madaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mpya kutoka kwa Sativa: Mafwele ameendelea kunitafuta, anataka nife, amedai bado hajamalizana na mimi

    Habarini wanajukwaa, Siku ya jana, Sativa alikaa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha Mwanzo TV Plus. Katika mahojiano hayo Sativa aliendelea kusisitiza kuwa Faustine Mafwele pamoja na kikosi chake wanaendelea kumtafuta na kwamba Faustine Mafwele anataka afe. Sativa aliendelea kusema kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Yahisiwa kuvujishwa kwa video za ngono za Baltasar Ebang ni minyukano ya kisiasa ya Equatorial Guinea kugombania madaraka!

    Inaripotiwa kwamba power struggle ya kumritithi dikteta mzee Teodoro Obiang Nguema wa Guinea mwenye miaka 82 aliyeitawala nchi hiyo kwa miaka 45 ndio chanzo cha kuvujishwa video za ngono za mpwa wake Baltasar Ebang. Nadharia mojawapo ni makamu wa Rais wa Guinea ambaye ni mtoto wa Rais pia...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wanachofanya CCM na TAMISEMI ni ulevi mbaya sana wa madaraka

    Kwanini hawa watu hawataki kubadilika? Waliyofanya 2019 na 2020 kwao yalikuwa mazuri? Tanzania inatoka wapi na inaelekea wapi? Mambo haya yanachagizwa kwa kiasi kikubwa na aina ya uongozi uliopo. Kwani kina Mkapa na Kikwete walishindwa kufanya haya? Kwanini iwe sasa? Ni kwanini watu tunakosa...
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto awasilisha pingamizi dhidi ya Mahakama Kuu kusitisha Gachagua kuvuliwa Madaraka

    Kupitia wakili Adrian Kamotho, Rais William Ruto amewasilisha pingamizi la awali dhidi ya ombi la kusitisha kumwondoa Naibu Rais, Rigathi Gachagua madarakani, akidai kuwa mahakama haina mamlaka ya kusikiliza na kuamua kesi hiyo, na akieleza kuwa ni matumizi mabaya ya taratibu za kisheria. Soma...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi Madaraka Nyerere ameona kitu cha kulindwa ni jina la Mwalimu Nyerere, na si falsafa zake?

    Nimeshangaa sana kusikia huyu jamaa akilia wivu kwa watu wanaomuenzi JK Nyerere kwa namna zao. Madaraka, mbona sikusikii ukihitaji falsafa zake zilindwe? Kuna taasisi ya Mwalimu Nyerere, Butiku ameigeuza kikao cha ukoo cha wazanaki, anakula hela za Urusi, China, Skandnavia. Mwalimu alikuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Madaraka Nyerere na ndugu zake wameshindwa kulitumia vizuri jina la baba yao kujipatia riziki, wapewe mbinu

    Bob Marley tangu afariki imepita miaka zaidi ya 40 lakini familia yake bado wanakula bata kupitia loyarities na JIna la baba yao. Michael Jackson family, Tupac family, Kennedy family pia ni miongoni mwa wanufaika wa jina. Tukija hapa nchini, Karume, Kikwete, Mwinyi. Hawa familia zao vizazi na...
  7. JamiiForums Tanzania Madaraka Nyerere: Kiongozi anamsifia Nyerere lakini hapokei simu zetu

    Madaraka Nyerere ambaye ni mtoto wa hayati Mwalimu Julius Nyerere amesema anasikitishwa na baadhi ya viongozi wanaokwenda kutembelea mji wa Baba wa Taifa na kutoa kauli mbalimbali za kumsifu mwalimu, lakini wakiondoka hawapokei tena simu zake. Madaraka amesema si kila simu anayopiga ni simu ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ukomo wa madaraka ya Waziri Mkuu kikatiba

    Katiba inasemaje kuhusu ukomo wa mtu kushika madaraka ya Waziri Mkuu wa Jamhuri? Je aliyepo anaweza kuendelea kuwa Waziri Mkuu baada ya kutimiza Miaka 10 (2015-2025)? Hapa nazungumzia kikatiba. Najua kisiasa inaweza kufanyika recycling Majaliwa akawa Makamu na Mpango akawa Waziri Mkuu Miaka 10...
  9. JamiiForums Tanzania Madaraka ya Kulevya (Lyrics) - Weusi

    Madaraka ya Kulevya Lyrics Madaraaaa Madaraka x2 Umenipa madaraka ya kulevya Ooh baby Nayumba nateleza Umenipa madaraka ya kulevya Oo darling Naimba napoteza x2 Nikki wa Pili Mjini nimedondoka kama chopa, chopa star... Wananiita zee la makopa Zee la kulia mtoto hawezi toka Watoto wanang'oka...
  10. JamiiForums Tanzania Jamaa yangu alilewa madaraka mwisho wake ukawa aibu

