machinjio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuhamishwa kwa machinjio Morogoro - kero ya wachinjaji

    Wachinjaji wa Manispaa ya Morogoro tunaambiwa mpaka tarehe 17.08.2026 Tunatakiwa kuhamisha shughuli zetu za uchinjai kwenye machinjio mpya iliyojengwa na Manispaa eneo la mawasiliano kata ya mkundi licha ya machinjio hyo mpya iliyojengwa na manispaa kutokukidhi vigezo. Manispaa walilazimisha...
  2. Baba wa Mapaka

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu ubovu wa barabara ya Kibaha-Pangani–Machinjio Mapya

    Nawasalimu, Nawasilisha malalamiko kuhusu hali mbaya ya barabara ya Pangani–Machinjio Mapya. Barabara hiyo imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu na haijawahi kufanyiwa matengenezo kwa kutumia greda kwa kipindi kirefu, hali inayowasababishia usumbufu na changamoto kubwa watumiaji wa barabara...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mji mdogo wa Ikwiriri katika Wilaya ya Rufiji, hauna machinjio rasmi ya Serikali

    Mimi ni mkazi wa Mji Mdogo wa Ikwiriri uliopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani. Mji wa Ikwiriri unakua kwa kasi na tayari una idadi kubwa ya wakazi, lakini cha kushangaza hadi sasa hauna machinjio rasmi ya mifugo kama ng’ombe, mbuzi na kondoo kwa ajili ya shughuli za...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DED: Nimeunda timu kuchunguza madai ya michezo michafu katika Machinjio ya Halmashauri ya Tunduma

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Mariam Chaurembo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Mariam Chaurembo, amesema ameunda timu huru ya wataalamu kuchunguza tuhuma za ukiukaji wa maadili na usafi katika machinjio ya mji huo zilizosambaa hivi karibuni kupitia video mitandaoni...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Responded Machinjio ya Mji wa Tunduma (Songwe) kuna michezo ‘michafu’ ya uuzaji wa nyama

    Eneo la Machinjio ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma Mkoani Songwe kuna Daktari wa Mifugo ambaye jukumu lake ni kukagua nyama baada ya ng’ombe kuchinjwa, katika ukaguzi wake amekuwa akiondoa sehemu anazodai kuwa hazifai kuliwa na binadamu. Anaondoa kwa malengo ya kuteketeza lakini badala yake...
  6. R

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara za Mitaa Wilaya ya Ubungo zimegeuka Machinjio ya vyombo vya moto, fedha za Matengenezo ziko wapi?

    Barabara nyingi za mitaa katika Wilaya ya Ubungo zimegeuka machinjio ya vyombo vya usafiri na chanzo kikuu cha hasara kwa wananchi, huku mamlaka husika zikionekana kushindwa kutoa suluhisho la kudumu. Katika Kata za Kimara, Makoka na Saranga, mashimo makubwa, matope na mifereji mibovu vimekuwa...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Maji machafu ya Machinjio ya Ng'ombe yanatutesa Wananchi wa Mbagala - Sabasaba

    Sisi Wananchi tunaoishi hapa Mbagala Sabasaba tunapata changamoto ya mazingira kuchafuliwa na kuwa hatari kwa afya kutoka katika Machinjio ya Ng’ombe ambayo yapo kwenye makazi ya Watu. Maji machafu ambayo yanatoka kwenye machinjio hayo tanatiririka kwenye makazi yetu na hakuna jitihada...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Machinjio ya Manispaa ya Moshi hayana hadhi kiafya kwa Mifugo na Wakazi maeneo yanayoizunguka

    Muda mwingi mifugo wanakaa juani. Hakuna kivuli cha kuwakinga na jua, ama eneo maalumu la kulishia. Wanakaa pamoja na kuficha vichwa kwa kujikusanya pamoja, kukwepa makali ya jua. Pia, mfereji wa maji taka toka machinjioni umeziba na upo wazi kwa miaka na miaka. Eneo la kuchinjia halina...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Machinjio ya Manispaa ya Morogoro ni kama imetelekezwa, ni chakavu, kuna uchafu na harufu mbaya

    Machinjio ya Manispaa ya Morogoro unaweza kuhisi ni sehemu iliyotelekezwa, uchakavu, uchafu na harufu mbaya Harufu ya machinjio iliyopo katika Manispaa ya Morogoro imekuwa kero kwa wakazi wanaozunguka eneo hilo pamoja na wapitanjia kutokana na miundombinu kuwa mibovu hasa ya kupitisha maji...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni upi ushiriki wa waislamu kuchinja katika machinjio za kisasa?

