madini

Abū al-Ḥasan ʻAlī ibn ʻAbdillāh ibn Jaʻfar al-Madīnī (778 CE/161 AH – 849/234) (Arabic: أبو الحسن علي بن عبد الله بن جعفر المديني‎) was a ninth-century Sunni Islamic scholar who was influential in the science of hadith. Alongside Ahmad ibn Hanbal, Ibn Abi Shaybah and Yahya ibn Ma'in, Ibn al-Madini has been considered by many Muslim specialists in hadith to be one of the four most significant authors in the field.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mawifi hawawapendi Wake wa Kaka zao? Madini yaliyojificha kwenye wimbo '12,600 Lettres' wa Franco Luambo

    Hapa chini tuangalie uchambuzi wa wimbo ambao wengi wetu tunaujua kama 'Bandeko Ya Basi', lakini jina lake halisi la usajili ni "12,600 Lettres" (Barua 12,600). Huu ni moja kati ya kazi bora na mahiri zaidi za mwanamuziki mashuhuri wa Kongo, Franco Luambo Makiadi akishirikiana na bendi yake ya...
  2. JamiiForums Tanzania Tahadhari kubwa : Madini sio rasilimali ya kudumu, tukiendelea hivi mpaka 2050 yataisha

    Wasalam ndugu zangu..... Kibaya zaidi Kampuni ya kigeni ikimaliza kuchimba inafunga na kuondoka, Itatuachia mashimo + kemikali + ajira zilizopotea. Kiuchumi tunaita Resource Curse laana ya Rasilimali. Una mali lakini unabaki maskini zaidi. TUTAPOTEZA VIZAZI 2 Kizazi cha leo kinapata...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Kuondoa Ruzuku kwa Wachimbaji Madini Kutasaidia au Kutadhoofisha Uchumi?

    Mheshimiwa raisi kuondoa ruzuku kwa wachimbaji moja kwa moja bila kutafuta njia mbadala ya kuwasaidia itaenda kudhoofisha uchumi hasa kwa wachimbaji wadogowadogo najua umefanya uamuzi kwa kuangalia wachimbaji wakubwa je vipi kuhusu wachimbaji wadogo ? Tusifanye mambo kimhemko kisa tajiri mmoja...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Madini ya Tanzania imefuta leseni za uchimbaji za mradi wa grafiti wa Bunyu unaomilikiwa na Volt Resources, ambazo ni ML 591/2018 na ML 59

    Wizara ya Madini ya Tanzania imefuta leseni za uchimbaji za kampuni ya Volt Resources kwa mradi wake wa grafiti wa Bunyu, ambazo ni ML 591/2018 na ML 592/2018. Volt Resources (ASX: VRC) imethibitisha kupokea taarifa rasmi kutoka kwa Wizara ya Madini kuhusu kufutwa kwa leseni hizo, jambo ambalo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msidanganyike watanzania , pesa ya madini ni pesa ngumu na kuipata kwake ni mtihani

    Baada ya harusi ya huko sijui katoro ,watanzania wengi wamehama na akili zao na kuamini pesa inapatikana kirahisi kama mtu atajichanganya kuingia kwenye chain ya biashara ya madini . Ni kweli huko pesa inapatikana sawa na maeneo mengine tu , yaani huko pia kuna hitaji commitment, Imani na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watu wengi sana wanatamani biashara ya madini wanapowaona matajiri lakini wanafichwa mengi, hii ni biashara katili sana

    Ni moja kati ya biashara ambayo wabongo wanajihusisha sana na NDUMBA, hata uwe msomi kama utahitaji kujimix na hao watu, kwao ndumba kwanza vingine vitafuata, usipokuwa tayari ni ngumu kupewa ushirikiano Inahitaji uwekezaji mkubwa na bado hakuna gyarantee, unaweza kuwekeza milioni 100...
  7. JamiiForums Tanzania Hizi mbwembwe za wafanyabiashara wa madini Geita ziliwahi kufanywa mererani miaka ya 90!

    Naona kuna majamaa ya huko Geita ,Kahama na Katoro yanasumbua mji sana kwa zawadi ya sendoff ya bilioni moja na ushee.
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malalamiko kuhusu ukiukwaji wa taratibu katika mgodi uliopo Matanda, Katoro, Geita

    Mamlaka husika tunaomba ufanyike uchunguzi kuhusu mgodi unaomilikiwa na Wachina uliopo Mkoa wa Geita, Wilaya ya Katoro, Kijiji cha Matanda, kutokana na madai ya kutokufuata sheria na taratibu za kazi. Wafanyakazi wanadai kutolipwa stahiki zao, kutokupewa vitendea kazi, pamoja na kutokuwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Chuo cha Madini Dodoma siwaelewi

    Nina mtoto wangu amemaliza form four, amechaguliwa kwenda kusoma mining engineering chuo cha madini dodoma (MRI) nimejaribu kufuatilia website ya chuo hawana, nimepiga simu zao +255 26 230 0472 za ofisi zimefungiwa hawajalipa bill muda mrefu, nimetuma email zimekuwa rejected kwa maana email hizo...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa Kusajili Local Content Tume ya Madini Kupitia LCCSR-MIS

