maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Kyela linahitaji Mbunge Mwanamke, wanaume wameshindwa kuleta maendeleo

    Kumbukumbu zangu zinaanzia kwa Mh Kasyupa Alipipi , huyu alimshinda Mwakipesile , enzi za Chama Kimoja , nilihudhuria kampeni zilizofanyika Ipande , kijiji cha Bukinga , kwenye eneo la wazi lililojulikana kama MPIKI KIMBWALA , nadhani ilikuwa mwaka 1980 ( niko tayari kusahihishwa ) wakati huo...
  2. JamiiForums Tanzania Maendeleo hayana vyama, wapinzani mkubali CCM imebadilika na imefanya makubwa

    Waswahili wanasema mnyonge myongeni ila haki yake mpeni. Vyama vyote vya kisiasa vilianzishwa kw nia moja kubwa ni kushinda uchaguzi na kukamata dola ili kuwatumikia wananchi. kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 Ccm kilionekana kama chama ambacho kimechafuka na hii ni kwa sababu kulikuwa na...
  3. JamiiForums Tanzania TAMISEMI ni lini mtaugawa mkoa wa Tabora ili kuharakisha maendeleo yake?

    Za jioni! Leo nitoe duku duku langu hili kuhusu mkoa wa Tabora, mkoa ambao ni duni sana kimaendeleo ukiwa na vichaa wengi na wakazi wake wengi wana kipato duni sana na miundombinu katika wilaya zake ni ya kuonea huruma!! Nadhani TAMISEMI mnapaswa kuugawa mkoa huu mara mbili upatikane Mkoa wa...
  4. JamiiForums Tanzania Je, wajua Mifumo ya Elimu Afrika inarudisha maendeleo yako?

    JE WAJUA? UBOVU WA MFUMO WA ELIMU UMECHANGIA UMASKINI WAKO Mfumo wa elimu Africa na *chui wa makatasi* ( sehemu ya 1) Na Mikael Aweda Naanza kwa kuuliza swali la kushtua kidogo. Je, wajua kuwa mfumo wa shule zetu nyingi Afrika unachangia wewe kuwa maskini?? Bila shaka hilo hi swali la...
  5. JamiiForums Tanzania Aisee Hii Nchi kupata maendeleo itakuwa ngumu sana

    Type ya watu kama Mrema eti bado wapo kwenye siasa toka miaka ya 70, Mtu kama Mbatia Mwanaume unachaguliwa viti maalumu, Mtu kama Seif bado anataka kugombea urais kwa mara ya 5 zanzibar! now kakinyakua ACT. Mtu kama sumaye anataka cheo Magufuli akishinda urais 2020! Mbowe ameng'ang'ania...
  6. JamiiForums Tanzania Taarifa ya utekelezaji miradi ya maendeleo kupitia fedha ya kuchochea maendeleo ya jimbo la Bukoba Mjini

    Kuelekea kumaliza kipindi chake cha utumishi katika jimbo la Bukoba mjini na katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. WILFRED M. LWAKATARE (Mb) na Waziri kivuri wa wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi anayo furaha kuwashirikisha mafanikio makubwa ya usimamizi wake juu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA wamekengeuka, wanajifanya hawaoni kazi nzuri ya uletaji maendeleo ndani ya miaka minne

    Hii ni kwa sababu uchaguzi umekaribia na mwezi Juni tarehe 31 Bunge litavunjwa. Sasa wabunge wa Chadema wamekumbwa na kiholo. Wanajiuliza wataenda kuwaambia nini wananchi? Maana walizoea siasa za kupakana matope, na wananchi wamebadilika wanataka siasa za kuletewa maendeleo. Muda wote wamekuwa...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ili Tupate maendeleo tunahitaji viongozi wenye maamuzi magumu!

    Kilimo cha vanilla kinasemekana ni mkombozi mkubwa sana, imagine kilo moja inaweza kuuzwa 150,000/= Mche mmoja tunaambiwa unavunwa kuanzia nusu kilo mpaka kilo 3 Kilimo hiki kinakubali sana mkoa wa Kagera lakini wizi wa mazao haya umekithiri pamoja na uvivu. Niwaulize viongozi wetu hivi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) "mgonjwa anayepumulia kwenye mashine"

    Mimi kama mdau mkubwa wa Sekta ya kilimo kwa nyakati tofauti tofauti nimetembelea hii benki toka izinduliwe mwaka 2015 na kujaribu kupata mkopo kwa ajili ya shughuli zangu za kilimo na wakati mwingine kujaribu kusaidia wadau wenzangu kupata mikopo lakini katika hali ya kusikitisha saana haya ni...
  10. JamiiForums Tanzania Kutolewa kwa Mkopo wa Benki ya Dunia kwa Tanzania: Marekani yaeleza msimamo wake

    Marekani (US), nchi ambayo ni mdau muhimu kabisa wa Benki ya Dunia (World Bank) wameonesha dhahiri kutofurahishwa na hatua ya taasisi hiyo ya fedha kuridhia mkopo kwa ajili ya sekta ya elimu Tanzania kutokana na makandokando mengi ambayo serekali yetu bado haijayaweka sawa. Soma waraka wao huu...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli futa Halmashauri za Wilaya zinafuja pesa na kurudisha nyuma maendeleo. Report ya CAG ya 2018-2019 inaonesha wazi hili

