maendeleo endelevu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Siasa ni maendeleo si uhasama: Tulinde amani na mshikamano wa taifa kwa maendeleo endelevu

    Katika kipindi hiki tumeshuhudia mijadala ya kisiasa ikizidi kuwa mikali na yenye hisia kali. Hali hii inatukumbusha umuhimu wa kurejea kwenye misingi imara ya taifa letu: amani, umoja na mshikamano. Kwa maslahi ya Taifa, ni vyema wanasiasa, wanaharakati wa haki za binadamu na wadau wote wa...
  2. L

    Jinsi ya kuchunguza njia za China kujipatia maendeleo endelevu! Mtaalamu wa Kenya anaangazia kitabu hiki.

    Kwa miaka mingi, jamii ya kimataifa inavutiwa na maendeleo ya China, na kuna mabadiliko muhimu katika mwelekeo wa majadiliano—kutoka kuuliza “China imefanikiwa vipi?” hadi “China imewezaje kudumisha maendeleo yake?” Hii imeonyesha mabadiliko ya mawazo kutoka matokeo ya maendeleo hadi mchakato wa...
  3. Roving Journalist

    Rais Samia: Hakuna Taifa linaloweza kuwa na maendeleo endelevu bila usimamizi mzuri wa haki

    Rais Samia Suluhu amesema hayo wakati anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  4. Amicable Group

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 – Tunawatakia mwaka wenye afya, mafanikio na maendeleo endelevu kwa kila mmoja!

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 – Tunawatakia mwaka wenye afya, mafanikio na maendeleo endelevu kwa kila mmoja!
  5. DodomaTZ

    Majaliwa: Elimu ya Watu Wazima ni zana ya maendeleo endelevu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema elimu ya watu wazima sio tu elimu ya masomo ya kawaida, bali ni zana muhimu ya maendeleo endelevu, kwani inachangia kipato, ustawi wa kijamii, afya na ushiriki wa kiraia. ameongeza kuwa uzoefu duniani unaonesha kwamba elimu ya watu wazima ni chombo muhimu...
  6. Mkalukungone Mwamba

    Deus Kibamba: Maendeleo endelevu yatapatikana kwa kupunguza maslahi ya viongozi wa kisiasa

    Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini, Deus Kibamba, ameshauri kuwa ili nchi ipate maendeleo endelevu, ni muhimu kupunguza maslahi na stahiki mbalimbali wanazopata viongozi wa kisiasa, ambazo zimekuwa kubwa sana ikilinganishwa na stahiki za watumishi wa taaluma mbalimbali. Kibamba ameongeza kuwa...
  7. Consultant_Silwano

    Consultant Silwano huduma ambazo zinazoweza kutolewa kwa ukamilifu na ufanisi pasina kuja au uwepo wa mteja ofsini kwetu

    Tuanze kwa kuwashukuru makampuni(Companies), Ubia (Partnerships), Biashara binafsi(Sole proprietors) na Taasisi zisizo za kiabishara (Not for profit entities) kwa kutupa fursa na ushirikiano wa kufanya kazi, tunawahakishia siku zote tutafanya kazi kwa uaminifu na kitaalamu ili kuhakisha ustawi...
  8. Ojuolegbha

    Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia

    Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan Ikiwa zimebaki siku 29 kuelekea Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika, Tanzania inajipanga kuandika historia kwa kuwa mwenyeji wa tukio hili kubwa. Mkutano huu, unaotarajiwa...
  9. Dialogist

    Tunaihitaji Chadema Imara Kwa Maendeleo Endelevu... Hebu Wakuu Tuelewane Hapa..

    Hamjamboni Wandugu... Tashtwiti Yangu Ya Leo Ni Juu Ya Chadema Imara Zaidi. Chadema Ya Kipindi Cha Dr. Slaa Na Zito. Ndugu Wananchi Kwa Mbinu Na Maarifa Waliyotumia Chadema Mwaka Huu Katika Kurudisha Attention Kwenye Jamii Iliyopotezwa Na Hayati Magufuli, Hakika Wanastahili Pongezi Kwa...
  10. Roving Journalist

    Umoja wa Ulaya Wasaini Makubaliano Kuendeleza Maendeleo Endelevu Zanzibar

    Umoja wa Ulaya (EU) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wamesaini makubaliano mawili muhimu yanayolenga kukuza maendeleo endelevu, uhifadhi wa bahari, na usawa wa kijinsia. Makubaliano hayo yalisainiwa mbele ya Riziki Pembe Juma, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto; Rita...
  11. M

    PreGE2025 Kimei aendelea kuweka rekodi Vunjo, afanikisha kuanza kwa ujenzi wa daraja kata ya Makuyuni

    Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei ameendelea kuweka rekodi katika Jimbo la Vunjo ya kufanikisha kuanza kwa ujenzi wa daraja linalounganisha vitongoji vya Msufini na Kisimani kata ya Makuyuni hali itakayowarahisisha mawasiliano ya wananchi toka upande mmoja kwenda mwingine...
  12. Paul samx