    Wakuu Inaaminika na kuheshimika katika jamii yetu hii kwamba walio na mamlaka ya kuchinja ngombe na mbuzi ni waislamu pekee ambapo hali imekuwa hivyo na tunaishi kwa amani Lakini pia waislamu hawaruhusiwi kula kitoweo kilichochinjwa na mtu ambaye si muislamu, wakristo wanaheshimu na imekuwa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza maboresho ya machinjio ya Nyama Wilayani Uyui (Tabora)

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamikia kuhusu Mradi wa Machinjio uliopo Goweko akidai umekwama kuendelezwa licha ya fedha za walipa kodi takribani Shilingi Milioni 25 kutumika, hatua zimeanza kuchukuliwa. Malalamiko ya member ~ Haya machinjio ya Nyama Wilayani Uyui (Tabora) ni...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Machinjio ambao hautumiki, DC wa Uyui asema wametenga Tsh. 14m hadi 24m kuuboresha

    Baada ya member wa JamiiForums.com kuulizia juu ya Mradi wa Machinjio uliopo Goweko akidai umekwama kuendelezwa licha ya fedha za walipa kodi tarkibani Shilingi Milioni 25 kutumika, Mkuu wa Wilaya ameelezea Sakata hilo. Mkuu wa Wilaya ya Uyui, Zakaria Mwansansu amesema: Hayo Machinjio yana...
  13. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Haya machinjio ya Nyama Wilayani Uyui (Tabora) ni hatari kwa Afya

    Huu ndio muonekano wa maeneo ya kuchinjia vitoweo katika Kata ya Goweko ambapo pia ni kwa ajili ya maeneo mbalimbali ikiwemo Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora. Taarifa ninazozijua ni kuwa Serikali ilitoa zaidi ya Shilingi Milioni 25 kwa ajili ya machinjio hayo kwa ajili ya kata hizo...
  14. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Wananchi Bukoba: Machinjio Manispaa ya Bukoba siyo rafiki kwa matumizi, yaboreshwe

    Wananchi Manispaa ya Bukoba Mjini wameilalamikia miundombinu ya machinjio na kudai kuwa siyo rafiki kwa matumizi ya binadamu na afya kwa ujumla. Baadhi ya changamoto zilizolalamikiwa katika machinjio hiyo ni pamoja na Plumbing system ni chafu na mifereji imekufa, drainage system hakuna, sakafu...
  15. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Je, Machinjio ya Vingunguti yalikamilika?

    Ukitaka salamu nenda kwa waswahili wenzio,kwangu utaambulia chuya!. Leo nimekaa nikaikumbuka ile Machinjio ya Kisasa iliyokuwa inajengwa Vingunguti tangu kipindi cha Mwenda Mlama!. Bila shaka itakuwa haikukamilika maana ingekuwa imekamilika ni lazima ningeona kwenye luninga mbwembwe za...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa machinjio rasmi ya mifugo Rufiji, Pwani ni kero na hatari kwa afya

    Kwa sisi wakazi wa Wilaya ya Rufiji iliyopo Mkoa wa Pwani tangu nchi ipate uhuru hapajawahi kujengwa machinjio rasmi ya kuchinjia nyama kama zilivyo wilaya nyingine. Pamoja na kuwa wafanyabiashara wanalipa ushuru wa ng’ombe minadani, vizuizi vya njiani (mageti ya ushuru) na kodi kwa Mamlaka ya...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CAF huenda wakaikataa Jezi Majengo, Vifusi, Minara na Machinjio ya Vingunguti ya Klabu Moja Tanzania

    Jezi za Klabu Bingwa na Shirikisho zonatakiwa ziwe na Uhalisia wa Soka ( Mpira ) tu na siyo kuwa na Jezi zenye Picha za Vifusi, Maghorofa na Machinjio ya Vingunguti. Kuna Timu Moja hapa Tanzania ( siyo Simba SC ) inaweza Kucheza Kifua Wazi ( Kidali Po ) Mechi zake za Klabu Bingwa Afrika ( hatua...
  18. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Hivi Kigamboni kuna machinjio?

    Wenyeji wa Kigamboni, hivi kuna machinjio Kigamboni? Au ni machinjio ipi iko karibu na Kigamboni?
  19. N

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuona machinjio ya Nguruwe?

    Nyama ya nguruwe, ambayo inajulikana zaidi kama “kiti motó” inaliwa na kupendwa na watu wengi, lakini wanaweza kuwa hawajawahi kujiuliza machinjio ya wanyama hao yako wapi. Si machinjio tu, nguruwe hawaonekani kwenye minada ya kawaida ya mifugo. Huuzwa wapi? Kwa watu wanaoishi nje ya miji...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania RC Makalla aiagiza NHC kufanya kazi usiku na mchana kukamilisha machinjio ya Vingunguti

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ameliagiza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kufanya kazi usiku na mchana ili hadi kufikia Agosti 1, 2021 machinjio ya kisasa ya Vingunguti ianze kutumika. Makalla ametoa agizo hilo jana Julai 8, 2021 wakati alipotembelea machinjio hayo na kukuta...
Back
Top Bottom