macho

  1. JamiiForums Tanzania KWELI Ulaji wa maboga unaweza kusaidia kuimarisha afya ya macho

    Wakuu wa JamiiCheck naomba msaada wa hili, kuna rafiki angu mmoja ameniambia kula maboga kunasaidia kuimarisha afya ya macho. Je, ni kweli?
  2. JamiiForums Tanzania Arusha; Rasta Auliwa kinyama Kwa kutobolewa Macho Kisha kutundukwa juu ya Mtii Kwa kutumia mkanda wake.

    Kijana Mmoja mwenye umri wa miaka 28 almaarufu Ras Bosco ameuliwa kikatili na watu wasiojulikana na Kisha kuchukua mwili wake na kuutunduka juu ya mti Kwa kutumia mkanda wake. Tukio Hilo limetokea siku ya Jana katika kata ya Sinoni Mtaa wa Olmorkea jijini Arusha. Mwenyekiti wa Mtaa huo Bwana...
  3. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais wa Tanzania ntaifanya miji yetu kuwa mizuri na inayopendeza macho

    Kama umetembelea nchi za Western kwa mara ya kwanza umeshuka uwanja wa ndege kuna beauty flani amazing ambayo ndo mara ya kwanza unaiona na hata kupitia tu picha utaona kabisa wao wana-beauty flani nzuri tu Hata moja ya sababu inayovutia watu wengi kukimbilia nchi za Western ziko nyingi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie macho Kaburi la shujaa Balozi,Luteni Jenerali,Silas Peter Mayunga lililopo Maswa

    Licha ya kuwa mmoja wa viongozi mashuhuri na mashujaa waliolitumikia Taifa kwa uadilifu na uzalendo wa hali ya juu, kaburi la Balozi na Luteni Jenerali mstaafu Silas Peter Mayunga limeonekana kuwa katika hali ya kusikitisha, kana kwamba limetelekezwa. Kaburi hilo lililopo katika makaburi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Picha za AL hizi hapa kadhaa, Leta za kwako tuburudishe macho.

    Tecknolojia ya AI imekuja na mambo mengi na wengine wanajikuta kama wamepata rafiki vile, Leo baada ya uchovu wa kazi niliamua kupunzisha akili kwa kuangalia kitu/vitu vipya. Leta na za kwako za AI tu tuburudishe macho.
  6. JamiiForums Tanzania Gwajima alishakufa kisiasa ila akatumia akili kufa kishujaa kwenye macho ya wanajamii(regular people)

    Sababu za kwanini Gwajima alishaona amekufa kisisasa 1. Gwajima aliupata ubunge kwa kauli ya raisi Magufuli, "Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima. " Gwajima aaliletwa ila kwa gharama za kuharibu uchaguzi, kula fake ziliokotwa kwenye mabox na video zilisambaa, ila akapita...
  7. JamiiForums Tanzania Macho kucheza ni ishara ya nini?

    Macho kucheza kulia au kushoto au mdomo upande wa juu huwa ni kiashiria cha nini? Mfano Unakuta mtu amekuja kufanya mazungumzo nami ghafla hizo hali zina anza hiyo inaashiria nin Au umekaa tu umetulia jicho linacheza je ni viashiria vya hali hatari
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msingi wa Dira ya taifa ya maendeleo 2050 ni kiini macho, kama kweli serikali ya CCM ipo serious tunataka tuone vitendo kuanzia sasa

    Nimepitia haraka haraka dira ya maendeleo ya taifa 2025-2050 iliozinduliwa leo na kugundua misingi yake ina hadaa umma wa Watanzania. "Kila mtu anafurahia uhuru, ulinzi wa maisha yake na haki zote za msingi zilizowekwa kikatiba, zinazosimamiwa na mahakama zilizo huru, zinazozingatia makundi...
  9. JamiiForums Tanzania "Wamisionari walileta Biblia na kutuambia tufumbe macho tuombe. Tulipoyafumbua tena, tayari walikuwa wamechukua ardhi yetu."

    Kwa kweli, muunganiko wa viongozi wa kisiasa na wa kidini mara nyingi si wa bahati mbaya—ni wa kimkakati. Unalenga kudhibiti fikra, hisia, na nguvu ya watu kwa pamoja. Tukiitazama kwa jicho la kifalsafa, hapa ndipo tunakutana na kile wanazuoni wanakiita: “Ushirikiano kati ya upanga na...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kama macho ya taifa zima sasa hivi yamegeukia kwenye makalio ya huyu binti, sasa hivi hata kama ukija na uvumbuzi wa kisomi watu hawatakuelewa🤣

    Bongo ni nchi ya trend sanaa🤣🤣🤣 Its crazy kwamba ina just overnight makalio ya mtu yanaweza mbadirishia maisha ila kuna jamaa konki kichwani tangu 2018 anasaka ajira na anapita aptitude na oral tests zote ila wapi, LIFE🤣
  11. JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa dini, inakuwaje majini yanaswali na waislam kila swala lakini hawajitokezi kwenye sherehe za waislam au ni changa la macho?

