Nakumbuka kuna siku nilikuwa naongea na lecturer alinambia hayo meneno, kuwa maendeleo ni stress tupu' .
Ukipata utajiri hutataka uanguke, ukitaka kukua lazima uumize kichwa ili kufikia malengo na hata ukifikia utakutana na changamoto kubwa kumaintain status yako.
Kuna ukweli hapa?