madhara

Abu Ali al-Husayn ibn Ahmad al-Madhara'i, also known as Abu Zunbur ("the hornets' man"), was a member of the bureaucratic al-Madhara'i dynasty of fiscal officials, and served as director of finances of Egypt and Syria for the Abbasid Caliphate in the first decades of the 10th century.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Ushauri wa kiufundi katika utanuaji na ukarabati wa maghorofa pasipo kuleta madhara

    Habari wadau, wamiliki, watumiaji na wasimamizi wote katika sekta ya ujenzi. Kwanza nitoe pole kwa wahanga waliokutwa na jambo zito la kuangukiwa na ghorofa kariakoo! Naomba kutoa machache kutokana na uzoefu wangu kiufundi katika majengo makubwa na madogo! Kwanza kabisa Siyo kosa kiufundi...
  2. Kijana fahamu madhara ya punyeto na mtu anayejichua kwa muda mrefu

    Wavulana wengi wamekuwa wakiathirika sana na tatizo hili la kujichua, hasa wanapokuwa katika shule na vyuo, mchezo huu wa kujichua wamekuwa wakiutumia sana. Sababu kuu inayopelekea kujichua ni kutamani, wengi huangalia picha za utupu(xx) katika mitandao ya kijamii na baadaye fikra huathiriwa na...
  3. B

    Mwenyekiti Mbowe akiachia madaraka haitaleta madhara kama Mchungaji Msigwa alivyoamia CCM?

    Mimi binafsi napenda siasa za amani, siasa zinazochochea fikra pevu, maendeleo, utawala bora amani na upendo. Hivyo hata ktk comment zangu na nyuzi zangu najitanabaisha kama mtu wa namna hiyo. Hivyo basi sipendi nawala siungi mkono siasa za vurugu, mapigano, uchochezi, husuda, ulozi, kutekana...
  4. Watoto wafundishwe; nature inamtaka mhanga ajihami kwani ndiye anayepata madhara

    WATOTO WAFUNDISHWE; NATURE INAMTAKA MHANGA NDIYE AJIHAMI KWANI YEYE NDIYE ANAYEPATA MADHARA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Katika Jambo lolote lazima uangalie Nafasi yako ni Ipi. Je wewe ni mshika mpini au mshika Makali. Je wewe ni Mhanga au unayesababisha madhara. Hii itakusaidia kuishi Kwa...
  5. Tumeshuhudia madhara ya kuwa desperate na mademu ila bado tumo tu. Kuna energy fulani inayokuvuta katika tabu pale unapokuwa mshamba wa wanawake.

    Tumehudumia malaya zaidi ya mama zetu. Tumepigwa klabu kisa kugombea mademu. Tumedharililishwa kisa wake za watu. Tumefirisika kisa makahaba Tumeharibu familia kisa kuleta mke mwenza Tumefukuzwa makazini kisa ku-date na work mates Tumepitia divorce kisa cheating na michepuko Tumechelewa...
  6. Ni hatua ipi ulifikia ya madhara hadi ikawa hamasa yako kuachana na uraibu au mazoea potevu uliyokuwa nayo??

    Nilikuaga mpenzi sana wa soda aina ya coca cola iliyo ya baridi sana. Ilikuwa siku ikiisha bila kupiga coca najiona mtupu. Matter of fact ingebidi nipatiwe tuzo ya mnywaji bora coz nilikuwa nakunywa kila siku. Hadi hapo siku moja nilianza kuhisi meno yangu ya mbele kuanza kuuma pale...
  7. A

    Madhara ya Simu za mkononi kwa binadamu ikiwa hazitumiki kwa usahihi

    Simu za mkononi, ingawa zina manufaa mengi, zinaweza kuwa na madhara kwa binadamu ikiwa hazitumiki kwa usahihi au kwa muda mrefu kupita kiasi. Baadhi ya madhara hayo ni: 1. Madhara kwa Afya ya Ubongo: Mionzi ya sumakuumeme inayotolewa na simu za mkononi inaweza kuwa na athari kwa ubongo, ingawa...
  8. Madhara ya kuunganisha bluetooth ya simu!