    Kichwa cha habari kinajotosheleza. Inakuwaje majini yanaswali na waislam kila swala lakini hawajitokezi kwenye sherehe za waislam au ni changa la macho?
  12. JamiiForums Tanzania Raisi Samia Aingia Katika Macho ya Bloomberg

    Baada ya gazeti maarufu la Marekani, The Wall Street Journal (WSJ), kuchapisha makala inayomkosoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya shirika jingine mashuhuri la habari nchini Marekani la Bloomberg kuripoti tukio jingine lenye utata. Kwenye taarifa yao...
  13. JamiiForums Tanzania Kalooist sikia, macho kodo eti isi wanatupenda ama wana ushamba na sisi,Bali Picha zao kote zinamalizia na ""Wasalamu ni wako katika Mateso"",Kumbuka

    Wanajamvi karibu katika tafakuri jadidi. Mpaka hivi sasa Leo mimi mwenzenu ni mzima wa afya,Labda Hofu kwenu! Nimeona nipepese macho nijaribu kuangalia hili eneo ambalo kwa mtazamo wa Kalooism naona linapotoshwa ama linawekwa mahala ambapo siyo pake. Tunapotembelea ndugu rafiki na jamaa zetu...
  14. JamiiForums Tanzania G. Lema Kweli Unakitu Macho Yetu Hayajakiona. Maombi Yako Kuhusu Yanga na Simba Kuharibu SiasaZetu FIFA Kaja Kulimaliza.

    Ulitamka katika vitu unamuomba Mungu vile ni Simba na Yanga maana (sio kwamba huzipendi) ndizo zinatumiwa na serikali ya CCM kupumbaza watu wasijue haki zao bali warubuniwe. Miongozo na kanuni za mpira duniani pote ni kuuweka mbali kabisa mpira na siasa. Ndio maana tuliona vita kule Angola...
  15. JamiiForums Tanzania Dar: Taasisi ya Child Eye & Vision Organization (CEVO) yafanya Kampeni ya Upimaji Macho

    Watu mbalimbali wakiwa kwenye foleni ya matibabu ya macho katika kampeni iliyoendeshwa na taasisi ya Child Eye & Vision Organization (CEVO) katika Hospitali ya wilaya Mabwepande jijini Dar es Salaam. Mwisho wa Kampeni ni tarehe 17/06/2025
  16. JamiiForums Tanzania Kumekucha sisi yetu macho Ila tunapoelekea ngoja tuone

  17. M

    JamiiForums Tanzania Madhara ya TFF kufumbia Macho mabaya yote ya Yanga matokeo yake ndio haya tunaanza kuyaona

    Hivi karibuni watu walilalamika michezo ya Yanga kununua mechi na kuhonga wachezaji,kila mtu alikaa kimya na leo hii tunaona upuuzi unaoendelea... TFF na mamlaka nyingine za mambo ya Rushwa pia zilikaa kimya ila matokeo tunayoana sasa. Wangapi wanajua haya ya yanga ni kichaka cha kuficha mabaya...
  18. JamiiForums Tanzania “Chura wa Ajabu Aliyebeba Macho Koo: Kielelezo cha Maajabu ya Mageuzi”

    Mnamo mwaka wa 1992, mpiga picha wa Kanada aitwaye Scott Gardner alipiga picha ya chura wa kipekee kutoka Ontario ambaye hakuwa na macho usoni mwake; badala yake, macho yake yalikuwa ndani ya mdomo, yakipofya kutoka kwenye koo. Mabadiliko haya ya kipekee ya kinasaba, ingawa ni ya kushangaza, si...
  19. JamiiForums Tanzania Usimwangalie kwa muda mrefu – la sivyo, atakuja usiku ukiwa umelala

    "USIANGALIE MACHO YAKE – ITAKUFUATA USIKU!" Mtu huyu si wa kawaida. Uso wake umeharibika kwa kuungua na kuoza, macho yake meupe yamevimba kana kwamba yanatazama roho yako moja kwa moja. Kinywa chake wazi kimejaa meno yaliyooza, kama ana kila sababu ya kupiga kelele ya mauti. Nywele zake ndefu...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Kupiga Kura kiini macho?

    Ewe Mzalendo Uende, usiende mshindi tunamjua. Urais: CCM, Ubunge: CCM, Udiwani: CCM, Msimamizi wa Uchaguzi: Mkurugenzi CCM Tume/Mwenyekiti/Makamu Mwenyekiti/Makamishna CCM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…