    SoC04 Kuimarisha Sheria za kulinda haki za wanawake na watoto msingi bora kujenga Tanzania ya maendeleo endelevu kufikia 2050

    UTANGULIZI Hali halisi ya Tanzania: Chanzo cha taarifa: Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu (OHCHR) ya Septemba 2023. Kesi za Unyanyasaji wa Kingono: Idadi ya kesi za unyanyasaji kingono dhidi ya wanawake na watoto bado ni juu sana, ikifikia karibu 7,000 kwa mwaka 2023...
  13. W

    SoC04 Tanzania ya miaka 5 mpaka 25 ijikite katika matazamio haya

    Tanzania ni Moja ya nchi zilizo na maendeleo endelevu katika sekta mbalimbali,kulingana na takwimu mbalimbali zikionesha hali halisi ya Tanzania tangu mwaka 2021 mpaka matazamio ya mwaka 2024/25,licha ya kukumbana na matatizo mbalimbali kama vita ya Urusi na Ukraine, janga la UVIKO-19 na...
  14. I

    SoC04 Maendeleo Endelevu ya Tanzania: Kuunganisha Ukuaji wa Kiuchumi na Uhifadhi wa Mazingira Kwa Miaka 5 na Zaidi

    Utangulizi Tanzania, nchi yenye utajiri wa rasilimali na idadi kubwa ya watu wenye nguvu kazi, ina uwezo mkubwa wa kustawi kimaendeleo. Hata hivyo, ili kufanikisha mafanikio haya, ni muhimu kuchukua hatua thabiti za kuendeleza uchumi na kudumisha mazingira. Waraka huu unatoa mwongozo wa jinsi...
  15. Edgar Kyando 34

    SoC04 Maendeleo endelevu kwa Taifa la Tanzania

    Tanzania ni taifa linalo patikana mashariki mwa bara la Afrika liki tumia Lugha ya kiswahili katika mawasiliano baina ya mtu mmoja na mtu mwingine , Taifa hili lime tawaliwa na viongozi tofauti kwa miongo tofauti lakini kwa Sasa Lina tawaliwa na Mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassani ,ambaye...
  16. Amimu H Abdallah

    SoC04 Ushiriki wa wananchi katika maandalizi ya bajeti ya nchi: Njia bora kwa maendeleo endelevu

    Kila mwaka wa fedha, serikali huandaa na kuweka wazi makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha unaofuata. Licha ya umuhimu wake, swali kubwa linabaki kuwa ni kwa kiasi gani wananchi wanashiriki katika mchakato mzima wa maandalizi ya bajeti hizi? Bila shaka, upo umuhimu mkubwa wa...
  17. L

    SoC04 Sekta ya Ujenzi na Ukuzi wa Uchumi wa Tanzania katika maendeleo endelevu

    Tanzania na nchi za afrika kwa ujumla wake tumekuwa na uduni katika kukuza SEKTA ya UJENZI kwa MAENDELEO ENDELEVU pamoja na usalama wa nnchi zetu 1. SEKTA YA UJENZI ni nyenzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote Tanzania ikiwemo. Kati ya sekta inayotumia pesa nyingi katika mataifa...
  18. Amimu H Abdallah

    SoC04 Tanzania tuitakayo: Serikali iboreshe mazingira ya biashara na kupunguza urasimu wa kisheria kwa maendeleo endelevu

    Utangulizi Tanzania, kama nchi nyingine duniani, inakabiliwa na changamoto kadhaa linapokuja suala la kuanzisha biashara. Changamoto hizi zinajumuisha urasimu wa kisheria, upatikanaji wa vibali vya biashara, na mazingira magumu ya upatikanaji wa fedha na mitaji. Kwa bahati nzuri, kuna fursa...
  19. S

    SoC04 Uchechemuzi wa sera kwa maendeleo endelevu na uthabiti wa utawala bora

    UCHECHEMUZI WA SERA KWA MAENDELEO ENDELEVU NA UTHABITI WA UTAWALA BORA Tanzania tangu uhuru na muungano kuna maeneo mengi hatujayafikia ili kufikia Maendeleo endelevu kwenye viwango vya kiuchumi hata Kama tulipo tangazwa katika awamu ya tano na Bank ya Afrika kuwa tumeingia uchumi wa Kati. Na...
  20. D

    SoC04 Uwajibikaji Bora wa Viongozi kwa Maendeleo Endelevu

    "Tanzania Tuitakayo: Uwajibikaji Bora wa Viongozi kwa Maendeleo Endelevu" Utangulizi Tanzania, kama nchi inayoelekea katika siku zijazo, inahitaji uwajibikaji bora kutoka kwa viongozi wake ili kuwezesha maendeleo endelevu katika kipindi cha miaka 5 hadi 10 ijayo. Uwajibikaji huu wa viongozi...
Back
Top Bottom