maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wagombea wengi wanaowekwa na upinzani ni makanjanja watupu, hawawezi kusaidia kuleta maendeleo ya nchi hii

    Zoezi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa linaendelea na sasa hivi liko hatua ya uwasilishaji wa pingamizi, nimeona malalamiko mengi sana kutoka kwa vyama vyote vya siasa nchini ikiwemo Chama cha Mapinduzi.CCM imelalamika kule Arusha kuwa majina ya wagombea wao 9 yamekatwa, Chadema wamelalamika...
  2. JamiiForums Tanzania Afrika na Rasilimali Zake: Je, Tumelogwa? Sababu Halisi za Kihistoria za Kudumaa kwa Bara Letu

    Swali la kwa nini Afrika, licha ya kuwa na rasilimali nyingi, imeendelea kuwa na maendeleo duni, ni suala la kihistoria lenye mizizi mirefu. Watu wengi huashiria ukoloni kama sababu kuu, lakini ukweli unaonyesha kuwa hali hii inatokana na sababu nyingi, zikiwemo jiografia, ukoloni, matatizo ya...
  3. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga uingilie kati haraka na mapema kabla timu haijaharibiwa...Kipo kitu Manara anakitambua juu ya Kusuasua kwa Yanga

    Manara Ni kama vile amefurahia kilichoipata Yanga Siku ya jana. Nanusa harufu ya hujuma dhidi ya Yanga.
  4. JamiiForums Tanzania Wizara inayohusika na Sayansi na teknolojia ije na Sera ya kuharakisha maendeleo ya teknolojia ya Anga za mbali

    Ni muda muafaka sasa wa kubadilisha muelekeo wa kutweka jahazi la mama Tanzania. Wenzetu duniani wanakimbia sana kwenye swala la teknolojia ...na wanachokifanya ni kimoja tu...kila wazo liwe la mzaha au lenye ambition kubwa wanalifanyia kazi. Turejee ideas na values za jamii ya kiasili iliyopo...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa mchungaji Dkt. Geodavie kwa kuchangia maendeleo ya wana kisongo na Arusha kwa ujumla

    Dkt. Geodavie pongezi ziende kwakao aisee kwa kuchangia maendeleo kwa Wana kisongo na wana Arusha tunakupongeza Sana endelea na moyo huyo huyo baba.Geodavie wa kanisa la geodavie ministry mtu mwema sana na mpenda maendeleo watu habagui dini wala kabila mtu yoyote mwenye shida yeye anamsaidia...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kenya wametufunika kwenye shughuli za kimaendeleo, Benjamin fernandez kijana wa kitanzania aliehamishia biashara zake Kenya na Kutajirika zaidi anena

    Tanzania ni nchi iliyobarikiwa utajiri mkubwa sana kwenye rasilimiali kuanzia ardhi nzuri ya kilimo, madini, vicutio vya asili, n.k. lakini bado tupo nyuma sana kimaendeleo, Kenya ni nchi ambayo ina rasilimali chache lakini wametufunika kwasababu wamewekeza zaidi kwenye watu (elimu, ujuzi) na...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Riziki Pembe Juma atembelea JamiiForums

    DAR: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, (Zanzibar) Riziki Pembe Juma ametembelea Ofisi za JamiiForums jijini Dar, leo Oktoba 28, 2024. Ziara yake ililenga kujenga mashirikiano katika maeneo anuai ikiwemo kuwalinda na kuwajengea uwezo Watoto na Wazazi wao hasa katika...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia, taa ya Matumaini na Maendeleo kwa Tanzania na changamoto za ajira 2024

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, katika nafasi yake with full power and Authority kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anasimama kama taa ya matumaini na maendeleo kwa taifa letu pendwa ikiwemo maswala ya ajira selikalini na sector binafsi. Kwa uongozi wake usio na kifani na...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Nauliza hivi; tunatumia vigezo gani kupima maendeleo Tanzania?

    Utasikia uchumi umepaa mara maisha bora, hivi kwa speed yetu iko siku tutafikia nchi kama USA?
  10. JamiiForums Tanzania Ziarani Tabora uzinduzi miradi ya Maendeleo

    Hodi hodi Tabora. Mulé mpola?! Wabéja. Haya, tuendelee sasa kuzindua miradi ya maendeleo na kuyatangaza maendeleo ya Tabora. Ikumbukwe, mkoa wa Tabora tayari umeshapokea takribani Trilioni 1.1 kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya sekta mbalimbali tangu kuingia madarakani kwa Serikali ya Awamu...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Wapongeza Juhudi za Rais Samia Kuleta Maendeleo Nchini

