maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ally Mayay ateuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo

    Ikukupendeza uwe Azam kuichambua Yanga ikipokea kipigo cha Al Hilal,kama sehemu ya kutuaga fans wako. Namaanisha tushiriki wote kuusindikiza mwili wa marehemu mtarajiwa toka Sudan
  2. JamiiForums Tanzania Nchi za Jumuiya ya Ulaya ni janga kuu la maendeleo la nchi za Afrika

    Najaribu sana kufikiria, je Afrika utapataje maendeleo endapo Kila kitu ambacho tunachotaka kufanya cha maendeleo yetu ulaya inapinga, inatoa vijisababu vya ajabu ajabu mpaka unakosa majibu Nia Yao ni nini hawa jamaa.ninachokiona hawa wazungu hawana mpango mzuri na watu wa Afrika. Haiingii...
  3. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Anuani za Makazi zizingatiwe kuleta maendeleo

    ANUANI ZA MAKAZI SIO UREMBO, ZILETE MAENDELEO Tanzania kama nchi inayoendel inajitahidi kuleta mifumo nafuu Kwa watu Ili kuwasaidia katika shughuli zao Moja ya hiyo ni mfumo wa anuani ya makazi ambapo utekelezaji wake umefanyika mwaka huu kutokana na sera ya Taifa ya posta ya mwaka 2003...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Mawazo biriani chanzo cha kuchelewesha maendeleo kwa vijana

    MAWAZO BIRIANI CHANZO CHA KUCHELEWESHA MAENDELEO KWA VIJANA Biriani ni kati ya chakula maarufu kinachotumia viungo vingi ili kuweza kukamilisha pishi lake na vinapo changanywa viungo vingi ndio utamu unaongezeka. Lakini katika maisha ya vijana ni tofauti, kupata maendeleo kwa kufanya vitu vingi...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naiona sura ya Rais Ruto, ila Utendaji madhubuti wa maendeleo na uthubutu kama alionao 'Genius' President Kagame

    Na sikushangaa wala sijashangaa sana kwani ndiyo maana hata Siku Moja kabla ya Kuapishwa Kwake Rais Mteule wa Kenya Dkt. William Ruto alitumia muda mwingi kufanya Mazungumzo na Rais wa Rwanda 'Genius' Paul Kagame tofauti na wengine ambao aliishia Kuwasalimia tu. Nimeweza kufuatilia Hotuba...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Uwajibikaji ni nguzo ya maendeleo katika nchi yoyote duniani

    Maana ya Uwajibikaji Ni hali ya kujituma kutimiza majukumu au wajibu fulani kwa wakati, mahali na muda sahihi. Neno hili katika maadili na utawala linafananishwa na kuwa na jukumu la kujibu, kutegemewa au kutoa hesabu ya kile ulichopewa dhamana ya kukifanya. Dhana hii imekuwa ikitumika sana...
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Kuthamini Sanaa ya Tanzania kwa ajili ya maendeleo ya Jamii na Uchumi

    Mwaka 2019 ulionesha ya kwamba asilimia 13.6 ya pato la Tanzania (Kitomari, 2019) lilitokana na sekta ya sanaa na burudani. Hii ni kujumulisha sanaa ya kuigiza, muziki, uchoraji na michezo. Katika robo ya kwanza ya mwaka huo huo wa 2019, nchi ya Nigeria ilipata asilimia 0.27% ya pato la taifa...
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Iko wapi dhana ya uwajibikaji?

    Na mwandishi Fauster Fredricky, twende pamoja, Dhana ya uwajibikaji ni dhana ya muhimu katika maisha ya maendeleo kwani ni moja kati ya mambo ya msingi katika kuleta maendeleo, dhana hii hufanya watu kutekeleza majukumu yao husika katika wakati sahihi na hivyo kurahisisha ufikiwaji wa malengo...
  9. JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo kwa maendeleo

    Kilimo ni uzalishaji wa mazao ya chakula na yasiyo ya chakula kwenye mashamba na ufugaji wa wanyama wanaofugwa. Lakini pia kilimo kinahusisha ufugaji wa nyuki na ufugaji wa samaki. Aidha kilimo ni moja ya sekta kuu ya maendeleo kwa nchi na hivyo basi inatakiwa kuangaliwa na kufatiliwa kwa...
  10. JamiiForums Tanzania SoC02 Tuwekeze zaidi kwa watoto na vijana kwa maendeleo ya Tanzania ya baadaye

    TUWEKEZE ZAIDI KWA WATOTO NA VIJANA KWA MAENDELEO YA TANZANIA YA BAADAE Nianze na methali maarufu ya samaki mkunje angali mbichi,hivyo ndivyo tunavyotakiwa tufanye nchini kwa kutumia rasilimali watu tukiegemea zaidi kwa watoto na vijana kwa ajili ya Tanzania ya baadae. Kwanini watoto na vijana...
  11. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya juu kwa maendeleo ya Tanzania

