Baada ya kuachana na manzi ex wangu, nilijikuta na fall in love na manzi mmoja wa mtaani..
Tulikuwa tunapishana mara kwa mara, mtaani sa siku moja usiku tulikutana kiyepe point, so siku ile alikuwa kaagiza kidali na zege..
Mm kama kawaida yangu huwa na chukua ndizi za kukaanga na nyama choma...