Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba tena uteuzi wa kugombea muhula wa saba, hatua inayomuelekeza kwenye miaka 50 ya utawala.
Museveni, mwenye umri wa miaka 80, amepuuza wito wa kustaafu huku wakosoaji wake wakionya kwamba amegeuka kuwa mtawala wa kiimla, kwa kuwa hana upinzani wa maana hata...
Mambo mengine ni ya kawaida, hata kama nchi ingekuwa chini ya wakina mkwawa au mtemi Myugumba wangefanya.
Siku nasikia hicho KITU nilibisha nikaona ni uongo, ule ni umbali mkubwa. Hii ndio ishara pekee ya ukubwa wa akili ya thinkers wa CCM.
Changamoto maengineer sidhani kama wametukumbuka...
Mojawapo wa wageni wa kwanza kabisa kualikwa nchini Zaire (DRC ya sasa) na Laurent Kabila, baada ya kumwondosha Mobutu Seseseko kama raisi, alikuwa mwalimu Julius Nyerere. Alikubali mwaliko huo. Kipindi hicho wala hakuwa Raisi wa Tanzania, alikuwa ameshang'atuka.
Sasa katika moja ya hotuba...
Kuna kitu nimeshindwa kabisa kuelewa sisi Watanzania ni watu wa aina gani. Tunawezaje kuona serikali ambayo imekubuhu katika utekaji, uuaji, utozaji kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa kwa wageni, udanganyfu katika uchaguzi...
Samia wakati anaingia madarakani kama rais alitupa tumaini la kidemokrasia na alisema ataongoza tu awamu moja sasa hivi amebadilika.
Samia wa sasa hivi sio yule tunaye mjua aliyesema atatuvusha tu wakati huu wa majonzi kwa kumpoteza JPM lakini badala yake amebadilika amekuwa tofauti anaminya...
Habarini,
Ni vyema kila rais atokae madarakani aache amelipa madeni yake na pia kuwe na taarifa ya kutaka kukopa na ieleze kwanini serikali inakopa na baadae iseme imeutumiaje huo mkopo.
Mawasilisha.
Swala la katiba Mpya lilianza kupigiwa kelele na kupamba moto toka enzi za Kikwete akaingia magufuli naye akasema yupo kwenye mchakato wa kukamilisha, Mzee Magufuli alahudumu miaka yake 5 akaaga Dunia, jambo hilo halikukamilika, badae akaingia Samia kwa Tiketi ya Magufuli akapalilia pale pale...
Kama mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani jana bungeni haujawafungua akili Watanzania kuielewa CCM ni kina nani? Basi hakuna siku Watanzania watakuja kupata akili na kuielewa CCM hadi mwisho wa Dunia.
Kama Majadiliano ya jana Bungeni hayajawafungua akili Watanzania kujua CCM...
Ccm wapo tayari kufanya lolote lile ili Tu waendelee kubaki , kuteka, kuuwa mtu , kumpoteza mtu na ikiwezekana hata kubaka mtu ili kumdhalilisha na kumtia najisi ili Tu waendelee kubaki madarakani..Kuna mzee mmoja aliwahi kuniambia " ukiona matatizo na ugumu wa maisha umekithiri ujue wepesi na...
Kila siku wakiamka ni mwendo wa kunyosheana vidole... Huyu kanunuliwa, yule katumwa, huyu mamruki, Yale namna GANI huyu namna Ile.
Hivi watu emwa hii Tanzania wanadhani kuchukua nchi ni lelemama Sana ???
WanaCHADEMA wanaodhani upinzani unaposhinda pale Kenya, south, Zambia na nchi zingine...
Nimekuta mjadala mkali sana na mwisho ni kutuhumiana.
Kwa maelezo yake, kulikuwa na mizengwe lakini alitumia power yake KATIBA iheshimiwe na aliyetajwa na katiba aingie madarakani. Tukampongeza.
Lakini baada ya muda aliyepiganiwa akaanza dharau ya hiyo katiba na kuiita kuwa ni KITABU tuu kwa...
Serikali ya Chama cha mapindinduzi imekiri ya kuwa inatumia vyombo vya dola kuteka, kushambulia pamoja na kuua.
Ni ngumu kushinda uchaguzi, ndio maana wote wanaikosoa serikali na chama tunawashughulikia haraka iwezekanavyo.
Msidhani kama kuna hatua zitakazochukuliwa, mtasubiri sana hata hili la...
Naam, habari wana JF, Naam ni mpango wa muumba kila kiongoz anayepatikana ktk sehem yeyote ilee huwa ni kusudio lake vyovyote awavyo.
Lakini kwetu sie watakiwa inaweza kuwa adhabu au iwe huruma toka kwa muumba isipokuwa ukiona mtawala muovu tambua mmeyachuma kwa mikono yetu hivyo haina haja...
Serikali zilizoko madarakani huwa hazikubali kuachia madaraka kiurahisi, kwa sababu nyingi sana, mojawapo ni kulinda yale mabaya waliyoyafanya wakiwa madarakani kama kuteka watu, kujeruhi, kuua, ufisadi, kuficha mali nje ya nchi na mengineyo mengi.
Sasa wanajua chama kitakachoingia madarakani...
Hata CCM na Samia wake wakisema Waungane na Walutheri, Waanglikana, Wasabato, Walokole (TAG) na Waislamu Shia na Simu bado hawatatimia Idadi Kubwa ya Wakatoliki waliopo nchini Tanzania.
Na wenye Akili tunajua kuwa Tanzania Kihistoria ipo chini ya Himaya ya Katoliki (Vatican) hasa Kimaamuzi na...
Nadhani ndugu zangu Wana jamii forum mnajionea kwa Haya yanayoendelea..mwanzoni ccm walijificha kwenye kichaka Cha 'amani" amani' amani" waliiminya haki huku wakiimba wimbo wa amani na yeyote yule ambae alionekana kuidai haki moja kwa moja alionekana ni mvujifu wa amani.
Sasa gia hii kipindi...