madini

Abū al-Ḥasan ʻAlī ibn ʻAbdillāh ibn Jaʻfar al-Madīnī (778 CE/161 AH – 849/234) (Arabic: أبو الحسن علي بن عبد الله بن جعفر المديني‎) was a ninth-century Sunni Islamic scholar who was influential in the science of hadith. Alongside Ahmad ibn Hanbal, Ibn Abi Shaybah and Yahya ibn Ma'in, Ibn al-Madini has been considered by many Muslim specialists in hadith to be one of the four most significant authors in the field.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh. Bilioni 7.8

    Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila amesema kuwa leo wizara inamtabua mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite, Saninniu Laizer kuwa bilionea baada ya kupata mawe makubwa mawili yenye thamani ya shilingi bilioni 7.8. Mchimbaji huyo amepata mawe hayo mawili ambapo moja lina kilo...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzanite iliyonunuliwa na Serikali yavunja rekodi kwa ukubwa duniani | Inaweza kutumika kukuza Sekta ya Utalii

    Na Malisa GJ Saniniu Laizer mchimbaji mdogo wa madini huko Mererani ameamka Bilionea baada ya kupata mawe mawili ya Tanzanite moja lenye uzito wa 9.2KGs na jingine 5.8KGs yenye thamani ya TZS 7.8 Bilioni. Watu wengi wanajadili kuhusu Tanzania kumpata Bilionea mpya. Ni jambo zuri lakini kuna...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA mnaohamia CCM, huku hakuna kuandikiwa hotuba, hoja wala maswali itawalazimu mjifunze kutema " madini"

    Wote ni mashahidi kwamba wabunge wanaotoka Chadema na kuhamia CCM huwa wanashindwa kujieleza kabisa japo bunge ni lile lile. Waangalie akina Dr Mollel, Ryoba, Ole millya, Gekue na hata Waitara uwezo wao wa kujenga hoja na kuuliza maswali ni mdogo sana tofauti na walivyokuwa Chadema. Kuna wakati...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada watalaamu wa Madini

    Habari wakuu haya Madini Aina gani?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha kupimia madini ardhini (gold detector machine) kinauzwa kwa bei ya 5.5mil

    KIFAA CHA KUPIMIA MADINI ARDHINI(GOLD DETECTOR MACHINE) BEI: 5,500,000 (MIL 5.5) NAME : EQUINOX 800 MAHALI KIFAA KILIPO: DAR ES SALAAM KIPO KWENYE HALI NZURI TEL : 0759707883/ 0683126500
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa viongozi wa Marekani wanatumia mbinu gani kumwaga madini kwa muda mrefu hivi?

    Namwangalia huyu Gavana Cuomo wa New York kupitia Fox News akimwaga maneno yalipangilika vizuri kuhusu corona kwa muda mrefu sasa, zaidi ya saa moja na zaidi. Ukimwangalia haonekani akisoma popote pale (labda kama sielewi). hakuna blah blah blah, ni madini tupu. Nawakumbuka kina Obama na...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Je haya ni madini?

    Habarini wana JF. Poleni kwa majukumu. Je, kuna mtu yeyote anaeweza nisaidia kuniambia kama haya ni madini au la? Naomba msaada wenu wakuu
  8. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa madini ya dhahabu Mwanza akamatwa kwa tuhuma za kuwajeruhi watu wawili kwa risasi

    Mfanyabiashara wa madini ya dhahabu jijini Mwanza, Salum Othuman (44) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita kwa tuhuma za kuwajeruhi watu wawili, akiwemo mpenzi wake Happiness Israel (32). Anadaiwa kumpiga risasi ya mguuni mpenzi wake baada ya kutokea ugomvi wakati wakiwa chumbani...
  9. JamiiForums Tanzania Madini aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi

    Haya ndiyo madini ya ukweli aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi kama alivyonukuliwa ----- Watanzania tumejenga kwenye mikondo ya maji haizibi, mvua ikija kuwachukua mnapiga kelele ni mafuriko, mnajifurika wenyewe, mlima upo hutaki kujenga unakwenda kujenga kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Biashara ya madini ya dhahabu

    Hello natumai wote ni wazima kabisa na wa afya iliyo bora kabisa, Jamani mimi nataka nijue haswa biashara ya madini ya dhahabu ni shilingi ngapi kwa gram1? Na je ukiwa na 3million unaweza kuianza.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kama kweli wewe ni mzalendo, kwanini hupeleki mikataba Bungeni?

    Inashangaza sana Raisi hataki ku-deal na kiiini cha matatizo yote ya nchi hii matatizo ambayo chanzo chake kikubwa ni mikataba mibovu na badala yake kila siku utamsikia kaibua hili na kesho kaibua lile na yanakoishia yote haya wengine hata wala hatuelewi. Raisi angekuwa na dhamira ya kweli ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…