    ELIMU YA JUU TANZANIA Elimu ni ujuzi, uelewa na maarifa kuhusu jambo au mambo Fulani. Elimu hupatikana sio tu kwa kufundisha bali hata kwa kujadiliana na kuuliza maswali. Elimu ni ufunguo wa mafanikio ikiwa na maana ya kuwa ni wajibu wa kila mtu kuipata bila kuzingatia hali ya Maisha, jinsia...
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Mimi ndiye adui wa maendeleo ya vijana ninayelipa kodi

    Utangulizi. Nimekuwa maarufu sana katika karne hii ya ishirini na moja(21). Kila mahali napokelewa kwa shangwe na walio wengi, sio vijana tu bali watu wa kila umri wananikubali na Kunipenda. Mamlaka za utawala nazo zimenipokea kwa mikono miwili na kunipatia mazingira rafiki ya kuishi...
  13. JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kupanga kiwango cha kodi

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA WAKATI WA KUPANGA KIWANGO CHA KODI Ndugu msomaji, karibu tujifunze kwa pamoja mambo ambayo ni muhimu kutazamwa wakati wa kupanga kodi kwa maana huwa zinaathiri maisha yetu ya kila siku. Ni dhahiri kuwa jambo la kodi linazungumzwa kwa namna nyingi, kugusa hisia...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Afya katika maendeleo ya Tanzania 🇹🇿

    AFYA: Ni hali ya kujisikia vizuri kimwili kiakili na kiutu bila kusubuliwa na kitu chochote. Pia afya inaeza kuelezewa kwa hali ya ubora wa kiumbe hai kuweza kufanya vizuri katika mazingira yake, Vilevile shirika la afya ulmwenguni(WHO) limeelezea afya kwa maana ya kuunganishwa na hali ya ustawi...
  15. G

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kiswahili kwa maendeleo ya Mtanzania

    KISWAHILI NA MAENDELEO YA MTANZANIA Kiswahili ni lugha ya Taifa letu pendwa Tanzania, lugha hii inazungumzwa maeneo mengi ulimwenguni lakini chimbuko lake likiwa ni wabantu wanaopatikana maeneo ya Afrika ya mashariki hususani Tanzania. Ushahidi wa kihisimu(sayansi ya lugha) unathibitisha asili...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Maeneo maalum ya Uchumi yanayoungwa mkono na China barani Afrika yahimiza maendeleo ya Nchi za Afrika

    Na Fadhili Mpunji Moja kati ya mambo ambayo China iliyataja mwanzoni wakati wa kuanzishwa kwa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC, ni kuanzisha maeneo maalum ya uchumi (Special economic zones- SEZs) ili kuhimiza uzalishaji wa bidhaa za viwanda, na kuzisafirisha katika masoko ya...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Vyama vya ushirika kama nyenzo kuu ya maendeleo

    USHIRIKA KAMA NYENZO KUU YA MAENDELEO. Vyama vya ushirika ni msamiati unaokaribia kufutika kabisa kwa kizazi cha sasa. Vyama kama SHIRECU, KCU na KNCU viliweza, kwa wakati wao, kuleta mapinduzi kwenye sekta za kilimo cha mazao ya kibiashara kama pamba na kahawa. Kupuuzwa kwa dhana ya ushirika...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sensa kwa sasa haina umuhimu wala faida kubwa kwa maendeleo ya tanzania zitumike njia mpya kupata idadi ya raia kupunguza gharama

    Tanzania ni miongoni mwa taifa linaloyoshiriki katika mchakato wa kupata idadi ya raia wake kwa mfumo wa sensa. Sensa ya watu na makazi ni zoezi la kitaifa linalofanyika kila baada ya miaka 10 ambapo sensa ya mwisho kufanyika nchini kabla ya mwaka huu 2022 ilikua sensa ya mwaka 2012 na...
  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Makala: Kwanini Rais wako hawezi kukuletea maendeleo

    Ninaandika makala hii kwa uchungu mkubwa, na kwa maumivu makubwa ambayo yamenitokea baada ya kukatiza katika mitandao ya kijamii na kusikiliza vyombo vya habari. Mara nyingi nimeona hivi vyombo vya kupasha habari katika jamii yetu hasa katika nchi za Afrika zinapishana. Kila mtu akitetea...
  20. JamiiForums Tanzania SoC02 Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia kwa Tanzania

    Kwa Utangulizi: Sayansi Ni mmarifa au ujuzi unaopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli ambazo zimebainshwa hazijathibitishwa.Sayansi imegawanyika katika makundi mbalimbali ambayo ayo makundi ni kama vile;sayansi ya asili(mfano biologia na zologia), sayansi ya umbile(mfano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…