    Tumekuwa tukishauri kwa muda mrefu sasa kwamba Halmashauri za Wilaya zifutwe kwa kuwa hazina tija kwenye maendeleo ya wananchi. Hii haitakuwa mara ya kwanza kuzifuta halimashauri hizo, kwa kuwa huko nyuma kitu kama hicho kilishafanywa na Mwalimu Nyerere, ambapo alizifuta mwaka 1972 na...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA yasitisha mikutano yote ya hadhara iliyopangwa kuanza Aprili 4 kutokana na tishio la Corona

    Muda huu mh. Mbowe anaongea na waandishi wa habari kuhusu ugonjwa wa corona Updates Kama chama mwenyekiti ametangaza kusitisha shughuli za mikutano hapo April waliotangaza kuianza baada ya muda kutokana na katazo batili la mh. Rais
  13. JamiiForums Tanzania Corona: Meneja wa Diamond na Mwana FA watangaza kuugua Corona baada ya kupimwa

    Mwanamuzi Khamis Mwinjuma maarufu kama MwanaFA amekutwa na maambukizi ya Virusi vya Corona. Kupitia akaunti yake ya Instagram, amepakia video na kuweka ujumbe unaosema Majibu ya vipimo vyangu vya Covid 19 yamerudi chanya. Inaudhi. Siumwi KABISA. Nipo sawa 100%. Na nimejitenga toka niliporudi...
  14. JamiiForums Tanzania Watu ni sehemu ya maendeleo

    Kati ya vitu vinne alivyovisema mwalimu Nyerere ili TAIFA liendelee ni WATU. Ukitoa uongozi bora, ardhi na siasa safi. Tatizo ni kwamba watu hawajioni tena sehemu muhimu katika kuliendeleza TAIFA lao, najua anguko la uzalendo ni sababu kuu. Fikiria hili; angalau 60% yetu tumepita katika taasisi...
  15. JamiiForums Tanzania Tuna unga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano, maendeleo hayana chama

  16. J

    JamiiForums Tanzania Maendeleo hayana chama: Jengo la ofisi za CCM mwenge lavunjwa kupisha ujenzi wa stendi ya kisasa ya Daladala

    Jengo la ofisi za CCM pale mwenge ambalo linafanana kwa ukubwa na uzuri na makao makuu ya Chadema pale Ufipa limevunjwa ili kuruhusu ujenzi wa stendi ya kisasa ya Daladala itakayokuwa mbadala wa makumbusho. Stendi hiyo inayojengwa na Suma JKT ujenzi wake unaenda sambamba na ujenzi wa barabara...
  17. JamiiForums Tanzania Habari njema za uchumi wa Tanzania kimataifa: IMF yakubali Magufuli anapiga kazi nzuri, kumuunga mkono kwa kuimwagia mabilioni ya maendeleo mwezi Mei

    Wanabodi, Angalizo la kuzuia kukereka. Kuna members humu wanakereka na kukasirika pale serikali ya Tanzania, au rais Magufuli na serikali yake anapofanya vizuri kustahili pongezi, Hivyo tusiharibiane siku leo mwanzo wa weekend, wewe kama uko kundi hili, naomba uishie hapa ili usije kuharibu...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Mkoa na Wilaya Bora ya kuishi kwa utulivu na kuwa na maendeleo

    Mkoa gani ambao mtu anaweza kuishi ikiwa anajishughulisha na shughuli za mtandaoni na kuhitaji utulivu na gharama ndogo ya maisha maana kuna kupata pesa nyingi halafu ukajikuta yote inatumika kwa mahitaji ya kila siku kwani hapa nilipo (Dar) ni kama gharama ya maisha kila siku ni kubwa pesa...
  19. JamiiForums Tanzania Getrude Mongella: Ni heri kumpigia kura mgombea mwanaume kuliko mwanamke anayeona aibu kuzungumzia matatizo na maendeleo ya wanawake

    BALOZI Getruda Mongela, amesema ni heri kumpigia kura mgombea mwanaume katika chaguzi mbalimbali kuliko mwanamke anayeona aibu kuzungumzia matatizo na maendeleo ya wanawake. Akizungumza jana katika mkutano uliowakutanisha viongozi wanawake nchini, Balozi Mongela alisema siku ambayo Bunge...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Majaliwa: Wananchi wa Kigoma wanaongoza kwa kupenda kulipwa fidia na hivyo wanajicheleweshea maendeleo

    Waziri mkuu mh Majaliwa amesema wananchi wa Kigoma Ujiji wanapenda sana kulipwa fidia pindi miradi mikubwa ya maendeleo kama Hospitali, bandari na barabara. Majaliwa amesema kwa kufanya hivyo wana Ujiji wanajicheleweshea maendeleo wao wenyewe kwani kulipa fidia ni hisani siyo lazima. Kadhalika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…