    VIONGOZI WA DINI WAPONGEZA JUHUDI ZA RAIS SAMIA KULETA MAENDELEO NCHINI ▪️Waandaa maombi ya wiki nzima kumuombea Rais Samia na Taifa ▪️Wahamasisha ushiriki wa Watanzania kwenye uchaguzi seriklai za mitaa ▪️Mbunge Mavunde apewa tuzo ya pongezi ya shughuli za kijamii 📍 Dodoma Viongozi wa Dini...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Jimbo Katoliki jimbo la Mwanza: Mnaobeza maendeleo waulizeni Mama zenu

    “Tusibeze maendeleo tuliyoyapata mpaka leo bila shaka wale wanaoweza kubeza leo waende waka waulize mama zao. Miaka 60 iliyopita maisha hayakuwa kama ya leo hata miaka 50 ninayoifahamu mimi tofauti ipo kuna wakati tuliishi na mimi niliishi Musoma kwa muda fulani baada ya vita maisha tuliyokuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Askofu Jimbo Katoliki Mwanza: Tusibeze maendeleo tuliyoyapata, wanaobeza, wakaulize mama zao

    Hakika..... Nchi ina maendeleo, hata viongozi wa dini wanajua. Kigoma bado kilomita chache iungane na mikoa mingine kwa lami, pale kigongo watu walikuwa wanakaa hata masaa matatu, SGR, SoKo kuu mwanza, kutoka enzi ya stendi ya Tanganyila mpaka Nyamhongolo na Nyegera waitu (nyegezi) Asiye na...
  14. JamiiForums Tanzania Wizara ya maji na benki ya maendeleo ujerumani (KfW) kuendeleza ushirikiano katika kutekeleza miradi ya maji

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso akiwa jijini Frankfurt nchini Ujerumani leo tarehe 09 Oktoba 2024 amepata wasaa wa kufika makao makuu ya Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na kukutana na Viongozi wa Benki hiyo kwa lengo la kuboresha na kukuza mashirikiano baina ya Serikali ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini huwa tunaiombea Serikali ifeli wakati huo huo tunataka kuona maendeleo makubwa ya kiuchumi?

    Vitabu vya Dini karibu vyote husema, yabidi mtu ujinenee mazuri na kujitabiria mema kwa maana ulimi huumba Jinsi unavyojinenea, ndivyo unavyopokea Wataanzania wengi hupenda kuona mambo mazuri yakitokea Cha kushangaza, walio wengi huinenea nchi na serikali inayoongoza ishindwe na wakati huo...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo Faida za PPP na Faida yake kwa Taifa kama anavyofafanua David Kafulila. Tuipe Nguvu PPP itasaidia kuongeza wigo wa kodi na mapato

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kusema kuwa PPP (Public Private partnership)yaani ubia kati ya secta ya Umma na binafsi ni mkombozi na mfumo ambao unaweza kutusaidia sana katika kuharakisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo. pamoja na kuvutia mitaji mikubwa mikubwa ya mabilioni ya pesa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hakuna Mbunge anayeleta maendeleo kwenye jimbo lake, maendeleo yanaletwa na Serikali

    Kumekuwa na udanganyifu wa baadhi ya Wahe. Wabunge wakijitapa huku Majimboni kuwa bila yeye maendeleo kwenye Jimbo lake yasingepatikana. Mfano miradi ya Maji, Elimu, Afya n.k. Tuwaambie ukweli kuwa maendeleo yaliyopo kwenye Majimbo yao yameletwa na Serikali kupitia bajeti ya kila mwaka...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Profesa Shivji: Inayoitwa 'Miradi ya Maendeleo' ni Maumivu kwa Wengi

    27 September 2024 Profesa Shivji: Inayoitwa 'Miradi ya Maendeleo' ni Maumivu https://m.youtube.com/watch?v=hVpKDfaNKko Profesa ameyasema haya kwenye semina iliyoandaliwa na HakiArdhi na mada kuu ilihusu maumivu makali ya bomoabomoa wanayopitia wamiliki wadogo wa ardhi. HakiArdhi ambao ni...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia aidhinisha Bilioni 246 za maendeleo Tunduru

    Rais Samia atoa bil. 246 maendeleo Tunduru
  20. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana maarifa kwenye nyanja tofauti (Kiuchumi, kiafya na maendeleo binafsi)

    Weka hapa Softcopy yeyote iwe Kitabu, Makala au Jarida lolote, Lakini lengo kuu la hiyo Document liwe ni kuleta maarifa katika eneo fulani . Yaweza kua Kiuchumi, Mabadiliko binafsi, Kiroho hata Historia yenye kufunza . Karibuni!!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…