    Hii code ni nyepesi sana kuna baadhi ya watu wataing'amua. Nilipokuwa advance form 5 jamaa yangu/ rafiki yangu alinishirikisha kitu kwamba anahitaji kugombea kuwa head prefect wa pale skul. Mimi sikumpinga, huyu mwamba tulikuwa ni watu wa utani sana na kuzinguana sana ila mwisho wa yote tukiwa...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili la mauaji Rais Samia amekasimu madaraka hafiki moja kwa moja kwa wananchi tumpe haki yake

    Habarini, Yawezekana kabisa Rais Samia hausiki kwenye mauaji au uvunjifu wa sheria uliopo sasa kwani amekasimu madaraka kwa watu wenye kujua majukumu yao na kujiona wanaweredi,hivyo basi hao waliokasimiwa na kwenda kinyume ndiyo wawajibishwe na nguvu ya umma hasa nguvu ya mila na albadiri,huo...
  12. JamiiForums Tanzania Kweli walevi wa madaraka wamejaa sana CCM

    Ebu msikikizeni tena huyu mwanaccm anavyomwaga sifa za CCM kwenye chaguzi. Najiuliza hivi ule utaratibu wa kuwapeleka viongozi kwenye chuo cha uongozi watarajiwa haupo tena? Ipo wapi nguvu ya vetting kwa viongozi?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Majaliwa aingilia kati sakata la RC, DC, kutumia nguvu ya madaraka vibaya

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameingilia sakata la wakuu wa mikoa na wilaya kutumia nguvu na madaraka vibaya ambayo amesema kuwa ipo sheria ya viongozi hao inawaruhusu kuwakamata watu na kuwaweka ndani, hii ni kwasababu ya kulinda usalama wake au usalama wa huyo aliyewekwa ndani kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Vita ya madaraka Makanisani ilivyoanzisha Kanisa halisi kutoka Siloam!

    UMEWAHI kusikia kanisa liitwalo KANISA HALISI LA MUNGU BABA? Wanavaa nguo nyeupe kanisa zima, ibada zao nyingi zinarushwa STAR TV?Hawataji jina MUNGU wala YESU wao wanaita CHANZO HALISI 😁Hapa nakuletea historia fupi ya kiongozi huyo maarufu kwa jina la ELISHA ELIYA MIAKA 1000 (anaandika michuzi...
  15. JamiiForums Tanzania Hatimaye Hersi Said alewa madaraka

    Timu inayotokea Tanganyika unataka mechi yao ipelekwe Nchi nyingine ili kuzuia mashabiki wa mikoa mingine kuhudhuria kwa faida ya nani?
  16. JamiiForums Tanzania Usitafute Madaraka kwa kuumiza watu

    Katika maisha ni muhimu kujiepusha kutafuta vyeo, madaraka, nafasi kwa kutesa na kuumiza watu. Tusiruhusu mikono yetu kujaa damu za watu wasio na hatia mwisho huwa sio mzuri. Tusifanye kazi kuwafurahisha wakubwa kwa kuumiza wengine hii sio haki, unaweza fanya yote maovu na hayo madaraka...
  17. JamiiForums Tanzania Namshauri Tundu A. Lissu; ahame chadema Ila tu Kama anavitu anavipata kwa sababu moja tu ya kuwa chadema aaendelee kuwepo. Hii ni aibu

    Chadema ni chama Cha Mbowe hili lipo wazi. Hizi kauli hapa chini ni ishara tosha kuwa kiti kinalindwa haswa! Chadema ni cha Mbowe na Lissu, hivyo kama chama kikiyumba ni Lissu ndiye kayumbisha na siyo mtu mwingine, na mimi Yericko ndiye nimeshikilia mfumo wa kuendesha chama” “Mbowe ni Alfa na...
  18. JamiiForums Tanzania Happy Birthday Madaraka Nyerere

    Leo Madaraka anatimiza miaka 64. Ni mtoto wa mwisho wa Mwalimu Nyerere ( now that Rose Nyerere has passed away). Madaraka amesoma Banking, Italy na Canada. Madaraka ana predilection for going to Uhuru Peak,( Uhuru Peak,that is the summit of Mount Kilimanjaro).
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Utoaji tenda Arusha DC kuna harufu ya Rushwa na matumizi mabaya ya madaraka, mfumo wa NeST unachezewa

    Kuna changamoto ambayo bila kuifuchua inaweza kuzidi kuwa kubwa na kusababisha ubadhirifu, rushwa na mengine mengi yasiyofaa kwenye jamii yetu. Uongozi wa Halmashauri ya Arusha DC imekuwa ikifanya michezo michafu kwenye utoaji wa tenda wa kukusanya ushuru wa Halmashauri pamoja na kuchezea mfumo...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia awaonya wateule wake, wasitumie madaraka yao "kupiga" pesa

    Rais Samia amewaonya vikali wateule wake, aliowateua majuzi, kuwa wasitumie madaraka yao kupiga "dili" za pesa, badala yake akawaambia ya kuwa wanatakiwa kufanya kazi Kwa weledi mkubwa na kuwatumikia wananchi Kwa uaminifu mkubwa. Aliyatamka hayo maneno wakati akiwaapisha jana jijini Dar. Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…