    Leo ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ข ๐˜ค๐˜ฉ๐˜ฐ๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ณ๐˜ข๐˜ง๐˜ช๐˜ฌ๐˜ช ๐˜บ๐˜ข๐˜ฏ๐˜จ๐˜ถ ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช๐˜ต๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ช๐˜ข ๐˜ท๐˜ช๐˜ฅ๐˜ฆ๐˜ฐ ๐˜บ๐˜ข ๐˜น๐˜น๐˜น ๐˜•๐˜ช๐˜ฌ๐˜ข ๏ฟฝ ๐˜ฑ๐˜ญ๐˜ข๐˜บ ๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜๐˜ข๐˜ช๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ด๐˜ข๐˜ถ๐˜ตi ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฏi๐˜ฃ๐˜ช๐˜ฅ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜จ๐˜ฆ๐˜ป๐˜ฆ ๐˜ด๐˜ข๐˜ถ๐˜ตi ๐˜๐˜ข๐˜ฅ๐˜ช 100 ๐˜ญa๐˜ฌi๐˜ฏi ๐˜ฃ๐˜ข๐˜ฅ๐˜ฐ ๐˜๐˜ข๐˜ช๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ด๐˜ข๐˜ถ๐˜ต๐˜ช.., ๐˜ฏ๐˜ฅi๐˜ฐ ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ฃ๐˜ถ๐˜ฌ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฑ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ข๐˜ต๐˜ฐ๐˜ฌ๐˜ข ๐˜ด๐˜ฆ๐˜ฃ๐˜ถ๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜ถ๐˜ฏ๐˜จ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข ๐˜ฃ๐˜ญ๐˜ฐ๐˜ฐ๐˜ต๐˜ฐ๐˜ต๐˜ฉ ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ด๐˜ช๐˜ฎ๐˜ถ ๐˜บ๐˜ข๐˜ฏ๐˜จ๐˜ถ.. ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ญ๐˜ข๐˜ง๐˜ถ ๐˜ด๐˜ฆ๐˜ฃ๐˜ถ๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ญ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ธa ๐˜’๐˜ถ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ธ๐˜ข๐˜จ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฉ๐˜ช๐˜ท๐˜ฐ ๐˜ด๐˜ช๐˜ซ๐˜ข๐˜ณ๐˜ถ๐˜ฅi ๐˜ฏ๐˜บ๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ฃ๐˜ข๐˜ฏi...
  9. Madhara na Athari za Punyeto Zawaumbua na Kuwafedhehesha Vijana Wakiwa Ndani ya Ndoa Zao

    Unaweza kuhitimisha kwa kusema, Inafedhehesha sana, Inasikitisha sana, Inasononesha sana kwakeli. Uzuri wanakiri wenyewe kupiga nyeto kwa muda mrefu sana. Ni aibu mno ndrugu zango.. Hivi sasa wanajutia nguvu imara sana za kijinsia, walizopoteza bafuni kwa nyeto kwa uhodari sana, lakini pia...
  10. D

    Mke anatoa mashuzi usiku kucha; Kuna madhara ninayoweza kuyapata?

    Naombeni ushauri wadau, si kwa lengo la kumdharirisha mke Bali kusema ukweli ya kinachojiri. Aisee mke anayaachia mashuzi, kha!!! Yaani kazi inaanza dakika hiyo hiyo anayofumba macho na inaisha tu pale anapofumbua, yaani asubuhi anapoamka! Ajabu ni kuwa Kuna wakati unaweza kudhani anayatoa...
  11. Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

