madukani

Madukani is an administrative ward in the Dodoma Urban district of the Dodoma Region of Tanzania. According to the 2002 and 2012 census., the ward has a total population of 2,631.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Ni nani kawafundisha mabinti wa madukani kuiba? Tunakoelekea heri uweke kijana wa kiume kuliko binti, wamekuwa wajanja sana

    Zamani tulidhani girls wakisimamia shop biashara itachanua. Leo unarudi unakuta wao ndio wamechanua kuliko biashara 😂 Mabinti wamekuwa wajanja sana siku hizi, miezi 6 ya mwanzo watapiga kazi vizuri sana, baada ya hapo anaanza ku scheme kuona ni namna ipi ya kutafuta tundu la kupiga hela...
  2. Sacsosanct

    Plot nzuri inauzwa Kiluvya madukani

    Urgent wakuu!, plot inauzwa, SQM 400, imejengwa msingi na kisima kipo. IPO 2km from main road, Kiluvya Madukani maeneo ya kwa mhindi-tondoroni. Ni nzuri sana! Njoo inbox kwa details zaidi. Mil. 8 tu! Docs zote zipo za kisheria na kitaalamu!
  3. Sacsosanct

    Plot inauzwa, SQM 400, imejengwa msingi na kisima kipo

    Urgent wakuu!, plot inauzwa, SQM 400, imejengwa msingi na kisima kipo. IPO 2km from main road, Kiluvya Madukani maeneo ya kwa mhindi-tondoroni. Ni nzuri sana! Njoo inbox kwa details zaidi. Mil. 8 tu! Docs zote zipo za kisheria na kitaalamu!
  4. Mad Max

    Airtel Tanzania: 5G Router zenu ni mbovu. Madukani tukileta mnasema zimeisha. Really?

    Airtel mna customer care mbovu kwenye simu. Okay, nikaona nije dukani kwenu, aisee…! Okay tuache ilo. Sasa hizi 5G router zenu za ZLT X25 zina lifespan ya muda gani? Yangu imeanza kimasihara kufanya kazi kwa kubeep sahivi hawaki kabisa. Inawaka tu taa kwamba inapokea power ila taa za 4G 5G Wifi...
  5. Kimbesa11

    Tumeona watu wakirudisha mitungi ya wizi nyumbani, wakuiba nguo za watu madukani, wakichoma vituo vya mafuta, tunaomba hukumu zitolewe mapema wafungwe

    Unajisikiaje unapotumia mitungi ya gesi ya wizi kupitia maandamano? Unajisikiaje kuchoma duka/Sheria za watu? Unajisikiaje unapochoma gari la mbao limekukosea Nini? Unajisikiaje kubomoa miundombinu ya mwendokasi ambayo unatumia mwenyewe? Unajisikiaje kuvunja ATM ili kuiba hela za sisi ambao...
  6. Sonship

    Kiwanja kinauzwa Kiluvya Madukani

    Kiwanja Kinauzwa Kiluvya Madukani Ukubwa Heka 1 yani mita 70x70 Huduma zote zinapatikana Umbali Kutoka Morogoro road km 6 Bei eneo linauzwa Mln 15 0775 179905
  7. Revolution

    Foleni kubwa Kiluvya Madukani na Mpiji

    Foleni ya kwenda kibaha imeanzia eneo linaitwa kwa Komba ni ndefu inaweza kufika urefu wa kilometa 2 au 3. Wahusika wasaidieni hawa wananchi waendelee na mishe mishe zao
  8. Crocodiletooth

    Je simu tunazonunua madukani zenye kaneno"powered by android,ni salama na za kudumu?

    Naomba kujuzwa juu ya hili?, Tulizoea ukininua Nokia,au Tecno,au Samsung, wakati wa kuiwasha ,kwenye main screen ya simu lilikuja neno moja tu, TECNO!.
  9. Adolph Jr

    Je, engine za TVS za kununua madukani ni sawa na zinazokuja na chombo ikiwa mpya?

    Kumekucha na makucha yake.. Ni muda Tena nimekuja na wazo la kuboresha usafiri wangu TVS baada ya kuona mafundi wamezidi kuchokonoa engine. Ninampango wa kununua engine mpya ya TVS dukani nifunge cc125 ila Nina wasi wasi isije ikawa kama vifaa vingine vya mipira maana 80% ni fake. Je vipi...
  10. A

    Nyumba inauzwa, ipo Kiluvya Madukani. Bei milioni 110, maongezi yapo

    Nyumba inauzwa. Ipo Kiluvya Madukani. Eneo lake 60x20. Nyumba ina vyumba 2 vya kulala na master 1. Ina sebule kubwa. Jiko, stoo na choo cha jumuiya. Parking ya kutosha. Kwa nyuma kuna nyumba ndogo, ina vyumba viwili na choo. Mambo yote ni ndani ya fensi ya matofali. Bei: Tsh.110, mazungumzo...
  11. A

