madarakani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Kuikosoa Serikali ukiwa madarakani ni kazi ngumu mno

    Kufupisha Uzi nitatoa mfano! Chukulia ukiwa na njaa Kali, umepigika, jua kali halafu ukapewa lifti ya gari na dreva ambaye katika safari yenu kuna sehemu akakosea! Kama huwezi kumsema vibaya dereva wako au kumkosoa kwa uderevawake mbovu! Ndivyo ilivyo vigumu kuikosoa serikali inayokulipa...
  2. JamiiForums Tanzania Dunia isifikiri Putin akitoka madarakani kwamba misimamo ya Russia itarudi nyuma

    Kuna mwamba mwingine huyu hapa Russia alone is fighting NATO and the Western world,” Medvedev, who is the deputy head of the nation’s Security Council and the leader of the ruling United Russia party, wrote on his Telegram channel on Saturday. “We are capable of destroying a mighty enemy or...
  3. JamiiForums Tanzania Utabiri: Putin atakufa au kuondolewa madarakani

    "Putin wa Urusi ameleta matatizo makubwa sana kwa nchi za Magharibi, Duniani na hata Urusi kwenyewe. Ulaya Kuna Hali ngumu sana na hata Urusi kwenyewe. Maisha wanayoishi ulaya Sasa hivi,ni maisha waliyowahi kuishi Karne ya 18. Hii yote ni sababu ya Putin wa Urusi. Kwa mateso haya Kuna watu...
  4. JamiiForums Tanzania Kikwete bado ana ulinzi mkubwa licha ya kutoka madarakani miaka 7 iliyopita

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa katika mazoezi kijijini kwake Msoga jana wakati akiwa ametimiza miaka 72. Hapo pembeni akiwa na Shaffih Dauda waliobaki ni wana usalama. Imekuwaje miaka 7 baada ya kustaafu kwake, bado ulinzi wake ni mkubwa. Hakika JK ni hazina ya nchi hii.
  5. JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Mwanajeshi aliyeondolewa madarakani ajiuzulu na kuondoka nchini

    Taarifa imethibitishwa na viongozi wa dini waliofanya mazungumzo ya amani na Ibrahim Traore kiongozi aliyempindua Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba. Damiba aliyechukua mamlaka Januari, 2022 ameenda uhamishoni nchini Togo baada ya kuhakishiwa mambo mawili, Usalama wake na kurejeshwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Selasini: Ni aibu kwa mwenyekiti wa Chama cha Siasa kukaa madarakani kwa miaka 20, mnawanyima Vijana fursa za Uongozi

    Makamu mwenyekiti wa NCCR mzee Selasini amesema ni ajbu kwa Kiongozi wa chama cha Siasa kukaa madarakani kwa miaka 20 na zaidi kwani ni kuwanyima Vijana fursa za Uongozi Mbatia aliwafukuza mzee Mrema na David Kafulila sasa iweje nongwa yeye kuondolewa? Ameuliza Selasini wakati akiongea na...
  7. JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya serikali iliyoko madarakani ndiyo sababu pekee ya maana ya kupinga tozo

    Hatua ya serikali kutoza tozo kama njia ya kuongeza mapato yake ili kutoa huduma kwa wananchi ambao wanadai hiki na kile, imepokelewa kwa kiasi kikubwa kwa kukataliwa ikiwemo na wabubge wenyewe waliopitisha sheria hizo. Wakati upingaji huu unatokoea na kuendelea, wanaopinga wanakubali tozo toka...
  8. JamiiForums Tanzania Equatorial Guinea: Aliyekaa madarakani kwa miaka 43, anagombea tena Urais

    Rais Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, ambaye ameiongoza nchi hiyo kwa miaka 43, amethibitisha kuwa atagombea tena katika uchaguzi wa Novemba. Makamu wa Rais, Teodoro Nguema Obiang Mangue ambaye ni mtoto wa Rais huyo, alitoa tangazo hilo kupitia Twitter siku ya Ijumaa akisema ni "Kwa sababu ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya Wapinzani huwa inamsaidia zaidi Rais aliyeko madarakani kuliko kumdhoofisha, inampunguzia kudanganywa!

    Binafsi naamini mikutano ya Wapinzani ni fursa nzuri ya Rais wa nchi kuelewa na kuyajua yale ambavyo Wapambe na wanaomzunguka hawataki ayajue Lakini pia mikutano ya Wapinzani hutoa suluhisho la baadhi ya Changamoto Ruhusuni mtanishukuru baadae
  10. JamiiForums Tanzania Afrika kila Rais akiingia madarakani anasema amekuta hali ya uchumi ni mbaya. Je, ni lini uchumi wetu utaimarika?

