiasi kikubwa cha pesa kinachobakia 1. PUNGUZA MATUMIZI YA KODI YA...
  8. KERO Tuliohamishwa kupisha Mradi wa Bandari maeneo ya Kaskazini Unguja hatujalipwa fidia

    Mimi ni Mkazi wa Kaskazini Unguja, huku kwetu baadhi ya Watu ambao maeneo yetu yalichukuliwa kwa ajili ya uwekezaji wa Bandari ya Mafuta na Gesi hatujapata fidia. Hadi kufikia leo hii Oktoba 2024, inatimia Miaka miwili hatujafidiwa licha ya kuwa maeneo yetu yalikuwa na uwekezaji wa mazao na...
  9. Y

    Biashara ipi ina mzunguko mkubwa kwa maeneo ya uswahilini Dar kati ya hizi?

    Wakuu wa JF Kati ya biashara ya underwear, pochi, viatu vya kike na watoto na biashara ya phone accessories ipi ambayo una uwezekano wa kupata wateja wengi kila siku kwa maeneo ya uswahilini au yenye kipato Cha kawaida kwa hapa Dar?
  10. T

    Natafuta chumba na sebule maeneo ya upanga. Ofa laki mbili kwa mwezi

    Habari wadau. Nimehatika kupata kazi hospital ya muhimbili hivyo nahitaji chumba na sebule maeneo ya upanga ofa yangu ni laki mbili kwa mwezi
  11. Maeneo gani mazuri kumtembeza mgeni jijini Dar?

    Ni kabinamu changu ila undugu wa mbali kidogo wa ma bibi na mabibi huko alafu ni kapeace kishenzi kametoka Katavi huko hakajawahi kufika Dar hata siku moja ila kamewahi kwenda Arusha sasa juzi tumekutanishwa home na kwa hizi siku tatu kangependa kakate kiu ya kulifurahia jiji hili la raha na...
  12. D

    Baadhi ya maeneo mkoani Iringa yapata mvua

    #HABARI:Baadhi ya maeneo ya Mafinga Mjini, mkoani Iringa, jana yamepata mvua za barafu ambayo kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wakisema haijawahi kutokea huku wakiifananisha na ile ya nchi za Ulaya. Siku ya jana Oktoba 1, ilinyesha mvua hiyo ya barafu na kusababisha theluji kutanda barabarani na...
  13. Mvua ya mawe Mafinga na baadhi ya maeneo ya mkoa wa Iringa

    Leo hapa mafinga kumepiga mvua ya mawe na hali ilikuwa kama hivi. Sehemu nyingine hali ilikuwa hivi. Hali ya barabara ya TANZAM ilikuwa hivi. Haki hii pia imeripotiwa maeneo mbalimbali ya mkoa wa Iringa.
  14. Waziri Aweso: DUWASA hakikisha mnatafuta suluhisho la muda mfupi maeneo yenye changamoto ya upatikanaji wa maji, hasa ya pembezoni mwa Mji wa Dodoma

    WAZIRI AWESO ATOA MAAGIZO DUWASA Kufuatia kuwepo kwa changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji katika baadhi ya maeneo ya Kisasa Jijini Dodoma, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kutekeleza maagizo yake aliyoyatoa Septemba...
  15. Tunatoa huduma ya kukata miti maeneo ya ujenzi

    Tunatoa huduma ya kusafisha eneo la ujenzi (kwa kukata miti katika eneo husika) kwa kutumia mashine. Tunapatikana mbezi louis na tunafanya kazi popote ndani na nje ya Dar es Salaam. Bei zetu ni nafuu sana Mawasiliano: 0758700852/0694340728
  16. Wapi naweza kupata eneo zuri la kujenga jijini Dar Es Salaam?

    Habari za mda huu natafuta Kiwanja Dar maeneo mazuri yaliyotulia kwa ambae anacho naomba tuwasiliane bajeti yangu 10M hili jambo lipo serious na tunaweza kufanya biashara Hata leo hii nawakaribisha maoni yenu ni wapi pazuri kujenga Kwa Dar es Salaam hata kwa Kibaha itakuwa poa naomba mnitajie...
  17. F

    Natembelea Wilaya ya Igunga kwa mara ya kwanza. Wenyeji mniambie maeneo ya kula, kunywa na kulala. Yawe mazuri.

    Wadau mada yajieleza. Jumatatu ijayo nitakuwa igunga hadi alhamisi. Sasa kwa waijuao Igunga, nile na kunywa wapi na nilale wapi? Maeneo yawe mazuri sana. Asanteni.
  18. Ofisi za Katarama Luxury Mwanza ziko maeneo gani?

    Habari wakuu. Naomba kwa anayefahamu zilipo ofisi za Katarama luxury mkoa wa mwanza anielekeze. Au ofisi zao zipo mule mule Nyegezi stand? Natanguliza shukrani.
  19. Land Banking: Umuhimu Wa Kutambua Maeneo Yaliyotengwa Kwa Ajili Uwekezeji Wilaya Unapowekeza

    Utangulizi Land banking ni mbinu ya uwekezaji ambapo mtu au taasisi hununua kipande cha ardhi kwa bei ya chini na kukishikilia kwa muda mrefu, akitarajia kuwa thamani ya ardhi hiyo itaongezeka. Kwa kawaida, maeneo ambayo hayajafanyiwa maendeleo, lakini yana uwezekano wa kuongezeka thamani...
  20. U

    News alert baada ya Sabato kumalizika, Israel yaanzisha mashambulizi mapya muda huu yakilenga na kusambaratisha maeneo zaidi ya 180

    Wadau hamjamboni nyote? Myahudi hajapoa kama unadhani hivyo nikupe pole Mara tu baada ya Sabato ya kiyahudi kuisha IDF wamefanya mashambulizi mapya makali usiku huu yakilenga shabaha maeneo takribani 180 Taarifa kamili hapo chini New wave of strikes in Lebanon as Israel braces for potential...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…