    Nyumba inauzwa, ipo Kiluvya Madukani makabe. Bei milioni 110, maongezi yapo

    Nyumba inauzwa. Ipo Kiluvya Madukani. Eneo lake 60x20. Nyumba ina vyumba 2 vya kulala na master 1. Ina sebule kubwa. Jiko, stoo na choo cha jumuiya. Parking ya kutosha. Kwa nyuma kuna nyumba ndogo, ina vyumba viwili na choo. Mambo yote ni ndani ya fensi ya matofali. Bei: Tsh.110, mazungumzo...
  12. mdukuzi

    Kua uyaone, mikoani madukani kuna kipimo cha sukari hadi ya shilingi 200, mafuta 100

    Kama ulidhani ulielewa somo la fraction au decimal jitafakari Kuna robo ta robo Watu wa mikoani huwa wanashangaa watu wa mjini kula miguu,utumbo na vichwa vya kuku,ule sio umasikini bali ni utamaduni tu.ndiomaana mtu wa pwani yuko tayari kuacha kula wali akala matandu au ukoko. Kuna kabila moja...
  13. W

    Mkopo wa product za madukani

    Natafuta mtu mwaminifu mwenye duka, nitakaye mkopesha product hizi na atalipa atakapouza. Maduka 25 tu. Kama unahitaji wahi sasa. Product hizi ni 1.a )Mishumaa ya kawaida. b)Mishumaa ya perfume ( rangi zote zipo). 2. a)Mafuta ya kawaida yenye manukato mazuri. b)Mafuta ya nywele. 3...
  14. E

    House4Sale Nyumba zinauzwa maeneo mbalimbali

    Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo Ina Vyumba 2 kimoja master Jiko,public toilet, sebule Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20 Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000 Bei mln 19 maongezi yapo kidogo 0675 065906
  15. Ritz

    Wazungu Uingereza wanapora vitu madukani. Hakuna tofauti na Afrika, njaa kali

    Wanakummbi. Tuliaminishwa vitu vingi sana kutoka nchi za Magharibi na Ulaya kuwa ni watu makini wamenyooka hawana tamaa wanaheshimu haki za watu na siyo wizi kama watu wa Africa, binafsi nawafahamu kiasi wazungu ni binadamu kama wengine na ni wizi, waongo wanafiki angalia hiyo video ingekuwa...
  16. ndege JOHN

    Je,Wanyama huhisi Kama kuna kufa?

    Tembo na jamii ya nyani wanaonekana kuomboleza wanapompoteza mwenzao pengine na dolphin kwa jinsi alivyo na akili huenda akawa anajua japo sina uhakika.vipi kwa wanyama wengine Kama Fisi,simba,ngamia,punda,kuku na wengineo huwa wana kaa na kufikiria kwamba kila nafsi itaonja mauti?yaani ukute...
  17. Kyambamasimbi

    DOKEZO Sukari inauzwa madukani Tukuyu ikiwa haina maandiko yoyote, haija ‘expire date’ wala utambulisho kuwa inatoka wapi

    Kwenu TBS naomba kujua ni halali kuuza sukari iliyowekwa kwenye mifuko Tena ya kilo Moja haioneshi imetoka wapi Wala Haina expire date. Hii ipo Tukuyu maeneo ya Kiwira, KKK, Tukuyu mjini, sasa je usalama wa bidhaa hiyo kwa mlaji ukoje? Jamani fuatilieni watu wajue wanatumi bidhaa ya namba Gani.
  18. G

    Akili za wanachuo wengi zimekaa kipigaji na kutaka zaidi ya mlichokubaliana ukiwaweka madukani, kwanini?

    Japo inategemeana mtu na mtu, kwa wastani Darasa la saba na form 4 wengi wala hawana shida ukiwaweka dukani, Shida inakuja uwaweke waliosoma vyuoni, yani hata awe kasomea kozi ya secretary ni shida sana, mwanzoni mnakubaliana vizuri kabisa mshahara, day allowance, muda wa kufika, n.k. lakini...
  19. M

    Tuwe Makini mwisho wa mwaka - madukani Vyakula na vinywaji wanauza vilivyokwaisha Muda (Expired)

    Nimekutana na juisi za Zambia zinazouzwa Tanzania hususani Mbeya na Songwe wanauza zilizoexpire. Pia biscuits hasa za nje chocolate zimeisha Muda lakini zinauzwa tu! Wenye mamlaka sijui wako wako wapi Watanzania tunalishwa sumu
  20. Prakatatumba abaabaabaa

    Kwanini frame za Sinza Kodi ipo juu Lakini sioni muingiliano wa watu madukani?

    Kuna dogo mmoja yupo Hapo sinza kwa remmy dukani kwake Kuna t-shirt kama 12 Lakini analipa Kodi laki 3 kwa mwezi, kiukweli mjini ingia na yanayokuhusu yasiyokuhusu achana nayo. Hapa frame ni laki saba kwa mwezi kwa mwaka ni million 8 na laki 4. Maeneo kama kariakoo unaweza shawishika kulipa...
Back
Top Bottom