    Oct 1 (Reuters) - The Israeli military said on Tuesday that missiles had been launched from Iran towards Israel, and that Israel's home front command had provided life-saving guidelines to people in various parts of the country. Televisheni ya taifa ya Iran imeangazia taarifa kutoka kwa...
  12. Jeshi la Marekani ladai limetungua Makombora ya Iran, inadaiwa mpaka sasa hakuna Madhara yaliyoripotiwa

    US Navy destroyers in the eastern Mediterranean Sea intercepted Iranian ballistic missiles during Tuesdayโ€™s launch, according to a US defense official. The US currently has three guided-missile destroyers operating in the eastern Mediterranean: USS Arleigh Burke, USS Cole, and USS Bulkeley. US...
  13. M

    Duniani kuna karma na hakuna kitu kinachoitwa Albadir, Albadir haina madhara yoyote

    Albadiri nayo ni scam, kama scam nyingine. Karma ipo na inafanya kazi hili halipingiki. Msemo wa malipo ni hapahapa duniani ndio "karma hiyo". Ukifanya mema utalipwa mema na ukifanya mabaya utalipwa mabaya kama kawaida. Kitu kinachoitwa Albadir hakina nguvu yoyote ile , hakijawahi kuwepo na...
  14. SI KWELI Kuna madhara usipomnyoa mtoto mchanga nywele alizozaliwa nazo

    Salama wakubwa wa JamiiCheck? Katika pitapita zangu mitandaoni kuna mtu nimeona akishauri kuwa ni vizuri kumnyoa mtoto mchanga nywele alizozaliwa nazo ili mtoto akue vizuri. Amedai kuwa mtoto asiponyolewa nywele hizo anaweza pata madhara ya ngozi ya kichwa, ukuaji duni lakini mwisho ni mambo...
  15. G

    Wataalam naombeni jibu, Ikiwa Zanzibar itakuwa inatoa maraisi wanne (40%) katika kila Marais 10, kuna madhara yapi positive na negative?

    political scientists naombeni jibu
  16. Tatizo la kuumwa na Nyoka, Takwimu madhara na njia za kukabiliana na tatizo

    ๐Ÿ Kila mwaka, karibu watu milioni 5.4 huumwa na nyoka duniani kote, na kusababisha zaidi ya vifo 800,000 na kuacha mara tatu ya idadi ya walionusurika wakiwa na ulemavu. Ugunduzi wa haraka wa dawa za kuua viini unaweza kuokoa maisha na kupunguza madhara ya kiafya ya muda mrefu. Ulemavu kutokana...
  17. Hivi suala la mafuta kuwa machafu na masafi baadhi ya sheli lina ukweli ndani yake? Kuna madhara gani?

    Habari wana JF, swali langu linalenga watumiaji wa vyombo vya moto. Je, ni kweli mafuta machafu yapo kwenye baadhi ya vituo vya mafuta au ni uzushi tuu? Na kama ni kweli kuna mathara gani unapoweka hayo mafuta kwenye chombo cha moto?
  18. W

    Fahamu madhara unayoweza kupata kwa kuweka mtandaoni picha ya tiketi yako ya ndege?

    Kumbuka kila unapo post Ticket yako ya Ndege unahatarisha usalama wako kama ifuatavyo a. Kwa kutumia Msimbo Pau (Barcode) ya tiketi, Wadukuzi wanaweza kupata taarifa zako na kuzitumia kukufanyia Ulaghai (Phishing). b. Ni rahisi mtu kubadilisha au kuahirisha safari yako kwani anahitaji jina na...
  19. D

    This week is international eucharistic ceremony

    This week, ahead of the International Eucharistic Congress in Quito, Ecuador, on September 8th, I invite you to discover the history of Eucharistic miracles on our Vaticano show, from medieval Bolsena to Lancianoโ€™s first miracle, Carlo Acutisโ€™s devotion, and more. Ahead of the next session of...
  20. D

    Kumbe pombe zina madhara kiasi hiki!?

    Nimefikia hatua ambapo chochote ninachoshika natetemeka hata nikishika kikombe cha chai natetemeka tu kisa safari na smart gin
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