    Wakuu wasalaamu. Naomba anayeweza au anayejua anisaidie kwenye kusajili local content Nimejaza taarifa zangu za Register kwa mfumo, ila sijapata hata email ya kuconfirm au kutengeneza log in credentials. Toka maombi yangu yapokelewe zimepita siku 3. Ningeomba anayeweza kusaidia kujua namna...
  11. JamiiForums Tanzania Masoud Masoud: Madini ya Muziki

    Sikiliza Madini hayo ya Manju wa Muziki Masoud Masoud
  12. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yasisitizwa Kuhifadhi Madini Adimu ya Yoderite

    Imeelezwa kuwa kuna umuhimu wa kuchukua hatua madhubuti za kuhifadhi na kulinda madini adimu aina ya Yoderite yanayopatikana katika eneo la Mlima wa Mautia, Wilaya ya Kongwa, Mkoa wa Dodoma, ili kuhakikisha urithi huo wa kipekee wa kijiolojia unabaki salama kwa manufaa ya vizazi vya sasa na...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa shamba lenye madini

    Habari za muda huu wadau, bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye hoja, kuna shamba la familia yangu ambalo lina madini, yaliibuka tu gafla na watu wakaanza uchimbaji baada ya muda kama mwezi tuliwasitisha watu kuendeleza shughuli kwenye hilo eneo letu. Kwa leo nimekuja nipate abc ya namna...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Nina leseni ya uchimbaji wa madini natafuta mwekezaji ambaye hana tupige kazi

    Wakuu anayehitaji leseni ya uchimbaji madini aje tupige kazi atakuwa ananipa 30% ya kitakachopatikana
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya kupotea miaka kadhaa sasa nimerudi, nilikua kwa kina smigo 😂😂,Nina madini mengi kutoka huko, huku Duniani Kuna mpya gani tuanze nalo

    Baada ya kupotea miaka kadhaa sasa nimelud, nilikua kwa kina smigo 😂😂,Nina madini mengi kutoka huko, huku Duniani Kuna mpya gani tuanze nalo.
  16. W

    JamiiForums Tanzania Serikali yaridhia kutenga asilimia 10 ya makusanyo ya madini kwaajili ya utafiti wa kina wa rasilimali za madini

    Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amesema Serikali imefikia hatua muhimu katika maendeleo ya sekta ya madini baada ya kuridhia kutenga asilimia 10 ya makusanyo yatokanayo na sekta hiyo kwa ajili ya kugharamia utafiti wa kina wa rasilimali za madini nchini. Akichangia Makadirio ya Mapato...
  17. JamiiForums Tanzania Kumbe kuna nyuzi nimezuiluwa kuchangia?? Nini jf inakiogopa ni haya madini yangu😀😀

    Kuna uzi nimuuona unahusu Nchi ya Rwanda imeendelea kuliko Kagera” Nikajaribu kupitia nikaona analysis iliyofanyika ni yakitoto! Wakati nimeandaa madini yangu kumuelimisha huyu jamaa nikaambiwa SIRUHUSIWI KUCHANGIA” kuna shida kidogo Nikalog out nika log in kurudi ishu ile ile Kuufuatilia...
  18. JamiiForums Tanzania Kama wazee wetu walikutwa wanacheza bao na dhahabu, kwanini tuwalaumu mabeberu?

    Historia ya Afrika imejaa simulizi za utajiri wa rasilimali, lakini pia simulizi za kuporwa kwa rasilimali hizo. Mara nyingi lawama zote hupelekwa kwa mabeberu wakoloni na makampuni ya kimataifa kwa sababu ya kuhodhi thamani ya dhahabu, almasi, mafuta na madini mengine. Lakini tukirudi nyuma...
  19. JamiiForums Tanzania Changamoto ya masoko katika biashara ya kununua madini:gemstones vs dhahabu

    CHANGAMOTO YA MASOKO KATIKA BIASHARA YA KUNUNUA MADINI: GEMSTONES VS DHAHABU Unapoingia kwenye biashara ya kununua madini tambua kuwa hii ni biashara kama biashara zingine, madini ni bidhaa kama bidhaa zingine unazoenda kununua na kuuza kwa wanunuzi hivo hata madini yako hivyo pia... Kamwe...
  20. JamiiForums Tanzania Wazungu walituwahi akili mapema, Afrika ingekuwa inajiendeleza kupitia malipo kwa madini.

    Wakati wa ukoloni, Wazungu waliona thamani ya madini ya Afrika mapema sana. Walitambua kwamba dhahabu, almasi, shaba na madini mengine yalikuwa msingi wa nguvu za kiuchumi na kisiasa duniani. Badala ya kuruhusu Waafrika kutumia rasilimali hizi kama njia ya kujenga miundombinu na kuendeleza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…