    Naibu Rais, Rigathi Gachagua amesema Serikali ya Awamu ya 5 imerithi Uchumi mbaya kutoka awamu iliyopita na wanatafuta suluhu ya kudumu. Amewataka Wananchi kuwa na subira maana Ndani ya Siku 90 hadi 100 Uchumi utaimarika.
  11. JamiiForums Tanzania Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

    Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima? Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kianze kati ya Katiba Mpya au Kuitoa CCM Madarakani?

    Habari wana JF Nimewaza sana nikagundua CCM kuwepo madarakani ni tatizo kubwa kuliko hata hii katika tunayo hitaji. Hivi kwa hii CCM tunaweza pata Tume huru ya Uchaguzi? Sasa tunayo katiba lakini tumeshuhudia mara kadhaa ikivunjwa na Kwa mizizi kiliyo nayo hiki Chama mnadhani ni rahisi Katiba...
  13. JamiiForums Tanzania Myanmar: Kiongozi aliyeondolewa madarakani afungwa miaka mitatu, tayari anatumikia mingine 17

    Mahakama inayosimamiwa na Jeshi imetoa hukumu hiyo dhidi ya Aung San Suu Kyi ambaye tayari anatumikia kifungo kingine cha miaka 17 kwa makosa 11, endapo atakutwa na hatia kwa makosa mengine, anaweza kufungwa hadi miaka 200. Suu Kyi na wanachama wengine 12,000 wa chama chake wamefungwa jela...
  14. JamiiForums Tanzania Zaidi ya kunitia ndani, kunipiga na kunitesa. Je, mwanasiasa aliye madarakani ana kipi kingine cha kunifanya?

    Wanasiasa mliopo madarakani msitutishe, kwani zaidi ya kunitesa, kunipiga na kunitia ndani huna kingine cha kunifanya. Ukishayafanya hayo nikirudi uraini nitakuwa Nitshill zaidi kwako na kwa wanao. Msitafute balaa kwenu ninyi binafsi na kwa vizazi vyenu kisa tu ulevi wa madaraka
  15. JamiiForums Tanzania Kwa Nchi zinazojielewa Tozo zinaweza kuiondoa CCM madarakani 2025

    Hizi Tozo zimeongeza ugumu wa maisha. Imekua kero juu ya maisha magumu ya utafutaji. Ingekuwa inchi zinazojielewa kama zambia, malawi, kenya nk CCM ingechomolewa madarakani comes 2025 election. Ikumbukwe kwamba hata inchi zilizo mbele Kwenye siasa/mfumo wa vyama vingi. Vyama tawala huondolewa...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye asema bei ya internet imeshuka wakati wa Rais Samia ukilinganisha na Machi 2021

    Kutoka ukurasa wa Twitter Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mawasiliano Mh. Nape Nnauye amefafanua mafanikio ya serikali katika kushusha gharama za intaneti kwa watanzania. Kupitia ukurasa huo amesema "Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Tundu Lissu kuandaliwa kuiondoa CCM 2025 madarakani?

    Habari wana Jf, kwa mara ya kwanza nimejikuta nasikitishwa sana na umasikini na ugumu wa maisha unaoendelea kuongezeka huku kukiwa hakuna suluhisho la kueleweka Kutoka CCM. Nimewaza sana na kujikuta naona Tundu Lissu ndiye anaonekana mtu pekee kwa sasa mwenye ushawishi na uwezo wa kuongoza...
  18. JamiiForums Tanzania Taratiiiiibu Serikali zote za Afrika zitaondolewa madarakani na mfumuko wa bei

    Sierra Leone protest: Wetin dey happen for Sierra Leone? WIA DIS FOTO COME FROM,REUTERS At least two police officers and one civilian don die after one day of anti-government protests for Sierra Leone's capital, Freetown, staff at the city's main mortuary tell Reuters on Wednesday. Sierra...
  19. JamiiForums Tanzania Umasikini, mateso, wizi, mikanganyiko na unyanyasaji vinatokea CCM ikiwa Madarakani

    Baada ya kupata Uhuru wa Tanganyika, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwatangazia watanganyika kwamba nchi yao ilikuwa na maadui watatu ambao ni Umaskini, maradhi na ujinga. Ili kuyaondoa hayo mambo matatu, pia Mwalimu akasema kuwa tunahitaji watu, Ardhi, siasa safi na Uongozi bora. Tangu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Juma Raibu Meya aliyevuliwa Madaraka Moshi akanusha madai ya kung'oa miundombinu aliyoiweka alipokuwa madarakani

    Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia kwenye Jumatatu hii ya Pasaka , Kwamba Mheshimiwa Juma Raibu aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro , kabla ya kung'olewa hivi karibuni , ameanza kampeni kabambe ya kuondoa miundo mbinu yote aliyojitolea akiwa madarakani . Wakati wa madaraka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…